Rais wangu, usikubali uwanja wa soka Arusha uitwe jina lako. Mpe mwanakwenda Edward Lowassa, utaheshimika milele!

Mganguzi

JF-Expert Member
Aug 3, 2022
1,032
2,769
Michoro na mkataba wa ujenzi wa uwanja mpya wa soka Arusha uko tayari na umesainiwa; na tayari wakandarasi wako site!

Kelele nyingi na majigambo ya machawa ni kuhusu jina la uwanja wakati bado hata Lori Moja la mchanga halijamwagwa pale tayari wametoka na jina la uwanja wenyewe! .

Samia Suhuhu Hassan stadium ! Kwanini Kila kitu apewe Rais !? Bado ana muda mwingi tu na yuko hai atapewa tu katika miradi ijayo !

Namshauri mh Rais kama anasoma hapa asikubali kelele za akina msigwa !. Kataa kabisa uwanja ule kupewa jina lako mpe mwanakwenda ERDWARD NGOYAI LOWASSA STADIUM!
 
Kaite nyumba ya baba yako lowassa,uitwe Arusha
 
Kuwapa majina ya watu viwanja,barabara sio ujinga tu Bali ni upumbavu kwanini wasitafute jina zuri linaloshabiiana na mahali uwanja ulipojengwa
 
Back
Top Bottom