mwl. nyerere

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Abdul S Naumanga

    Kwanini Hans Poppe na wenzake walitaka kumpindua Mwl. Nyerere? (SEHEMU YA 1️⃣)

    HATIBU GADHI & OTHERS versus REPUBLIC, 1996. Karibu katika sehemu ya kwanza ya uchambuzi wa kina wa kesi hii ya kihistoria yenye mengi yaliyojificha ama yasiofahamiwa na watanzania wengi wa kizazi cha sasa. Katika makala hii ya kusisimua tutachambua kwakina kwanzia historia ya wahusika (hasa...
  2. Analogia Malenga

    Jenereta la kwanza la mradi wa Mwl. Nyerere kuanza kufanya kazi Januari 2024

    Jenereta ya kwanza kwenye Mradi wa Umeme wa Maji wa Julius Nyerere (JNHPP) wenye jumla ya megawati 2,115 itaanza kufanya kazi mwezi ujao, ikileta Tanzania karibu kufikia ndoto yake ya kumaliza ugavi usio wa uhakika wa umeme na kuwa nchi inayouza umeme. Ikiwa mtambo huu mkubwa utafanya vizuri...
  3. peno hasegawa

    TANESCO Washindwa kutoa ufafanuzi kuhusu Bwala la kufua umeme la Mwl. Nyerere kuwa na nyufa au halina.

    Someni hapa. https://www.jamiiforums.com/threads/bwala-la-kufua-umeme-la-mwl-nyerere-limeanza-kutoa-nyufa.2137275/ https://www.jamiiforums.com/threads/tanesco-watoa-ufafanuzi-kuhusu-bwala-la-kufua-umeme-la-mwl-nyerere-kuwa-na-nyufa.2139865/
  4. R

    TANESCO watoa ufafanuzi kuhusu Bwawa la kufua umeme la Mwl. Nyerere kuwa na nyufa

    TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI HALI YA UBORA WA MRADI WA JNHPP NA UHIFADHI WA WANYAMA PORI Jumapili, 10 Septemba 2023. Kuna taarifa zinasambaa kwenye mitandao ya kijamii kuhusu mradi wetu wa Bwawa la Kufua Umeme la Mwalimu Nyerere (JNHPP). Taarifa hizo zinaelezea na kuleta hofu kuhusu Ubora...
  5. P

    UZUSHI Nyerere ni baba mzazi wa Freeman Mbowe

    Wakuu kwema? Kuna sehemu nilisikia wana wanasema hili kuhusu Mbowe kuwa na uhusiano wa damu na Hayati Mwl. Julius Nyerere, wakawa wanasema hata jinsi Mbowe alivyofanana na Nyerere kwamba kuna uhusiano zaidi ya familia zao kuwa marafiki lakini kweli ni kwamba Mbowe ni mtoto wa Nyerere. Eti...
  6. benzemah

    Rais Samia, Hayati Mwl. Nyerere na Hayati Mzee Karume Watunukiwa Tuzo za Heshima Katika Maadhimisho Miaka 60 ya JKT

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Amiri Jeshi Mkuu Dk. Samia Suluhu Hassan, ametunukiwa tuzo maalum ya heshima katika katika kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT). Tuzo Maalum pia zimetolewa kwa waasisi wa Taifa letu ambao pia ni waasisi wa Jeshi...
  7. Mshana Jr

    Wachagga walitaka kuunda nchi yao (Chagga State), Mwl. Nyerere akaomba wasifanye hivyo

    Wakati wazungu wanagawana bara la Afrika, walipokuja walikuta baadhi ya maeneo kuna tawala zenye nguvu, zilizokua na mfumo rasmi wa uongozi. Mojawapo ya tawala ilikuwa ni dola ya wachagga (Chagga state). Dola hiii ilikuwa na Kiongozi Mmoja aliyeitwa Mangi Mkuu Mangi mkuu aliteua Mamangi wadogo...
  8. Replica

    Uwanja wa Ndege wa Mwl. Nyerere Terminal II kufungwa miaka 2 kupisha maboresho

    Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere kufunga sehemu ya Terminal II kuanzia Juni mwaka huu kwa miaka miwili kupisha maboresho. Mkurugenzi wa TAA, Musa Mbura kasema shughuli zake zitahamishiwa Terminal III. Terminal II ilijengwa miaka ya 1980, maboresho hayo yanakuja baada ya Rais...
  9. kavulata

