maboresho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Dkt. Mollel kuunguruma UTV kueleza maboresho sekta ya afya Mei 8, 2023

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel atakuwa mubashara kesho Jumatatu Mei 08, 2023 kwenye kituo cha Azam TV kueleza maboresho makubwa kwenye sekta ya Afya. Usikose kutazama UTV katika kipindi cha Morning Trumpet kujionea maboresho katika Sekta ya Afya kuanzia saa 01:05 asubuhi.
  2. benzemah

    Maboresho ya bandari yanavyovutia wateja wapya

    MAMLAKA ya Bandari Tanzania (TPA), imeendelea kufanya maboresho makubwa katika Bandari ya Dar es Salaam. Maboresho hayo yamechangia kuongeza ufanisi ikiwa ni pamoja na ongezeko la meli, shehena na kuvutia wateja wapya zikiwemo nchi jirani. Akizungumza, Mkurugenzi wa Bandari Mrisho Mrisho...
  3. BARD AI

    Serikali kuanza maboresho ya Daftari la Wapiga Kura

    Serikali imesema katika mwaka 2023/2024, shughuli za maandalizi ya Uchaguzi Mkuu wa Mwaka 2025 pamoja na Uchaguzi wa Serikali za Mitaa utakaofanyika mwaka 2024 zitaendelea. “Kazi zitakazofanyika ni pamoja na kulifanyia maboresho Daftari la Kudumu la Wapiga Kura; kuboresha mifumo ya menejimenti...
  4. Replica

    Uwanja wa Ndege wa Mwl. Nyerere Terminal II kufungwa miaka 2 kupisha maboresho

    Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere kufunga sehemu ya Terminal II kuanzia Juni mwaka huu kwa miaka miwili kupisha maboresho. Mkurugenzi wa TAA, Musa Mbura kasema shughuli zake zitahamishiwa Terminal III. Terminal II ilijengwa miaka ya 1980, maboresho hayo yanakuja baada ya Rais...
  5. T

    Maboresho katika sekretarieti ya ajira: Kwanini mtu wa 'degree' asiruhusiwe kuomba kazi za wenye 'diploma'?

    Kuna jambo gumu kidogo kuhusu sekretarieti ya ajira hususani kwenye ajira zinazowahusu diploma huku wenye 'degree' wakizuiwa kuomba wakati mwenye 'degree' anaweza kuleta matokeo na ufanisi mzuri zaidi. Ombi langu kwa sekretarieti ya ajira na Serikali fanyeni mabadiliko ya sheria au utaratibu...
  6. Issakson makanga

    Kabla ya katiba mpya ya nchi, tunahitaji maboresho ya katiba za vyama hasa CCM

    Nawaza kwa sauti ya kizalendo, Kweli tunahitaji katiba ya nchi kama taifa hiyo haiepukiki kwa sasa kwa maana mambo mengi yapo hovyo hovyo kabisa. Ila naona kwenye hivi vyama vya siasa bado kuna mambo hayako sawa kabisa, hususani namna ya miongozo na kanuni. Nitolee mfano CCM hivi kwa dunia...
  7. TheForgotten Genious

    Serikali itangaze dau ili kupata suluhu katika maboresho ya usalama wa bodaboda

    Lema aliibua hoja ya msingi sana ambayo wahuni wameifunika katika propaganda nyepesi kwamba alisema kazi ya bodaboda ni laana. Hilo ni kwa mtazamo wake, lakini kwa upande wangu mimi siwezi kuiita laana maana inalisha familia za watu, kusomesha na kujenga, ni ajira kama ajira nyingine...
  8. BARD AI

    Waziri Ummy atoa siku 14 kwa NHIF kukamilisha maboresho ya Toto Afya Kadi

    Waziri wa Afya Tanzania, Ummy Mwalimu ametoa wiki mbili (sawa na siku 14) akiuagiza Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) kuhakikisha inarudi na mfumo rafiki kwa ajili ya kundi la watoto wa mwaka sifuri mpaka miaka 18. Ummy ameyasema hayo baada ya swali aliloulizwa na baadhi ya wachangiaji...
  9. Hamduni

    Maboresho katika utaratibu wa usajili wa watoto kupitia mpango wa toto afya kadi

    MABORESHO KATIKA UTARATIBU WA USAJILI WA WATOTO KUPITIA MPANGO WA TOTO AFYA KADI Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) unapenda kuutangazia Umma kuwa, unafanya maboresho ya utaratibu wa usajili na huduma kwa watoto waliokuwa wanasajiliwa kupitia utaratibu wa Bima ya Afya ya “TOTO AFYA KADI”...
  10. T

    Maboresho ya sheria na mfumo chini ya uongozi wa Rais Samia yanavyoutesa upinzani

    Amani iwe nanyi, Kwa mara nyingine ,tutafakari masuala na madai mbalimbali ya wapinzani hususani dai la katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Katika kutafakari huku kila mtu ahitimishe kwa kujiuliza maswali yafuatayo: i) Je, dai la katiba mpya ni la Wananchi? ii) Kama ni la Wananchi ,kwa nini...
  11. N

