Maboresho ya sheria na mfumo chini ya uongozi wa Rais Samia yanavyoutesa upinzani

Tafakari yetu

JF-Expert Member
Apr 19, 2021
1,502
4,408
Amani iwe nanyi,

Kwa mara nyingine ,tutafakari masuala na madai mbalimbali ya wapinzani hususani dai la katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Katika kutafakari huku kila mtu ahitimishe kwa kujiuliza maswali yafuatayo:
i) Je, dai la katiba mpya ni la Wananchi?
ii) Kama ni la Wananchi ,kwa nini kama limekosa nguvu ya Wananchi na ni kama wanalazimishwa?
iii) Je, ni kweli katiba ya sasa haifai mpaka ipatikane mpya?

Nakumbuka kipindi fulani mbobezi wa sheria na katiba Prof.Kabudi alielezea kwa kirefu sana umuhimu wa katiba tuliyonayo na hasa ilivyotusaidia kuvuka vipindi vigumu katika historia ya nchi yetu. Kwa mantiki ya muono wa Prof.Kabudi juu ya katiba iliyopo ni kusema kwamba inahitaji maboresho tu na sio kubadilishwa kabisa.

Maboresho haya ni fumbo linalofumbuliwa kipindi Cha Rais Samia. Tunaona tume mbalimbali zikiundwa kwa lengo la kufanyia maboresho sheria, mojawapo ni tume ya kuchunguza mfumo wa haki jinai.

Tume hizi na maboresho haya ni mwiba mchungu sana kwa upinzani. Tume na maboresho haya zinatatua matatizo ya msingi ya Wananchi. Sio kweli kwamba Wananchi wanataka tume huru ya uchaguzi au katiba mpya ila wanataka mifumo ya upatikanaji wa haki na changamoto zao kutatuliwa.

Tume hizi na maboresho haya ni kama yamefifisha kwa kiasi kikubwa mpango wa upinzani kudai katiba mpya. Wananchi hawaoni umuhimu wa katiba mpya unaopigiwa chapuo na upinzani kila uchwao. Ya Wananchi yanatatuliwa na Rais Samia kila leo.

Sasa wapinzani wapo kwenye mateso makubwa, mateso ya kuelezea umma juu umuhimu wa katiba mpya ambao kimsingi kwa sasa haupo zaidi ya marekebisho yanayoendelea kufanyika.

USHAURI KWA UPINZANI
Kwa sasa mnaonekana mnalazimisha kitu kisichohitajika na Wananchi. Madai yenu ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ni madai binafsi na si ya Wananchi na zaidi Wananchi wanaona wanasukumwa kwenye mkumbo usio na faida kwao.

Tumieni majukwaa mliyonayo kujielekeza kwenye kuwashawishi Wananchi kwa vitu vinavyoonekana na muachane na harakati za katiba mpya. Nimezungumza na makundi mbalimbali na nimebaini suala la katiba mpya halina mwitikio chanya kwa Wananchi.

Nawashauri muache muda utakuja kuwapatia katiba mnayoidai lakini ni mpaka pale Wananchi washawishike vya kutosha kwamba katiba ya sasa inatakiwa kubadilishwa.

Pia, nawashauri ikiwapendeza shirikianeni na Serikali ya Rais Samia kufanya maboresho kwenye katiba ya sasa. Kwa sababu Kuna nchi kubwa duniani toka zimepata uhuru mpaka sasa zina zaidi ya miaka 200 mfano ni Marekani lakini hawajawahi kubadili katiba ila yanafanyika maboresho.

HITIMISHO
Agenda ya katiba mpya tukiacha unafiki pembeni imezimwa kwa kiwango kikubwa na maboresho ya sheria yanayofanyika, maendeleo ya kiuchumi na uongozi shupavy wa Rais Samia. Watu wanaona na zaidi wanatambua katiba mpya haitawaletea chakula mezani, haitofanya lolote kama nia ya kufanya haitakuwepo hivyo hata muwalazimishe na muwahimize kwa maandamano bado hawatofanya.

Ni kitendo Cha kusema Rais Samia ni mfuasi na muumini wa mabadiliko ya kweli ya Wananchi kwa sababu anajua nini Wananchi wanataka, lini awapatie Wananchi wake na kwa namna gani.

Sote Kama Taifa tumshukuru Mungu kwa kutupatia Rais Samia kwa sababu kushindwa kufanya hivi tutakuwa wachoyo wa shukrani.

Ni Mimi Limi Mwabila
0785 655 580
 
Siku hizi naona kama mama hajishughulishi na namba za simu au wanaompelekea maandiko yenu wanasahau namba zenu za simu?
 