    Mwl. Nyerere aliitabiria mema CHADEMA, Ndugai na Bashiru msihuzunike

    Hizi shangwe sio za bure, Mkutano Mkuu wa CCM umekwisha, mengi tumeyaona na mengi tumeyasikia. Sasa tunafahamu ni nani kasema nini na nani anataka nini. Tumejitoa ufahamu watanzania wote kukubali kuogopa kuiadhibu CCM hata kama inafanya makosa tusiyoyataka. CCM imegeuka Mungumtu, hakuna...
  10. S

    Huyu Tajiri wa Mabasi ya Mbulu Trading Co. Ltd(au Sunvic Express Ltd) Ameiweka Serikali Mfukoni km yule Mgiriki wa Mwl. Nyerere?

    Kuna Kampuni ya mabasi inayofanya safari zake kati ya Arusha na Haydom kupitia Karatu na Mbulu km ilivyotajwa hapo juu. Ktk kibali chake cha biashara ilitakiwa kila siku iwe inasafirisha mabasi manne, mawili kutoka Arusha kwenda Haydom(basi la kwanza inatakiwa iondoke saa 12 asubuhi na la pili...
  11. jiwekuu770

    Sifa inayopata Rwanda Msumbiji ilibidi tuwe tunapewa Tanzania kama Jeshi letu lingeenda na kasi ya Mwl. Nyerere?

    Miaka 1960-1980 jeshi la Tanzania lilikua ni tishio Africa. Kwa East Africa ndyo lilikua kinara kwa ubora na kuogopeka kijeshi? Vita ya tz na Ug ililipa headline nyingine achilia mbali kushiri ukombozi katka nchi zingine. Lakin sasa zama zimebadilika Uganda ya sasa si ile Kenya nayo imepiga...
  12. Lord OSAGYEFO

    Kwanini Mwl. Nyerere alipigiwa kura licha ya kuwa mgombea pekee lakini leo mgombea akibaki pekee anatangazwa kapita bila kupingwa?

    Wadau nawakumbusha tu wakati wa Awamu ya 1 Hayati baba wa taifa Mwl. Nyerere licha ya kuwa ni mgombea pekee hakuwa na mpinzani hakuwahi kutangazwa kuwa kapita bila kupingwa badala yake wananchi walimpigia kura na kuhesabiwa kisha matokeo kutangazwa. Lakini leo tume ya uchaguzi mgombea akibaki...
  13. T

    Prof. Mbwiliza, Natamani uongelee awamu 6

    Kama kuna mstaafu wa kisiasa utavutiwa kusoma maoni yake pindi afanyapo mahojiano na waandishi wa habari ni Prof. Joseph Mbwiliza. Huyu ni mbunge wa zamani wa Kasulu kabla ya kugawanyika na kuwa majimbo 3, Mjumbe wa NEC akiwakilisha mkoa wa Kigoma enzi hizo, RC wa Kilimanjaro na Naibu waziri...
  14. H

    Mwalimu Nyerere na sifa zisizobishaniwa

    Bahati mbaya vijana wengi humu JF hawakuwahi kumwona wala kumwelewa Mwalimu Nyerere. Mimi nilibahatika nyakati hizo nikiwa shule ya msingi, kiongozi wa chipukizi, nilipeana mkono naye kara moja. Na mara ya pili na ya tatu l, akiwa amestaafu. Nilipata kuvisoma vitabu vyake vichache, na wakati...
  15. Erythrocyte

    Maneno ya Mwl. Nyerere kuhusu Udikteta ambayo viongozi wa sasa Tanzania wanayakwepa

    Hebu na wewe sasa utoe maoni yako ili yaingizwe moja kwa moja kwenye kumbukumbu ya kifo chake
  16. T

    Ambao hawakumuona Mwl. Nyerere, wamemuona Dkt. Magufuli

    Leo hapa jijini kunafanyika kongamano la miaka 100 tangia kuzaliwa kwa Baba wa Taifa letu, Mwl. Julius Kambarage Nyerere, 1922 huko Butiama mkoani Mara Vijana wengi wa sasa hatukubahatika kumuona Mwl. Nyerere Bali tunamsoma tu vitabuni na kuskia masimulizi kumhusu. Mfano: 1. Kwamba Mwl...
Back
Top Bottom