android

  1. BumbleBeeBot

    JamiiForums Tanzania Kuna mtu alishapata simu ya Android iliyopotea kwa kuitrack location.?

    Nilipoteza simu Toka mwaka jana mwezi wa 9, nilifungulia loss report na nikatoa posho kdg kituoni kwamba simu itafutwe ila nikawa napigwa kalenda kila siku nikienda kituoni. Nahitaji kujua je, humu kuna ambaye alishapoteza simu akaipata kwa kutrack imei bila kutumia polisi, au mwenye uwezo wa...
  2. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 𝗸𝘂𝗯𝗮𝗱𝗶𝗹𝗶 𝗺𝘂𝗼𝗻𝗲𝗸𝗮𝗻𝗼 𝘄𝗮𝗸𝗲 𝗸𝘄𝗮 𝘄𝗮𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮𝗷𝗶 𝘄𝗮 𝗔𝗻𝗱𝗿𝗼𝗶𝗱

    Mtandao wa Whatsapp kwenye Android inaendelea kujaribu Bottom Navigation Bar mpya 👀📱 Awamu hii, Whatsapp inafanya mabadiliko ya kuondoa majina ya maandishi chini icons zake na kubaki na icons pekee plain Kuanzia Chats, Updates, Communities na Calls. 🎨 Lengo? Kuifanya WhatsApp ionekane...
  3. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗛𝗨𝗘𝗡𝗗𝗔 𝗨𝗞𝗔𝗔𝗡𝗭𝗔 𝗞𝗨𝗟𝗜𝗣𝗜𝗔 𝗔𝗣𝗣 𝗞𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗔𝗡𝗗𝗥𝗢𝗜𝗗 𝗬𝗔𝗞𝗢 𝗞𝗪𝗔 𝗝𝗜𝗡𝗦𝗜 𝗨𝗡𝗔𝗩𝗬𝗢𝗧𝗨𝗠𝗜𝗔👀📱

    Kuna mabadiliko mapya yanayoweza kubadilisha kabisa namna tunavyolipia huduma ndani ya Android apps! 🔥 Google inakuja na Mfumo unaitwa Usage-Based Billing ambapo unaruhusu watumiaji kuweza kulipia huduma kulingana na matumizi yao badala ya kulazimika kulipa subscription ya kila mwezi. Hii...
  4. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 𝗸𝘂𝘄𝗮𝗽𝗮 𝗪𝗮𝘇𝗮𝘇𝗶 𝗨𝘄𝗲𝘇𝗼 𝗭𝗮𝗶𝗱𝗶 𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗹𝗶𝗻𝗱𝗮 𝗩𝗶𝗷𝗮𝗻𝗮 👀🔐

    WhatsApp imeanza kuongeza udhibiti mpya wa wazazi kwa akaunti za vijana (teens). Kipengele hiki kinahusu kuwapa wazazi uwezo wa kuweka mipaka fulani bila kuwapa uwezo wa kusoma ujumbe binafsi wa mtoto. 🔐 Wazazi wataweza kudhibiti nini? 👤 Picha ya profile: mzazi anaweza kuweka nani...
  5. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗠𝗳𝘂𝗺𝗼 𝘄𝗮 𝗛𝗶𝗹𝗶𝗴𝗵𝘁 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 𝗣𝗶𝘅𝗲𝗹 𝗸𝘂𝗷𝗮 𝗻𝗮 𝗨𝘄𝗲𝘇𝗼 𝗺𝗽𝘆𝗮!🔥📱

    Google inaandaa maboresho makubwa kwenye Pixel HiLight 💡. Pixel HiLight ni mfumo wa taa ndogo za LED zilizowekwa karibu na sehemu ya kamera ya nyuma. Simu ikiwa imegeuzwa chini juu (face down), taa inaweza kuwaka kukupa taarifa bila kulazimika kuangalia skrini. Google imeleta HiLight kwenye...
  6. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗕𝗬𝗘 𝗕𝗬𝗘 𝗤𝗥 𝗖𝗢𝗗𝗘 𝗚𝗢𝗢𝗚𝗟𝗘 𝗜𝗠𝗘𝗜𝗢𝗡𝗗𝗢𝗔 👀

