Leo Agosti 19, 2025, Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, amefika Wilayani Chato, Mkoa wa Geita, kuomba udhamini kwa wananchi.
Akiwasalimia wananchi wakati wa zoezi la udhamini, Mpina amesema ni wakati wa kuing’oa nchi mikononi mwa...