wageni

Wageni Airport (ICAO: FZNS) is an airport serving the city of Beni, in the North Kivu Province of the Democratic Republic of the Congo. The airport is in the northeast section of the city.

View More On Wikipedia.org
  1. Damaso

    Mwendokasi kutumiwa na wageni kuanzia keshokutwa

    Serikali imetangaza kwamba ili kuwapunguzia wananchi adha ya foleni wakati wa mkutano wa viongozi wa Afrika unaonza keshokutwa, wageni watakuwa wakitumia njia ya mwendokasi kwenda na kurudi Uwanja wa Ndege. Akizungumza na waandishi wa habari jioni hii, Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega...
  2. Jack Daniel

    Kwa wageni na waajiriwa wapya makazini, zingatia haya

    Hii ni Furahi day,ijumaa fulani tulivu japo haiwezi kuwa Kwa wote. Leo nije na kero moja,ambayo wengi hupuuzia au huumia ila hakuna namna. Hii moja Kwa moja inawahusu wageni kwenye shughuli zote za uendeshaji wa taifa hili. Nianze na wale ambao ndiyo Kwanza wanaajiriwa, 1.Usipende kutamani...
  3. Mwamuzi wa Tanzania

    Tetesi: Karibia sehemu zote zenye madini wameshapewa wageni

    Hii sio habari ya udaku. Ni habari ambayo kila mwenye akili timamu anaweza kuihakiki. Huko vijijini wawekezaji (wachimbaji) kutoka Asia hasa wachina wametapakaa wakichimba madini. Kama mjuavyo Wachina walivyo na akili, Mchina anajua madhaifu ya Mtanzania, kuwa ukimwekea pesa kwenye bahasha tu...
  4. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Aitaka Idara ya Uhamiaji Kutoa Huduma Nzuri kwa Wageni, Kuchochea Utalii

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ameitaka Idara ya Uhamiaji kuendelea kuwa mstari wa mbele kuchochea na kukuza utalii nchini kwa kutoa huduma bora na nzuri kwa wageni wanaokuja nchini kwa shughuli mbalimbali. Ameeleza hayo Januari 10, 2025 Micheweni Mkoa wa Kaskazini Pemba...
  5. Mr Why

    Kasheshe la Christmas, hapa kijijini kwetu wageni wameamka bila makeup ikabidi watambulishwe upya

    Kasheshe la Christmas, hapa kijijini kwetu wageni wameamka bila makeup ikabidi watambulishwe upya Walipokuja walitambulishwa na sura zao kila mmoja akazishika ila ilipofika asubuhi hali ikawa tofauti ikabidi kiongozi wa familia aitishe kikao cha dharura kwaajili ya kutambulisha wageni upya
  6. Meragraphics

    MNAOGEUZA MABANGO YANAYOONESHA LOCATION ZA MTAA MNATUPOTEZA WAGENI

    Kuna baadhi ya watu wasiojielewa wamekuwa na desturi ya kuchezea vile vibango vinavyoonesha location za mitaa mwisho wa siku wanavigeuza Yaani kama mtaa upo mashariki basi kile kibango kinageuziwa magharibi. MNATUPOTEZA wageni
  7. GoldDhahabu

    Bei ya nyumba za kulala wageni Kampala zikoje kwa sasa?

    Heri ya Krismas na mwaka mpya! Wiki ijayo nitakuwepo Kampala, na ninatarajia kuwepo huko kwa siku kadhaa! Tafadhali mliopo huko, na hata kwingineko wenye "taarifa" mnisaidie yafuatayo: 1. Bei za nyumba za kulala wageni(za kawaida, siyo za kifari), zina kawaida ya kubadilika mwishoni mwa...
  8. D

    Hata wageni wameshajua kuwa Tanzania ni nchi ambayo watu wake wanaishi kwa mazingaombwe

    Tanzania ndiyo nchi pekee ambayo watu wanaishi kwa mazingaombwe. Miujiza inayokuwa claimed kufanywa na hawa wachungaji ni mazingaombwe ambayo yako formalised na hakuna tofauti na yale ya akina mwanamarundi au power mabula. Ndo mana hata akina prince dube au ateba nao wameenda kitafuta...
  9. USSR

    Haka kakitu nakaona mahotelini na nyumba za wageni kazi yake nini mwenye kujua matumizi

    Na mitaani naona vimekuwa vikiongezeka maradufu matumizi yake ni gani ? USSR
  10. Yoda

    Inawezekana vibwengo ni viumbe wageni kutoka sayari nyingine(aliens) wanaozuru duniani

    Kuna stori nyingi hasa za wanafunzi wa shule za sekondari kuona au kukutana na viumbe wa ajabu ajabu wasioeleweka ambao wamepewa jina maarufu la vibwengo. Stori nyingi huwa zinawahusisha hawa viumbe wanaodaiwa kuonekana na uchawi, tatizo kubwa Waafrika mambo mengi yasiyoeleweka huwa...
  11. Chizi Maarifa

    Dini zililetwa na Wageni, Halafu hatukuzichunguza kwanza. Tukazifakamia. Mababu zetu wanasemaje?