    Google imeanza mchakato wa kuondoa Mfumo wa kutumia Qr Code kuweza kuunganisha simu na kompyuta kwenye Google Messages for Web . Zamani ukienda kwenye Messages for Web, ulipata QR Code kwenye kompyuta: Simu → Messages → Device Pairing → Scan QR Code → Scan QR kwenye PC sasa mambo...
  7. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Google inakuja na update kali upande wa message

    Google imesema mwaka huu Watu wote wataipenda Google Messages bhana 😃😃 Google inaandaa UI mpya(muonekano mpya)kabisa wa Google Messages 😍📱 — na kwa kweli, muonekano wake unaonekana safi, wa kisasa na rahisi zaidi kutumika! 🔍 Search inahamia chini kwa matumizi rahisi ya mkono mmoja ✨ Gemini...
  8. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Motorola imerudi kwa nguvu Samsung ajipange Aisee!

    Motorola imeamua kuingia kwenye vita dhidi ya Samsung mwaka huu 2026🔥🔥. Kampuni ya Motorola imeamua uzinduzi wa Simu mpya aina ya Motorola Signature 27 itaweza kufanyika Marekani 🇺🇸 ikiwa na lengo la kuingia kwenye ligi ya flagship zinazoshindana na simu za Galaxy. 👀🔥 Kwa ufupi tu kuhusu...
  9. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Google imetoa update Muhimu kwa Watumiaji wa Gmail

    Google imetoa update mpya upande wa Gmail Ina msaada mkubwa sana kwa watumiaji wa Gmail👋. Kuanzia sasa Ukipokea verification code kwenye Gmail, huhitaji tena kufungua email na kuanza ku-select namba moja moja. 😮‍💨 Gmail sasa inaonyesha “Copy code” — bonyeza tu, code ina-copy moja kwa moja 📋⚡...
  10. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗦𝗮𝗺𝘀𝘂𝗻𝗴 𝗶𝗺𝗲𝗮𝗺𝗶𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 𝗣𝗵𝗼𝘁𝗼𝘀

    Samsung imeamua kumchagua Google Photos badala ya onedrive 👋. Samsung imeanza kuruhusu kutumia Google Photos kama backup moja kwa moja ndani ya Samsung Gallery, hatua inayokuja baada ya Samsung kuachana na mfumo wa OneDrive kwa Gallery. 👀 Sasa unaweza kuhifadhi picha na video zako kwenye...
  11. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗛𝗮𝗿𝗿𝘆 𝗣𝗼𝘁𝘁𝗲𝗿 𝘀𝗮𝘀𝗮 𝗮𝗻𝗮𝗽𝗮𝘁𝗶𝗸𝗮𝗻𝗮 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗚𝗼𝗼𝗴𝗹𝗲 𝗣𝗶𝘅𝗲𝗹

    Google yenyewe inasema “no wand required” — yaani huhitaji fimbo ya kichawi; kutumia huu mfumo 😎. Google imeleta Harry Potter Audiobook Packs kwenye Pixel, ikiwa ni sehemu ya kusherehekea ujio wa matoleo mapya ya Harry Potter: The Full-Cast Audio Editions kwenye Audible. 🎧📚 Sasa unaweza...
  12. P

    JamiiForums Tanzania Apps nzuri kwa WAKRISTO WAKATOLIKI ninazo recommend Android na iOS.

    Android na iOS. Tafakari nasi- hii ni shajara, na Ina masomo yote ya mwaka husika, novena, rozari takatifu, tafakari ya siku na sala mbalimbali. Pia inafanya kazi bila mtandao. Shajara- hii pia Ina masomo na sala ila haifanyi kazi bila internet. Radio Maria- hii ni radio na podcast. Auxilium...
  13. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Itel a200 simu ya bei nyepesi yenye uwezo wa Samsung

    Ikiwa Unatafuta simu yenye screen kubwa, Uwezo wa Ajabu, Skrini yenye 120Hz refresh rate, battery ya 5,000mAh na body yenye uimara wa IP65? 👀🔥 Basi itel A200 imekuja ikiwa na Unisoc T7250, USB-C yenye 15W charging, Android 15 Go Edition na 4G LTE — ikilenga kutoa experience nzuri bila kuvunja...
  14. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Whatsapp Kuzuia chati zako

