maboresho

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. I

    SoC02 Shule za kata mkombozi wa wengi, changamoto na maboresho yake

    Na Amour A. Mawalanga Ilikua ni mwaka 2005 kwenye uchaguzi mkuu ndipo sera ya uanzishwaji wake ilipoanza chini ya mzee wa Msoga Rais wa awamu ya nne Jakaya M. Kikwete huku mtendaji wake mkuu wa serikali akiwa Edward N. Lowasa. Mwaka 2006 ndipo utekelezaji ukaanza ambapo kila kata ilitakiwa iwe...
  2. N

    Utafiti TWAWEZA: Asilimia 53 ya watanzania wameridhika na maboresho ya huduma ya afya

    Utafiti uliofanywa na taasisi isiyo ya kiserikali TWAWEZA umeonyesha kwamba asilimia 53 ya wananchi waliohusishwa kwenye tafiti hiyo wameridhishwa na maboresha ya huduma za afya zilizofanywa na serikali ya awamu ya sita. Ukweli juu ya tafiti hiyo unathibitishwa kupitia ujenzi na ukarabati wa...
  3. BARD AI

    Bunge laipa TRA siku 30 kufanya maboresho ya mifumo yake

    Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali (PAC) imeipa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) mwezi mmoja (sawa na siku 30) kuipelekea mpango kazi wa namna walivyojipanga kukabiliana na hoja za kikaguzi zilizoainishwa na Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG). Makamu Mwenyekiti wa PAC...
  4. Roving Journalist

    Ripoti ya Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) kuhusu maboresho ya elimu ya Tanzania

    Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) imetoa ripoti baada ya kupokea maoni ya wadau kupitia mikutano mikubwa mitatu iliyofanyika Dar es Salaam, Dodoma na Zanzibar. TET imesema imekusanya maoni kupitia vikao vilivyofanywa na makundi mbalimbali yakiwemo Baraza la Watoto Tanzania, viongozi wa dini...
  5. Roving Journalist

    TET: 60% Watoto wenye changamoto ya kufaulu darasani wana tatizo la uoni hafifu

    Taasisi ya Elimu Tanzania (TET) imetoa ripoti baada ya kupokea maoni ya wadau kupitia mikutano mikubwa mitatu iliyofanyika Dar es Salaam, Dodoma na Zanzibar kuhusu Mapitio Makubwa ya 6 ya Mitaala ya Elimu ya Tanzania TET imesema imekusanya maoni kupitia vikao vilivyofanywa na makundi...
  6. B

    CCM kuvifanyia maboresho vyombo vyake vya Habari

    CHAMA CHA MAPINDUZI KUVIFANYIA MABORESHO VYOMBO VYAKE VYA HABARI Katibu wa Halmashauri Kuu CCM Taifa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka (leo) Jumamosi 06 Agosti 2022 amekutana na kufanya kikao kazi na viongozi na watumishi wa vyombovya Habari vya Chama Cha Mapinduzi katika ukumbi wa mikutano...
  7. Paul Faraj

    SoC02 Maboresho ya Sera za Bima ili kufikia lengo la serikali la kuwafikia wananchi walio wengi zaidi

    Bima ni nini? Bima ni njia ya ulinzi wa kiuchumi dhidi ya hasara ya kifedha au hata dhidi ya kifo ambayo watu au kampuni wanafuata kwa kulipa kiasi fulani kwa shirika la bima kadiri ya mkataba maalumu, hivi kwamba shida ikitokea shirika litoe fidia. Zipo aina mbalimbali za bima kama vile bima...
  8. Faana

    Tujadili Changamoto za Matuta Barabarani na Namna ya Kufanya Maboresho

    Nipo kwenye bus la ABC, kimsingi mabasi ni mazuri, huduma ni nzuri mwendo ni mzuri. Ila changamoto niliyoona ni upande wa choo ambapo bus likifika kwenye matuta mambo yanakuwa siyo shwari ukizingatia matuta nayo hayafanani, usipofanya timing vizuri uka synchronise mwendo wako na mwendo wa dereva...
  9. S

    Hii habari ya daraja la Tanzanite kufungwa kwa ajili ya maboresho ni ya kweli?

    Nimeona hii taarifa katika mtandao wa twitter muda huu ila nashindwa kuamini hata kama ni maboresho. Ni tweet ya Haki Ngowi.
  10. R

    Taasisi ya ndoa inahitaji maboresho kuendana na wakati

    Habari wandugu, Hii taasisi ya ndoa naona inahitaji maboresho makubwa kuendana na wakati kwani kwa sasa mitazamo na tabia za watu zimebadirika sana. Hivyo kubaki na taasisi yenye misingi ile ile kwa miaka na miaka si jambo sahihi. Ndio maana sasa ndoa zinavunjika, wanandoa wanasababishiana...
  11. B

    Hongera Maria Sarungi, mmeanza vyema kupata wajumbe wa Kamati ya Katiba lakini nadhani mmekosea fanyeni maboresho

