kuimarika

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Kuimarika kwa shillingi ya Tanzania dhidi ya shillingi ya Kenya

    Hii ni habari njema sana. Shillingi ya Tanzania imeimarika sana dhidi ya shillingi ya Kenya. Miezi michache iliyopita shilingi moja ya kKenya ilikuwa ikibadilishwa kwa shillingi 22 ya Kitanzania. Leo hii shillingi moja ya Kenya inabadilishwa kwa shillingi 15.52 ya Kitanzania. Hii ni...
  2. L

    Ushirikiano wa kiuchumi kati ya China na Afrika kwa mwaka 2024 unatarajiwa kuimarika

    Katika kipindi cha miongo miwili iliyopita, China imejenga uhusiano wa kina wa kiuchumi na nchi za Afrika, na kuifanya kuwa mshirika mkubwa zaidi wa biashara wa nchi hizo, na chanzo muhimu cha uwekezaji wa moja kwa moja. Katika kipindi cha miaka miwili hadi minne iliyopita, kutokana na...
  3. The Burning Spear

    Ukimya wa mstaafu Kikwete tulidhani ni busara kumbe hamna kitu

    Aisee mzee wetu katia aibu kubwa sana. Alichoongea hakina uhalisia wowote kwa sababu wanasiasa hawa hawa wanategemea sana kufanikisha mambo yao kupitia dini. Yaani Edo Kumwembe amechambua vizuri sana sijajua nani alimwandalia ile hotuba huyu mzee kule Mara. ====== Edo Kumwembe: Wakati...
  4. R

    Ujio wa DP World, kuimarika kwa kundi la Ugaidi Mozambique, kudhoofu kwa Usalama Kongo na uwepo wa Alshaabaab tuviangalie kwa mapana

    Tanzania ni nchi pekee ambayo kwa sasa imekaa eneo la kimkakati ambalo lisipolindwa vyema ipo hatari mataifa ya magharibi yakapenya na kutuondolea kabisa amani iliyopo kwenye ukanda wa bahari na Afrika Mashariki. Tunapowaza kuhusu DP world kuja kiuchumi lazima pia tuangalie kiusalama. Tumeona...
  5. L

    Safari milioni 274! Mapumziko ya Siku ya Wafanyakazi Duniani yanaonyesha kuimarika kwa uchumi wa China

    "Kuweka rekodi", "nguvu kubwa”, "imani”... Haya ni baadhi ya maneno yaliyotumiwa sana na vyombo vya habari vya nchi mbalimbali wakati wa kuripoti mapumziko ya Siku ya Wafanyakazi Duniani hapa China yaliyomalizika hivi karibuni. Takwimu zinaonyesha kuwa wakati wa mapumziko ya siku tano...
  6. K

    THRDC: Ujio wa Kamala Harris ni matokeo ya kuimarika kwa Haki za Kibinadamu na Utawala Bora

    Mratibu wa mtandao wa watetezi wa Haki za Binadamu Tanzania (THRDC), Onesmo Olengurumwa anasema ziara zozote za viongozi wakubwa zinakuwa na manufaa ya kuboresha uhusiano wa kidiplomasia baina ya nchi hizo na kwamba Tanzania imekua kwenye nafasi nzuri. "Viongozi hawa wakuu wanapopanga ziara zao...
  7. P

    Sekta ya afya yazidi kuimarika chini ya Serikali ya Rais Samia

    Serikali ya awamu ya sita imekua na mwendelezo mzuri sana sekta ya afya, imejenga zahanati 786, na vituo vya afya 471, pia imekarabati na kuboresha huduma katika hospitali za almashauri 154, Bila kusahau mkoa wa kigoma ambao kimaendeleo ulisahaulika sana, nao umepata mashine ya CT-scan kwa mara...
  8. N

    Maboresho ya elimu msingi na awali

    Serikali imeeleza kishindo kingine katika sekta ya elimu baada ya kueleza mwaka huu imepanga kujenga madarasa mapya 9,000 kwa shule za msingi na awali. Katika mpango huo Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais Samia Suluhu inatarajia kutumia Tsh Bilioni 250.9 kwa lengo la kuboresha...
  9. M

    Marekani yapitisha sheria itakayotambua ndoa za jinsia moja

    Senate passes same-sex marriage bill with bipartisan support By Brianna Herlihy Published November 29, 2022 The U.S. Senate passed the Respect for Marriage Act Tuesday in a bipartisan vote of 61 to 36, which will require the federal government to recognize all marriages, including same-sex...
  10. L

