Tuyaenzi Mapinduzi ya Zanzibar Milele na Milele!

Tuyaenzi Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 1964 Milele na Milele. Zanzibar ndio alama yetu pekee tunayoitegemea hapa Visiwani. CCM oyee.

NB: Karibuni katika sherehe ya kusherehekea miaka 60 ya kumfurusha Sultani.
Revolution is bitch game

USSR

Sent from my Infinix X6511G using JamiiForums mobile app
 
Tuyaenzi Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar 1964 Milele na Milele. Zanzibar ndio alama yetu pekee tunayoitegemea hapa Visiwani. CCM oyee.

NB: Karibuni katika sherehe ya kusherehekea miaka 60
Naunga mkono hoja, Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, yaenziwe milele ndio maana yanaitwa ni Mapinduzi Daima!, ambayo ndio yaluyotuletea huu muungano wetu adhimu ambao tutaulinda kwa gharama yoyote.
P
 
Kakoloni la Tanganyika ambako hakaruhusiwi kujichagulia rais. Rais wake lazima achafuliwe na Dodoma.
 
Naunga mkono hoja, Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, yaenziwe milele ndio maana yanaitwa ni Mapinduzi Daima!, ambayo ndio yaluyotuletea huu muungano wetu adhimu ambao tutaulinda kwa gharama yoyote.
P
Nawatakia maadhimisho mema ya miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.
P
 
Back
Top Bottom