Dkt. Mollel kuunguruma UTV kueleza maboresho sekta ya afya Mei 8, 2023

BWANKU M BWANKU

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
328
414
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel atakuwa mubashara kesho Jumatatu Mei 08, 2023 kwenye kituo cha Azam TV kueleza maboresho makubwa kwenye sekta ya Afya.

Usikose kutazama UTV katika kipindi cha Morning Trumpet kujionea maboresho katika Sekta ya Afya kuanzia saa 01:05 asubuhi.

FB_IMG_1683474093283.jpg
 
Ukimtazama kama mwehu fulani vile.
 
Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel atakuwa mubashara kesho Jumatatu Mei 08, 2023 kwenye kituo cha Azam TV kueleza maboresho makubwa kwenye sekta ya Afya.

Usikose kutazama UTV katika kipindi cha Morning Trumpet kujionea maboresho katika Sekta ya Afya kuanzia saa 01:05 asubuhi.
Ana haiba ya kuwa manager wa bar

USSR
 
Arudishe Mloganzila iwe university teaching hospital ili madactri wafanye mitihani ya board kuthibitisha ubingwa.
 
Back
Top Bottom