    Asili ya hizi Dini Mbili. Tumsikilize ndugu yetu akituelezea hapa kwa logic kabisa. Bila kupepesa macho.
  12. Fortilo

    Waziri wa Maliasili: Nani karuhusu jamii hii irekodiwe na wageni? Wanalipwa? Inatuchafua sana

    Ndugu Waziri Salam, Kuna video za jamii ya Wahadzabe zinazoishi maisha ya kijima porini, na ni jamii "duni" kulingana na mfumo wa maisha wa kisasa. Lakini kwa bahati mbaya sana, kuna wageni wenye asili ya Asia wamekuwa waki record mtindo wao wa maisha na ku label kama Watanzania. Ni video...
  13. W

    P Diddy aliwasainisha Wageni waliokuwa wakihudhuria Sherehe zake Mkataba wa Faragha

    Fahamu Masharti ya Kudumu ya Mkataba wa Faragha wa waalikwa katika Sherehe za P Diddy Mhusika hapaswi kusema yatakayotokea katika sherehe hizo hadi kifo cha P Diddy na miaka 20 zaidi baada ya kifo, huku Mkataba huu ukiwa na Wastani wa muda wa takriban Miaka 70 kwa mhusika. Mkataba huu pia...
  14. blessings

    Raia Afrika Kusini Wana Haki kuchukia wageni

    Weusi wamepigania Uhuru wao dhidi ya ubaguzi wa rangi (apartheid) mpaka mwanzoni mwa Miaka ya 1990s wanapata Uhuru. Baada ya hapo, wanatokea weusi wenzao toka Zimbabwe, Malawi, Nigeria, Cameroon, Tanzania, Congo na Ethiopia kwenda kugongea fursa hizo hizo Ikiwemo - saloon, maduka (madogo...
  15. Eli Cohen

    Mwanzilishi wa hotel za Hilton ilibidi alale ofisini kwake ili tu a-utilize kila nafasi iliobaki kwa ajili ya vyumba vya kulala wageni

    Hilton alipoletewa ramani kwa ajili ya ujenzi wa hotel yake ya kwanza alihakikisha kila nafasi iliokuwa imeachwa wazi anaitengenezea kitu cha kumuingizia mapato. Kama vile lobby iliokuwa imewekwa aliieguza kuwa bar room na sehemu ya kuuzia sigara na vitu vingine vya kufanana ili tu hata...
  16. Roving Journalist

    Bashungwa aongoza harambee ujenzi wa Ukumbi na Vyumba vya kulala Wageni Parokia ya Kasumo; zaidi ya milioni 45 zakusanywa

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) ameshiriki Misa Takatifu na kuongoza harambee ya kuchangia ujenzi wa ukumbi na vyumba vya kulala wageni katika Parokia ya Bikira Maria Malkia wa Amani Jimbo Katoliki la Kigoma ambapo zaidi ya shilingi Milioni 45 zimekusanywa. Harambee hiyo imefanyika...
  17. Aliko Musa

    Mfumo bora wa kusimamia nyumba za wageni wa kipato cha chini na kipato cha kati

    Nyumba za wageni (guest houses) ni aina ya malazi ambayo yanatoa huduma za muda mfupi kwa wageni, sawa na hoteli lakini kwa kiwango kidogo zaidi. Nyumba hizi zinaweza kuwa na vyumba vichache ikilinganishwa na hoteli kubwa, na mara nyingi zinamilikiwa na kuendeshwa binafsi. Nyumba za wageni...
  18. Bushmamy

    Mama wa nyumbani anatafuta kazi ya usafi wa nyumba za kulala wageni au kazi yoyote.

    Mama mtu mzima ,umri miaka 40 anatafuta kazi ya usafi wa nyumba za kulala wageni ,au kazi yoyote halalI ajipatie kipato,. MahalI popote pale hata kijijini.yupo tayari
Back
Top Bottom