Katiba bora ndiyo maisha yako bora unajua umuhimu wa katiba ndiyo maana umeandika namba zako za simu(We differ on how to handle and tolerate uncertainty; some people seem to enjoy taking risks and living unpredictable lives, while others find disturbing experiences caused by the randomness of life), but also our brains are wired for short term goals and objectives
 
Amani iwe nanyi,

Kwa mara nyingine ,tutafakari masuala na madai mbalimbali ya wapinzani hususani dai la katiba mpya na tume huru ya uchaguzi. Katika kutafakari huku kila mtu ahitimishe kwa kujiuliza maswali yafuatayo:
i) Je, dai la katiba mpya ni la Wananchi?
ii) Kama ni la Wananchi ,kwa nini kama limekosa nguvu ya Wananchi na ni kama wanalazimishwa?
iii) Je, ni kweli katiba ya sasa haifai mpaka ipatikane mpya?

Nakumbuka kipindi fulani mbobezi wa sheria na katiba Prof.Kabudi alielezea kwa kirefu sana umuhimu wa katiba tuliyonayo na hasa ilivyotusaidia kuvuka vipindi vigumu katika historia ya nchi yetu. Kwa mantiki ya muono wa Prof.Kabudi juu ya katiba iliyopo ni kusema kwamba inahitaji maboresho tu na sio kubadilishwa kabisa.

Maboresho haya ni fumbo linalofumbuliwa kipindi Cha Rais Samia. Tunaona tume mbalimbali zikiundwa kwa lengo la kufanyia maboresho sheria, mojawapo ni tume ya kuchunguza mfumo wa haki jinai.

Tume hizi na maboresho haya ni mwiba mchungu sana kwa upinzani. Tume na maboresho haya zinatatua matatizo ya msingi ya Wananchi. Sio kweli kwamba Wananchi wanataka tume huru ya uchaguzi au katiba mpya ila wanataka mifumo ya upatikanaji wa haki na changamoto zao kutatuliwa.

Tume hizi na maboresho haya ni kama yamefifisha kwa kiasi kikubwa mpango wa upinzani kudai katiba mpya. Wananchi hawaoni umuhimu wa katiba mpya unaopigiwa chapuo na upinzani kila uchwao. Ya Wananchi yanatatuliwa na Rais Samia kila leo.

Sasa wapinzani wapo kwenye mateso makubwa, mateso ya kuelezea umma juu umuhimu wa katiba mpya ambao kimsingi kwa sasa haupo zaidi ya marekebisho yanayoendelea kufanyika.

USHAURI KWA UPINZANI
Kwa sasa mnaonekana mnalazimisha kitu kisichohitajika na Wananchi. Madai yenu ya katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ni madai binafsi na si ya Wananchi na zaidi Wananchi wanaona wanasukumwa kwenye mkumbo usio na faida kwao.

Tumieni majukwaa mliyonayo kujielekeza kwenye kuwashawishi Wananchi kwa vitu vinavyoonekana na muachane na harakati za katiba mpya. Nimezungumza na makundi mbalimbali na nimebaini suala la katiba mpya halina mwitikio chanya kwa Wananchi.

Nawashauri muache muda utakuja kuwapatia katiba mnayoidai lakini ni mpaka pale Wananchi washawishike vya kutosha kwamba katiba ya sasa inatakiwa kubadilishwa.

Pia, nawashauri ikiwapendeza shirikianeni na Serikali ya Rais Samia kufanya maboresho kwenye katiba ya sasa. Kwa sababu Kuna nchi kubwa duniani toka zimepata uhuru mpaka sasa zina zaidi ya miaka 200 mfano ni Marekani lakini hawajawahi kubadili katiba ila yanafanyika maboresho.

HITIMISHO
Agenda ya katiba mpya tukiacha unafiki pembeni imezimwa kwa kiwango kikubwa na maboresho ya sheria yanayofanyika, maendeleo ya kiuchumi na uongozi shupavy wa Rais Samia. Watu wanaona na zaidi wanatambua katiba mpya haitawaletea chakula mezani, haitofanya lolote kama nia ya kufanya haitakuwepo hivyo hata muwalazimishe na muwahimize kwa maandamano bado hawatofanya.

Ni kitendo Cha kusema Rais Samia ni mfuasi na muumini wa mabadiliko ya kweli ya Wananchi kwa sababu anajua nini Wananchi wanataka, lini awapatie Wananchi wake na kwa namna gani.

Sote Kama Taifa tumshukuru Mungu kwa kutupatia Rais Samia kwa sababu kushindwa kufanya hivi tutakuwa wachoyo wa shukrani.

Ni Mimi Limi Mwabila
0785 655 580
Tafadhali mkuu next time attach na email address!! Anything can happen....
 
Back
Top Bottom