    Maboresho ya elimu msingi na awali

    Serikali imeeleza kishindo kingine katika sekta ya elimu baada ya kueleza mwaka huu imepanga kujenga madarasa mapya 9,000 kwa shule za msingi na awali. Katika mpango huo Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu inatarajia kutumia Tsh Bilioni 250.9 kwa lengo la kuboresha...
  12. K

    Maboresho TPA yaongeza meli, mizigo

    Uboreshaji unaoendelea katika sekta ya bandari nchini umeongeza ufanisi na kati ya Oktoba hadi Desemba idadi ya meli zilizohudumiuwa na Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) zimeongezeka. Msemaji Mkuu wa serikali, Gerson Msigwa alisema jana mjini Dodoma kuwa kipindi hicho meli zilizohudumiwa na TPA...
  13. F

    Mapendekezo katika maboresho ya utalii: Wazo la Royal tour iende mbali zaidi kiasi cha kumfikia kila mtu

    Hatua ya kwanza ya mafanikio ya filamu ya Royal tour imeonekana na tumeona ni kwa kiasi gani filamu hiyo ilivyosaidia kukuza utaili kwa kiwango kikubwa. Kwangu hatua hii ya kwanza ilikuwa ni ya majaribio lakini imefanya kazi kwa mafanikio makubwa. Hii ni hatua ya tathmini tu. Hatua hii ya...
  14. F

    Mapendekezo katika maboresho ya utalii: wazo la Royal tour iende mbali zaidi kiasi Cha kumfikia kila mtu

    Hatua ya kwanza ya mafanikio ya filamu ya Royal tour imeonekana na tumeona ni kwa kiasi gani filamu hiyo ilivyosaidia kukuza utaili kwa kiwango kikubwa. Kwangu hatua hii ya kwanza ilikuwa ni ya majaribio lakini imefanya kazi kwa mafanikio makubwa. Hii ni hatua ya tathmini tu. Hatua hii ya...
  15. Mparee2

    NCAA - Utaratibu wa malipo Ngorongoro unahitaji maboresho!

    Hapa naongelea kivutio cha NGorongoro Naona kuna usumbufu usio wa lazima ambao unaweza kupatiwa ufumbuzi kama mamlaka wataamua kufuata ushauri wa wadau wanao waletea wageni 1. Mgeni akibadilisha tarehe ya kuingia Ngorongoro hata kwa siku moja, kwa sababu zozote zile Haruhusiwi kuingia hadi...
  16. M

    Hatimaye uongozi sikivu wa Simba SC, waazimia kuboresha kikosi

    Kikao cha Bodi ya Wakurugenzi juzi, kimeamua kuleta furaha kwa wana Simba kwa kukisuka vilivyo kikosi cha Simba SC. Baada ya kutambulisha kocha wa makipa na wa viungo, wataleta kocha mkuu, mtaalamu wa kuwasoma wapinzani, na wachezaji wanne: Washambuliaji wawili. Kiungo mkabaji. Beki wa...
  17. britanicca

    Tusirudie kosa Uwanja wa Ndege wa Bukoba Ufanyiwe maboresho haya

    Tunajua mzee Kato hakuwapenda wahaya maana walimuita mshuti kwakuwa wote walio hamia kutoka Bahima , Babito, Wanyarwanda na warundi wanaitwa washuti na kazi zao kubwa ni kufanya kazi mashambani, bahati mbaya mshuti alikuja akatoboa akawongoza mpaka wao! Kwanza akazima ndoto nyingi za mkoa ule...
  18. Lord denning

    Ni wakati sasa Jeshi la Wananchi lifanyiwe Maboresho makubwa upande wa Kamandi ya Wanamaji

    Kipindi cha Majanga ndicho kipindi sahihi zaidi cha kupima uwezo wa jeshi husika katika ubora na vifaa Zimetokea ajali nyingi za maji hapa Tanzania kuanzia Mv Bukoba, Vivuko Kigamboni, Zanzibar , Mwanza na sasa imetokea ajali ya ndege ziwani Bukoba Napenda tu kusema tuna jeshi la maji lisilo...
  19. I

    Ziwa Basotu, wilaya ya Hanang, mkoa wa Manyara lilishafanyiwa maboresho?

    Mnamo mwaka 2020 kuelekea mpaka 2021, ziwa Basotu, wilaya ya Hanang, mkoani Manyara lilikuwa linaleta madhara makubwa kwa wananchi kwa maji yake kujaa, kusambaa kwenye makazi ya watu na kusababisha mafuriko. Nakumbuka vyombo vya habari vilitoa takwimu mwaka 2021 kuwa watu zaidi ya 90 walikosa...
  20. Y

    Android bao game (maboresho)

    Kuna marekebisho mengi katika hii app (BaoTz v2.0.0) katika toleo hili. Sasa lina level 4 ambapo unacheza mchezo wa bao la kete kwenye simu yako offline, mwanzo lilikuwa na level 3. Hata hivyo linahitaji zaidi maboresho hasa kwa upande wa AI (Artificial Intelligence) kama mnavyojua positions...
Back
Top Bottom