    Ushirikiano kati ya China na Tanzania waendelea kuimarika

    Caroline Nassoro Mwaka 2013, ndani ya mwezi mmoja tangu aingie madarakani, rais Xi Jinping wa China alifanya ziara nchini Tanzania, ambako alitumia ziara hiyo kutambulisha sera ya nchi yake kuelekea bara la Afrika, akisisitiza kuwa pande hizo mbili zitaendelea kutegemeana katika nyanja zote...
  11. L

    Ziara ya Rais wa Tanzania nchini China ni ishara ya kuimarika kwa uhusiano kati ya nchi hizo mbili

    Mkurugenzi wa Taasisi ya Utafiti wa Mambo ya China ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Profesa Humphrey Moshi amesema, ziara ya rais wa Tanzania Samia Suluhu Hassan nchini China itaimarisha uhusiano kati ya nchi hizo mbili. Profesa Moshi amesema, ziara ya rais Samia nchini China si kama tu ni...
  12. N

    Mechi ya kirafiki na eagle sc yaonyesha kuimarika kwa yanga

    Nimefanikiwa kuona clips za mchezo wa kirafiki kati ya yanga na eagle sc inayoshiriki ligi daraja la nne mkoa wa dsm Yanga walicheza poa sana ,low blocks,high pressing na walikuwa wepesi kuwasoma wapinzani wao Kwa jinsi walivyocheza sioni ni kwa jinsi gani wasifike nusu fainali ya champions...
  13. L

    Uchumi wa nchi nyingi za Afrika utaendelea kukua kutokana na kuimarika kwa biashara kati ya China na Afrika

    Fadhili Mpunji Kila mkutano wa bunge la umma la China unapomalizika, utekelezaji wa mipango mipya ya serikali ya China huwa unaanza. Pamoja na kuwa mambo mengi yanayojadiliwa ni mambo ya ndani, mambo hayo pia huwa yanahusiana moja kwa moja na nchi za nje na yanahusu sera ya kidiplomasia ya...
  14. John Haramba

    Spika Tulia amtembelea Profesa Jay, asema afya yake inaendelea kuimarika

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Tulia Ackson, jana Machi 14, 2022 aliwatembelea na kuwajulia hali Joseph Haule maarufu kama Profesa Jay pamoja na Mama mzazi wa Mbunge wa Viti Maalum CHADEMA, Halima Mdee, Bi. Theresia Mdee ambao wamelazwa na kupatiwa matibabu katika...
  15. Kamanda Asiyechoka

    Pamoja na kupitia wakati mgumu CHADEMA inazidi kuimarika mioyoni mwa Watanzania

    CHADEMA ipo mioyoni mwa watanzania. CHADEMA inapitia magumu ya kipesa na hata ya kukandamizwa na wenye dola. Lakini inaimalika kila siku, na uzuri inaimalika ndani ya mioyo ya watanzania. Watanzania wana imani na chama makini chenye nia ya kuleta mabadiliko ya kiuchumi na kisiasa.
  16. J

    Mwaka mmoja bila Magufuli: Je, Demokrasia na Uhuru wa kujieleza vimezidi kuimarika, vimepungua au tuko palepale alipotuacha?

    Nauliza ili swali tukiwa tunaelekea kutimiza mwaka mmoja tangu Rais wa Tanzania John Magufuli afariki akiwa madarakani. Je, hali ya demokrasia ikoje? Je, uhuru wa kujieleza ukoje? Je, ubadhirifu wa mali ya umma ukoje? Je, halmashauri ufisadi hali ikoje hasa Uviko fund? Mauwaji je, hasa...
  17. Ze Bulldozer

    Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi amshukuru Rais Samia Suluhu na IMF

    === Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe Hussein Ally Hassan Mwiny amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe Samia Suluhu Hassan kwa Upambanaji wake kwa Taifa lake la Tanzania na kumtaka aendelee hivyohivyo kuumizwa na umasikini wa watu wake anaowaongoza toka pande...
  18. Stephano Mgendanyi

    Umahiri wa Rais Samia Suluhu ni kielelezo cha kuimarika kwa utawala bora nchini Tanzania

    UMAHIRI WA MHE. RAIS SAMIA SALUHU HASSAN NI KIELELEZO CHA KUIMARIKA KWA UTAWALA BORA NCHINI TANZANIA. UTAWALA BORA ni matumizi ya Mamlaka ambayo yanakuwa na Uwazi, Uwajibikaji, Ushirikishaji wa watu, Ufanisi, Tija, Uadilifu Usawa na unafuata Utawala wa sheria. DEMOKRASIA ni dhana pana sana...
Back
Top Bottom