luhaga mpina

Luhaga Mpina
Luhaga Joelson Mpina ni mwanasiasa kutoka nchini Tanzanian akiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni Mbunge kutoka jimbo la Kisesa tangu mwaka 2005. Aliwahi kuteuliwa kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi na kudumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka mitatu katika utawala wa Hayati Magufuli
  1. Mpepetaji

    JamiiForums Tanzania SI KWELI PreGE2025 Mrisho Gambo anaungana na Luhaga Mpina 'Arusha Oktoba tutalinda kura'

  2. JF Member

    JamiiForums Tanzania GE2025 Ushauri kwa Luhaga Mpina na ACT

    Endeleani kukamata mwizi kimya kimya. Ila fanyieni kazi mambo yafuatayo mambo: 1. Mambo ya public speaking. Mpina watu wameshakuweke wewe kama ndio mpinzani. Sasa basi, kwa siku hizi chache, jitahidi uelewe kulitawala jukwaa. Maelezo yasiwe mengi sana ila yenye tija. 2. Tafuta sauti ya...
  3. J

    JamiiForums Tanzania Mpina naye ni kama amesukumiziwa kwenye kugombea Urais Watu wa namna hii ni kuwa nao makini sana hupataga uungwaji mkono wa ghafla!

    Kichwa cha Habari ni kirefu sana naamini kinatosha kuwa ndio Habari yenyewe Ni angalizo tu kwa sababu upande wa Tanganyika huyo Luhaga ni mkubwa kuliko ACT Wazalendo Mlale unono 😄🙏
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina na Ferej Jumanne wachukua Fomu ya kuwania Urais Ofisi za INEC, Agosti 15, 2025

    Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji wa Mahakama ya Rufaa Jacobs Mwambegele, leo tarehe 15 Agosti 2025 amekabidhi fomu za uteuzi kwa mgombea wa kiti cha Rais, Luhaga Mpina, na mgombea wa kiti cha Makamu wa Rais, Ferej Jumanne, kupitia Chama cha ACT Wazalendo. Hafla hiyo...
  5. M

    JamiiForums Tanzania GE2025 Baada ya Rais Samia kushindwa kuongoza nchi, kanda ya ziwa tutaenda na Luhaga Mpina 2025 ili akakate kamba za mafisadi

    Kwa tathimini iliyofanyika ni kwamba Rais Samia hawezi tena kuongoza nchi hii ya Tanzania hivyo unahitajika mbadala wa haraka ambao ni Luhaga Mpina Chini ya utawala wa Rais Samia ni salama zaidi ukiwa fisadi kuliko ukipinga ufisadi! Ndiyo maana Askofu Gwajima amefungiwa kwa kukemea utekaji...
  6. J

    JamiiForums Tanzania Kwanini magazeti yote makubwa Kichwa Kikuu cha Habari zao Leo ni Luhaga Mpina na Urais? Wapinzani nao wameanza kutangazwa?

    Hii inaonesha Uhuru wa vyombo vya Habari na Ukomavu wa Demokrasia Ahsanteni sana Jumaa Mubarak 🙏
  7. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina: Siwezi kuwa pandikizi la CCM

    "Kwa muda mrefu nimejitofautisha sana. Maana yake, kama ningekuwa pandikizi tu, si ningekuwa nashangilia haya mambo? Kama ningekuwa pandikizi, hata huko CCM ningekuwa nashangilia kama wale wanaomwambia mgombea wa CCM kwamba "wewe hatukudai", wakati wananchi wao hawana barabara, hawana madaraja...
  8. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina Kwenda ACT ni Kosa la Kiufundi ambalo mtu Smart asingeweza kulifanya. Hapa ndipo Ngosha wanapozidiwa ujanja na Wenzao

    Hamjambo wote! Sijajua Watani zangu, Ngoshaz kwa nini wanapotezaga umakini hasa wakiwa katika nafasi ya kufunga. Yaani karibu na Goli kabisa. Nitakupa Mfano kupitia JPM. JPM aliamua kutangaza vita ambayo kwa kweli alikuwa mstari wa mbele kukabiliana na adui zake. Ambao kwa sisi wanasaikolojia...
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Samia aliposema mimi ni Mbunge wa Taifa, alimaanisha nitakuwa Rais

    Akizungumza na wahariri wa vyombo vya habari, leo Agosti 14 jijini Dares Salaam, mgombea urais wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema Rais Samia Suluhu Hassan aliposema kuwa yeye anafaa kuwa Mbunge wa Taifa, alimaanisha kwamna yeye atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano. Rais Samia alitoa taarifa...
  10. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Taarifa za Jina langu kukatwa kugombea Ubunge Jimbo la Kisesa zilianza kutangzwa miaka 2 iliyopita na baadhi ya Viongozi wa CCM

