weredi wa jeshi lolote duniani upimwa kwa global firepower kulingana vita wanazipigana au kama Hawako vitani basi
1. Walinde Mipaka, ila Mara kadhaa tumeona wahamiaji haramu wengi wako Tanzania wengine kupitia mipakani kinyemera, na pili utoroshwaji wa baadhi ya rasilimali kupitia mipakani...
1. Ndugu Mafwele
2. Ndugu Muliro
3. Ndugu Abdul
Nalionba sana jeshi letu liwalinde hawa raia kwa wivu mkubwa, ili awamu ijayo watusaidie kuwatafuta ndugu zetu waliopotea.
Nawasilisha.
The United States Senate Foreign Relations Committee has officially advanced the bipartisan bill seeking to impose severe sanctions on government officials responsible for the deadly violence that accompanied the disputed October 29, 2025, elections.
The legislation, titled the Reassessing the...
Nimeulizwa pahala, eti Hussein kwani Kanali anakuwa na nyota ngapi?😂. Nadhani ni kutokana na tarehe (historia) ya Kanali Mahfoudh niliyowahi kuitoa siku ya kumbukumbu za kifo cha Sheikh Abeid Aman Karume.
Sikumbuki vizuri, maana mimi siyo mwanajeshi. Ila angalau nilipita miaka ya nyuma kidogo...
Hicho ndicho kilichozuia machafuko zaidi! Bunduki haijawahi, haitawahi na haiwezi kumzuia mwanadamu anayetaka kujinasua kwenye uovu wa mtesi. Jeshi la wananchi lilitumia mbinu ya ulaghai kuwashawishi wananchi warudi majumbani kisha wakawafanyia ambushi kitu ambacho hata wao wanalijua.
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dk. Rhimo Nyansaho (Mb), tarehe 12 Machi,2026, katika ofisi ndogo za Wizara ya Ulinzi na JKT, Upanga, jijini Dar es Salaam amekutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Kikosi cha Ulinzi cha Jimbo la Nebraska nchini Marekani (Nebraska National Guard)...
Bibi Dorkasi amehoji kauli ya Rais alipokuwa akiongea na Maafisa wa kijeshi Jijini Tanga kwa kulitaka lisichafuea sifa yake kwa kujiingiza kwenye mambo ya siasa, Bi Dorkasi amesema kuwa anayelionya jeshi ndiye aliyeliingiza jeshi kwenye siasa kipindi cha kampeni.
Soma Pia PostGE2025 - Rais...
Mtu fulani ambaye Sativa ànamuhusisha na utekaji wake, bado anashikiliwa na Jeshi ndio maana wanaotekwa/kukamatwa siku hizi wanapatikana vituo vya Police.
Who are you anaforce aachiwe Jeshi limegoma.
Wanataka kujua nani alikuwa anamtuma kuteka watu jambo Jeshi linaamini utekaji ndio...
Kikosi cha Walinda Amani cha Tanzania kinachohudumu chini ya mwamvuli wa FIB-MONUSCO kimehitimisha rasmi jukumu lake la ulinzi wa amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) kupitia gwaride maalumu la makabidhiano kati ya TanzQRF ya 4 na TanzQRF ya 5. Hafla hiyo imefanyika katika makao...
Kun mambo kadhaa sana yanafikirisha sana kuhusu jeshi letu la wananchi
Raia anauwawa mbele yake bila hata kumlinda maana yake naye ni sehemu ya mauaji.
Maelekezo yanatolewa zaidi na jeshi la polisi na wao kufuata mkumbo.
Watu wanaandamano kudai haki yako mkuu wa jeshi CDF anajitokeza kwenye...
Bongo hakupoi mpaka kieleweke
Tamko liko very clear na linasomeka na kujitosheleza lenyewe
#Tutaelewana tu
Soma pia: PostGE2025 Kuelekea D9: GenZ watoa Tahadhari ya kiusalama kwa wageni na watalii wanaotarajia kuingia Tanzania kuanzia 9/12/2025
Muda wa kukupesa macho na kumung'unya maneno ushaisha tangu MO29.
Kwa video niliyoona niseme wazi huenda haya mauaji hayajafanywa na Police tu bali hata jeshi limehusika
Kama jeshi halijahusika kabisa na mauaji kwanini police wafanye hivyo ili hali jeshi lilikuwa mtaani siku hiyo?
Tulijenga...
Hapana kwa kweli, Hapana
Roho yangu inaumia, nimekufa ganzi ya mtima. Kila siku video na picha zinakuja, wananchi wanashare unyama na udhalimu uliokithiri waliofanyiwa na majeshi nchini.
Naliuliza Jeshi la Ulinzi la wananchi wa Tanzania. Je October 29 mpaka November 3 mlikuwa wapi?, Je ni...
Watanzania wenzangu, wazazi, migambo, scout, jeshi la Polisi, jeshi la Wananchi, tusimame kidete Kuilinda amani yetu, pasitokee mtu wa kuhujumu amani na uchumi wa nchi yetu, tusimame kidete
Halmashauri hakikisheni hakuna mtu wa kuhujumu maendeleo ya halmashauri zenu kwa vurugu mwageni ulinzi wa...
Nsikuchoshe na Usinchoshe,tusichoshane!
"Jeshi la Wananchi wa Tanzania" mko bize kila mwaka kwenda kutuliza na kulinda amani ya wananchi wa Kongo lakini hamko Tayari katakata kulinda Uhai wa Watanzania wenzenu!Je Kuna uhalali wowote wa kutambulika kama "Jeshi la Wananchi wa Tanzania? au...
Hakuna kitu kibaya katika utumishi wa umma kama kupoteza "trust" kwa watu unaowahudumia. Hili ni jambo linaloumiza na wakati mwingine kumpunguzia muhusika "confidence"
Jeshi la polisi limechafuka, limepoteza mvuto na hadhi yake imeshuka sana mbele ya wananchi. Hali hii ilianza muda mrefu sana...
Wakuu habari.
Nimewaza na kuona kuwa kosa atakalo fanya kwanza CDF na wakuu wengine wa jeshi la wananchi
ni kutotumia nafasi hii kuwakomboa watanzania kutoka kwenye uongozi usiofata sheria na wenye
wizi wa kura nk.
Kwani tujikumbushe jinsi Mkuu wetu MABEYO alivyosimama kuhakikisha Samia anakuwa...
Tuna Vyombo vya Ulinzi na Usalama ambavyo suala la Usalama wa Raia kwao siku hizi halionekani kuwa ndo msingi mkuu
Jeshi la wananchi mpaka mmeitwa jeshi la wananchi maana yake mkisema muwatoe wananchi ninyi sio jeshi tena, hamjaitwa jeshi la wanasiasa, hamjaitwa jeshi la serikali, hamjaitwa...
Kosa mnalotaka kulifanya litawagharimu milele.
Kimbilio la mwisho la Wananchi ni Jeshi lao na pale Wanasiasa wanapokengeuka Jeshi huwa ndo linasimama na Wananchi.
Kosa kubwa mtakalofanya sasa ni kuacha kusimama na Wananchi na kuegemea kwa watesi wa Wananchi.
Wananchi wamewachoka watawala...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.