milele

Milele is an urban gospel and humanitarian group composed of Kanjii Mbugua, Harry Kiiru, Christian Mungai and Kaima Mwiti. The group formed after the longtime friends who were originally from Kenya met in Pomona, California at a prayer breakfast in 1998. Milele, which means "forever" in Swahili has performed alongside gospel artists like Andrae Crouch and Helen Baylor and recorded four albums, Forever, Level up, Afrique and their most recent recording, Monday. Apart from the music, Milele has also launched many campaigns in Africa with the purpose of providing means for impoverished African communities to gather strength to make steps towards better living standards.

View More On Wikipedia.org
  1. Foffana

    JamiiForums Tanzania PICHA MBAO - Kumbukumbu Zitakazodumu Milele! 🖼️✨

    Je, unatafuta zawadi ya kipekee au mapambo ya ukuta yatakayoboresha nafasi yako? Tunachapisha picha zako pendwa kwenye mbao zenye ubora wa hali ya juu Ubora : Picha zako zinaonekana hai na za kuvutia kwenye mbao asilia. Zawadi Pekee: Kamilifu kwa harusi, siku za kuzaliwa, au kumbukumbu...
  2. Kinoamiguu

    JamiiForums Tanzania Mobutu aliweka kipengele kwenye katiba ya kongo ili aweze kutawala milele

    Naam viongozi wa kiafrika wanafanana kwa hulks zao wanatofautiana vipindi tu. Sikazi watu kuona wanauana kule Congo, Sudan na kwinginepo lakini hakuna chochote wanafanya. Wengine wanajipitisha kuwa wagombea URAIS. Ukiwauliza machawa wanasema ni mwanamke wa shoka wengine wanakimbilia DINI yake...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Humphrey Polepole, Nyoosha msitari Taifa likuenzi milele au piga blahblah Taifa likudharau

    Ndugu Humphrey Polepole nakusalimu. Lakini pia nataka nikueleze mambo yafuatayo. 1. Timing yako kulifanya hili jambo ni nzuri sana, umechagua muda muafaka Kipindi hiki bi kilembwe anapambania hali yake, japo ana majeshi na mavyombo yote ya kumfanyia anachokitaka lakini hulka ya binadamu huwa...
  4. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Tembea Mlima Kilimanjaro – Safari ya Kuukumbuka Milele! ⛰️

    Je, umewahi kujiuliza hisia halisi za kusimama juu ya Afrika? Sasa ni muda wako! Tunakupeleka katika safari ya kipekee ya kupanda Mlima Kilimanjaro – "The Roof of Africa" – kwa mpangilio ulio professional, safe and unforgettable. ✅ Muongozo wa kitaalamu (Certified Mountain Guides) ✅ Mafunzo ya...
  5. U

    JamiiForums Tanzania Ndugu wapendwa Wasabato naomba leteni ushahidi kamili kupinga hoja kuwa Roho ya mwanadamu ina yo hali ya kutokufa au inayo hali ya kuishi milele

    Njooni na Ushahidi kamili Maandiko yaani Biblia na siyo maelezo kuthibitisha kuwa ROHO ya mwanadamu Haina hali ya kuishi Milele au Haina hali Kutokufa
  6. Setfree

    JamiiForums Tanzania Kwakuwa Safina ya Nuhu imeonekana, basi ni kweli hata Moto wa Milele upo. Tutubu Mapema!

    Wakuu, kweli Mungu anatupenda. Ameona jinsi wanadamu walivyo wabishi na wagumu kuamini, akawatumia wanasayansi wasaidie kuthibitisha habari zilizoandikwa katika Biblia. Ripoti za wanasayansi za kupatikana kwa mabaki ya Safina ya Nuhu ni onyo kwa kizazi chetu. Safina ya Nuhu ilitengenezwa kabla...
  7. M

    JamiiForums Tanzania Prof. Kitilla Mkumbo, Mungu akuweke duniani milele

    Nimefurahishwa sana na Prof Kitlla Mkumbo wakati akisoma ilani ya CCM leo pale Dodoma Yeye na Wasira ni hazina kubwa sana.
  8. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Tabia ya wabunge kusifia kila jambo inaenda kuleta mgogoro mkali wa kidiplomasia utakaodumu milele kati ya TZ na Kenya

    Habari wakuu Ni kawaida hapa Tanzania kuwasikia wabunge wakimsifia Mh Raisi na ku amplify kile alichokisema ktk hotuba yake yeyote Hii hali tulishaizoea, Mh Raisi hakupendezwa na ujio wa wanaharakati wa kenya nchini, narudia tena ujio wa wanaharakati wa kenya nchini kwetu Hivi sasa wabunge...
  9. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Klabu ya Simba yathibitisha mechi ya Fainali ya CAF kuchezwa Zanzibar

    Klabu ya Simba imewatangazia rasmi mashabiki wake na umma kwa ujumla kuwa mchezo wa fainali ya Kombe la Shirikisho Barani Afrika (CAF Confederation Cup) dhidi ya RS Berkane kutoka Morocco, uliopangwa kufanyika Mei 25, 2025, hautachezwa tena kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam kama...
  10. Chifu mkuu

    JamiiForums Tanzania Kaburi sio nyumba /wala makazi ya milele

    Habari za wakati huu. Nimeona nichangie jambo moja kuhusu msamiati wa kipagani ulioingizwa katika midomo ya baadhi ya wafuasi wa dini za kiislamu na kinaswara (kikristo) kwa kusema kuwa kaburi ni nyumba au makazi ya milele! Mara nyingi maneno haya yamekuwa yakitolewa na watangazaji...
  11. figganigga

    JamiiForums Tanzania Mdude Nyagali kupatikana tena ni 5%. Poleni sana Watanzania

    Uharakati wa Bongo ni sawa na kuchungulia kaburi. Nitumie nafasi hii kutoa pole kwa Wanaharakati wote. Pole kwa Marafiki zake Mwabukusi na Dr. Slaa na Wanachama wote wa JamiiForums wasiokubaliana na Sela za CCM. Matamanio ya kila Mtu ilikuwa kumuona Mdude_Nyagali akishuhudia CCM ikiondolewa...
  12. Zanzibar-ASP

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Hakuna dalili zozote kwa mbunge yoyote wa Covid 19 kurejea tena bungeni leo, kesho au milele!