    Akizungumza Wahariri wa Vyombo vya Habari katika Jengo la Maalim Seif, Dar es Salaam, Mgombea nafasin ya Urais chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina ameeleza kuwa taarifa za kukatwa jina lake kugombea ubunge Jimbo la Kisesa zilianza kutangazwa miaka miwili iliyopita na baadhi ya viongozi wa CCM...
  11. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Mpina ataja sababu za kuhama CCM

    Aliyekuwa kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ambaye ni mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupiti tiketi ya Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina ameeleza sababu zilizomfanya kuondoka ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) na kuhamia ACT Wazalendo. Soma pia: Bwege: Mpina siyo katoka...
  12. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Nampongeza Lissu kwa Uzalendo wake, Mungu hatomuacha, aikubali 'No Reforms No Election'

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina, ameonekana kuunga mkono kampeni ya 'No reform No election' ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) huku akimponge mwenyewe wa chama hicho Tundu Antiphas Lissu.
  13. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina: Kwenye Harambee ya CCM kuna Watu pale tunawadai zaidi ya Bilioni 400 anaenda kwenye Mkutano wa CCM anatoa Bilioni 1

  14. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Haiwezekani vifo hivi vinatokea, halafu waziri, IGP, makamishina wapo ofisini

    Akizungumzia malalamiko ya watu kutekwa na kuuawa na watu wasiojulikana, leo Agosti 14 jijini Dares Salaam, mgombea urais wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema hakuna kitu cha thamani kama maisha ya watu. “Haiwezekani watu waendelee kutekwa na kuuawa. Haiwezekani uhai na thamani ya maisha ya...
  15. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Nilianza kusikia nampiga vita Rais, nikachukua hatua ya kukutana na viongozi waandamizi wa Serikali, nikaomba kuonana na Rais haikuwezekana

    Akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari katika Jengo la Maalim Seif, Dar es Salaam, Mgombea nafasi ya Urasi chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina na aliyekua Mbunge Jimbo la Kisesa na Mwanachama wa CCM, ameeleza kuhusu kuenguliwa kugombea ndani ya CCM na kuhama chama Ameeleza baada ya...
  16. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Mkataba wa SGR bei halisi imezidishwa kwa Tsh. Trilioni 3.4

  17. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Luhaga Mpina: Kuna mikataba 43 ya Ubia Serikali imesaini bila kuipitisha Bungeni

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo Luhaga Mpina anasema ‘’sasa hivi tuna mikatakata 43 iliyoingiwa na serikali bila kuambiwa Bunge na kama halijaambiwa Bunge, hawajaambiwa wananchi’’
  18. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Luhaga Mpina: CCM ina wenyewe na hao wenyewe ndio mliowaona juzi kwenye harambee yao

    Luhaga Mpina Mgombea urais kupitia chama Cha ACT-Wazalendo akizungumza na wahariri wa vyombo mbalimbali vya habari nchini leo tarehe 14 Agost, 2025 katika Jengo la Maalim Seif, Dar es Salaam. "Nimezaliwa katika familia ya CCM akiwemo baba yangu ambaye ni mwanzilishi wa Chama Cha TANU,lakini...
  19. R

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mpina: Niliandika maoni kurasa 235 kwa Tume ya rais ya maboresho ya kodi, angalieni wagombea wote kama waliwahi kuandika hata kurasa 5 kushauri Taifa

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, Mgombea akizungumza na Wahariri wa Vyombo vya Habari katika Jengo la Maalim Seif, Dar es Salaam ameeleza yale aliyoyafanya katika kipindi cha uongozi wake aiwa kama waziri na Mbunge. Luhaga Mpina amesema...
  20. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania GE2025 Kwa mtazamo wako, kati ya mgombea urais Luhaga Mpina wa (ACT Wazalendo) na Salum Mwalimu wa (CHAUMMA), nani mkali zaidi na mwenye haiba ya urais?

    Ni yupi ana ushawishi zaidi na angalau mtaji wa kura za kumzidi mwingine? Kumbuka Luhaga Mpina anatoka mkoa Simiyu, huku Salumu Mwalimu akiwa anatoka Unguja, Zanzibar. Salum Mwalimu ana uzoefu wa kua naibu katibu mkuu wa chadema Taifa huko nyuma, na pia aliwahi kua mgombea mwenza wa urais...
Back
Top Bottom