    Awali nilipokuwa naangalia ujio wa SPACE kama njia ya kufanya bunge la wananchi sikuona Kwa upana ukubwa wa forum Hii. Nikiri Kwamba Maria Sarungi ni Moja ya mtu aliyenufaika kiubunifu na utawala wa awamu ya Tano. Alipofungiwa online TV yake hakukata tamaa alifanya research ni namna gani...
  12. Kasomi

    WhatsApp Imefanya maboresho Sehemu ya Backup

    Mfumo wa End-to-end encryption unazuia WhatsApp, mitandao ya simu na kampuni za Internet kuona kinachoendelea katika mazungumzo, messages na files. Lakini hapo mwanzo mfumo huo ulikwepo katika chats na calls za WhatsApp tu. Wahuni na hackers wakitaka kuchunguza chats zako walikuwa wanatafuta...
  13. Kasomi

    WhatsApp kufanya maboresho kwenye mfumo wa ujumbe sauti (Voice notes)

    Mtandao wa WhatsApp unao milikiwa na kampuni ya facebook unafanya maboresho kwenye ujumbe sauti yaani voice notes. Awali mtandao huo ulikuwa unalazimika mtumiaji kurudi kwenye Application yake endapo akitumiwa ujumbe wa sauti. Hivyo mwanzo ukitumiwa ujumbe wa sauti endapo haupo kwenye...
  14. Kasomi

    WhatsApp yafanya Maboresho Yaja na Features Mpya

    Mtandao wa WhatsApp ambao ni mali ya kampuni ya facebook, Yaja na Features Mpya katika mtandao huo. Mabadiliko na maboresho yalifanywa na mtandao huo tarehe 28/09/2021 hivyo ilikuwa lazima kwa kila mtumiaji wa mtandao huo kuupdate ili kupata maboresho yaliyo fanywa. Maboresho hayo yaliyo fanywa...
  15. Mgagaa na Upwa

    Baada ya Yanga kuzindua jezi, inasemekana Simba imeamua kurudisha kiwandani jezi zao mpya kufanyiwa maboresho

    Kitu kizuri wameshtuka mapema la sivyo hizi hata wangeuza elfu 2 kwa kila moja hamna ambaye angenunua
  16. M

    SoC01 Maboresho ya Nyanja za Uchumi kwa Maendeleo

    MABORESHO YA NYANJA ZA UCHUMI KWA MAENDELEO Maendeleo ya jamii au taifa lolote huchochewa na watu wake, mifumo ya utendaji na uchapakazi. Mabadiliko na udhibiti wa utendaji ni moja ya silaha kubwa katika kuchochea maendeleo na ufanisi ndani ya Taifa. Katika nchi yetu Tanzania kuna haja ya...
  17. Suley2019

    #COVID19 Serikali imefanya maboresho vipomo Corona uwanja wa ndege wa Mwalimu Nyerere

    SERIKALI imefanya maboresho ya miundombinu kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam kwa ajili ya upimaji wa virusi vya corona kwa wasafiri wanaoingia nchini. Hayo yamesemwa jana na Katibu Mkuu Wizara ya Afya, Prof. Abel Makubi wakati alipotembelea uwanja huo akiwa na...
  18. R

    Siku 100 za Rais Samia Suluhu, Tundu Lissu Amsifia sana, ataka maboresho zaidi ya kimfumo

    Akiwa katik maahijiono ya maswala mbali mbali ya kisaisa, kijamii na uchumi nguli huyo wa sheria na siasa za afrika mashariki amejikita ktk maswala ya 1. Haki 2. Ukweli na usuluhishi 3. Mabadiliko ya katiba 4. Harakati za kisiasa 5. Mageuzi katika uchumi wa Tanzania 6. Maendeleo endelevu. Tundu...
  19. screpa

    Mchezo wa Ngumi (Boxing) unaelekea kufa tena wasiporekebisha haya

    Kwa kipindi cha miaka kama miwili hivi mchezo wa ngumi ulionekana kurudi kwa kasi na kuanza kufuatiliwa na watanzania wengi kama ilivyokuwa huko nyuma enzi za kina Rashid Matumla. Hii ilichochewa kwa kiasi kikubwa na uwepo wa Mwakinyo ambaye alipata jina baada ya kumtwanga Mwingereza ambaye...
  20. Zak Malang

    Tanesco msituchezee akili -- maboresho yenu ya LUKU yamekwama!

    Ndivyo hivyo. Leo mchana huu nilikwewnda kwa agent wa Tanesco kununua umeme kama ilivyoelekezwa na matangazo ya Tanesco ya zaidi ya wiki sasa. Yule agent kaniambia hakuna luku -- yaani amesitisha kuuza umeme kwa sababu waliokuja kununua umeme leo hawakupata vikaratsi 3 kama Tanesco ilivyotangaza...
Back
Top Bottom