    Whatsapp iko kwenye mpango wa kuleta feature mpya inayoitwa "Restricted Chat" kwa watumiaji wa Android kwa ajili ya kuongeza Usalama. Restricted Chat Kwa ufupi , hii ni level ya juu zaidi ya kulinda chat maalum. Lengo?Ni Kufanya mazungumzo yako yawe ya siri yenye ulinzi zaidi haswa kwa wale...
  15. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗪𝗵𝗮𝘁𝘀𝗮𝗽𝗽 𝗶𝗺𝗲𝗹𝗲𝘁𝗮 𝗸𝗶𝗽𝗲𝗻𝗴𝗲𝗹𝗲 𝗰𝗵𝗮 𝗸𝘂𝗮𝗻𝗴𝗮𝗹𝗶𝗮 𝘀𝘁𝗮𝘁𝘂𝘀 𝘃𝗶𝗱𝗲𝗼 𝗸𝘄𝗮 𝗵𝗮𝗿𝗮𝗸𝗮

    Umechoka kutizama video mbalimbali za Whatsapp kwa muda mrefu 👋 WhatsApp inaanza kusambaza kipengele kipya kitakachokuwezesha kuangalia video za Status kwa kasi mara mbili ⚡📱 Ukiwa unaangalia video, shikilia upande wa kulia wa screen ili video icheze kwa 2× speed. Ukiachia, itarudi kwenye...
  16. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania TikTok kiboko imeweka voice note kwenye Comment

    Hivi utajisikiaje ukaanza kutumia sauti yako kama Comment kwenye mtandao wa TikTok 😄. TikTok imeanza kuifanya upande wa comments uwe ni zaidi ya maandishi tu! 😮‍💨📱🔥kwa kuongezea Vipengele vipya kama vile: 🎙️ Voice Comments — badala ya kuandika, unaweza kurekodi comment ya sauti hadi sekunde...
  17. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Google Play Store yapata kipengele kipya!

    Mpaka sasa ukitaka kupakua app kwenye Play Store, chaguo kuu lilikuwa Cancel na Ukicancel, download inaanza upya kutoka mwanzo. Google inaanza kujaribu Pause & Resume kwenye downloads za Play Store! 👀 Sasa utaweza kusimamisha download ya app na kuendelea baadaye pale ilipoishia, badala ya...
  18. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Kwanini Kadi ya Mwendokasi haipo kwenye Google Wallet?

    Inawezekana unatamani sana kutumia simu yako ku scan kwenye mashine mbalimbali za ku scan Kadi ili kupunguza kutembea tembea na Kadi kwenye wallet yako sio 👋. Kadi yako inaweza kuwa na mfumo wa NFC na Simu yako Ina support lakini bado huwezi kuhamisha kadi ya Mwendokasi kwenda Google Wallet...
  19. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania Google photos imepata feature ambayo watu wa iPhone wanayo kitambo

    Mwanzoni Google Photos ilikuwa inaunda stacks yenyewe yaani picha zinazofanana, kama picha 10 ulizopiga wakati mmoja, zinaweza kuunganishwa na kuonekana kama kundi moja. Sasa Google Photos kwenye Android imeleta uwezo wa kuweka picha unazochagua mwenyewe kwenye “Photo Stack” moja. Badala ya...
  20. Teknolojia ni Yetu sote

    JamiiForums Tanzania 𝗪𝗔𝗣𝗘𝗡𝗭𝗜 𝗪𝗔 𝗘𝗙𝗧𝗢𝗢𝗕𝗔𝗟𝗟 𝗗𝗜𝗩𝗜𝗦𝗜𝗢𝗡 𝗚𝗔𝗡𝗜 𝗡𝗜 𝗡𝗚𝗨𝗠𝗨 ⚽

    Kama wewe ni mpenzi wa Game la Mpira Nazani 😁 nikisema Division kwenye Eftooball unanielewa sio 👋. Ukiwa unacheza hii Game kuna Division ukifika kupitia Ai au PVP uwa inakua ngumu sana unakuta kila unayekutana naye anakaza balaa 😀. Ugumu unaanzia hapa Division 5 na 4 ila bado unaweza kucheza...
Back
Top Bottom