    Mahesabu ya kisiasa yanaonyesha wale wabunge wa mchongo, viti maalum kupitia CHADEMA maarufu kama Covid 19 wamebakisha wiki chache sana za kuendelea kuwepo bungeni, wengi kama sio wote wameshakata tamaa ya kutoweza kurejea tena bungeni. Wachache wao wameshaanza kuaga na wengine bado...
  13. Samson Ernest

    JamiiForums Tanzania Kuanguka Kwako Vibaya Kunaweza Kusikuaibishe Milele Ikiwa Utamkimbilia Mungu

    Zab 145:14 SUV [14] BWANA huwategemeza wote waangukao, Huwainua wote walioinama chini. Moja ya sifa nzuri aliyonayo Mungu ni huruma aliyonayo kwa watu wake, wale watu wanaofika wakati wanavunjika moyo kutokana na mambo mbalimbali wanayokutakana nayo katika maisha yao, Yeye huwainua tena. Mtu...
  14. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Je, tofauti na kuishi milele ni kitu gani kingine sisi wakristo tutapewa?

    Waislamu wao wakifika peponi Allah amewaofa mabikira 72 kwa kila mwanaume halafu wakaongezewa na pombe. Upande wetu wakristo kwa madhehebu yetu yote tunaamini huko mbinguni hakuna koa wala kuolewa. Sisi Yehova ametueahidi uzima wa milele (nijuavyo mimi). Biblia inatoa sifa za ile mbingu mpya...
  15. Equation x

    JamiiForums Tanzania Baada ya kugundua hutoishi milele, umechukua hatua zipi?

    Chochote chenye mwanzo huwa kina mwisho. Na wewe kama ulizaliwa, hutofikisha miaka 100 ya kuishi hapa duniani. Ni muhimu kufahamu ya kuwa, na wewe una mwisho wako. Kwa upande wangu, baada ya kuligundua hilo; nimekuwa nikiishi kwa kutenda wema sana bila kuwakwaza wengine. Nimeacha mambo ya...
  16. UHURUWANGU

    JamiiForums Tanzania Ni muhimu sana Watanzania waelewe kuwa: MADARAKA HAYANA KINGA YA MILELE, NA MADHARA YA MFUMO MBOVU HUMRUDIA KILA MMOJA — HATA HAO 'CHAWA' WANAUTETEA.

    UJINGA UNAOPEWA JINA: PROPAGANDA YA KISIASA MTANDAONI Katika zama hizi za kidijitali, mitandao ya kijamii imegeuzwa kuwa uwanja wa vita vya fikra. Lakini vita hivi si vya kuikomboa nchi bali vya kuilinda dhulma na kuzuia hoja za msingi kwa kutumia matusi, kejeli, na uongo. Kila siku...
  17. KikulachoChako

    JamiiForums Tanzania Kulipigania penzi kunaweza kuwa ndio sababu ya anguko lako na majuto ya milele maishani mwako.....weka ukomo wa uvumilivu....(True story)

    Habari za muda huu waungwana wa hapa..... Leo nimemkumbuka mdogo wangu wa kike mtoto wa mama yangu mdogo..... Mdogo wangu ambaye alikuwa binti ambaye familia ilikuwa na matumaini makubwa sana kwake kutokana na wajihi na tabia zake njema....... Kwa kufupisha story safari yake ya kielimu...
  18. Rorscharch

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa Kushtusha: Maisha ya Milele Yanavyoweza Kuwa Jehanamu

    Je, umewahi kutamani uishi milele? Usiwe na haraka kujibu, kwa sababu huenda baada ya kusikia hadithi hii, utabadili mawazo. "The Last Answer" ni hadithi fupi iliyoandikwa na Isaac Asimov, mmoja wa waandishi mashuhuri wa science fiction. Ingawa hadithi hii si maarufu kama The Last Question...
  19. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Fanya sasa kabla hujachelewa na kujuta milele

    Ukweli Mchungu wa maisha maisha yetu Baada ya kuzaa, nge mama huwabeba watoto wake mgongoni ili kuwalinda. Wakati huu, yeye hali na hutumia nguvu zake zote kuwaweka salama watoto wake, Kadiri siku zinavyosonga, anazidi kuwa dhaifu, akitumia kila alichonacho kuhakikisha watoto wake wanaishi...
  20. Setfree

    JamiiForums Tanzania Acha kupoteza muda wako kuandika nyuzi zifuatazo, utakuwa maskini milele!

    Kama wewe ni mtoto wa Elon Musk, usisome uzi huu, haukufai! Kila siku, vijana wengi wanatumia muda mwingi kuandika nyuzi mitandaoni kuhusu mambo yasiyo na faida kwa maisha yao ya baadaye. Kwa mfano mtu anaandika uzi wenye kichwa: “Bibi yako alikuwa na vidole vingapi?” Wengine wanazungumzia...
Back
Top Bottom