catherine

Katherine, Catherine, and other variations are feminine names. They are popular in Christian countries because of their derivation from the name of one of the first Christian saints, Catherine of Alexandria.
In the early Christian era it came to be associated with the Greek adjective καθαρός (katharos), meaning "pure", leading to the alternative spellings Katharine and Katherine. The former spelling, with a middle a, was more common in the past and is currently more popular in the United States than in Britain. Katherine, with a middle e, was first recorded in England in 1196 after being brought back from the Crusades.

View More On Wikipedia.org
  1. Da Dona

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Catherine Lamwaka joins race for Deputy Speaker, pledges to “restore lost hope”

    Omoro District Woman MP Catherine Lamwaka has officially declared her bid for the position of Deputy Speaker of Parliament, saying her candidacy seeks to “resurrect the lost hope” among the people of Omoro District and Uganda at large, as she pledges to work alongside the incoming Speaker to...
  2. Mto wa mbu

    JamiiForums Tanzania Wako wapi wanawake machachari wa CHAUMMA, Catherine Ruge, Aisha Madoga, Susana Kiwanga?

    Uchaguzi wa mwaka jana ulileta kilio Cha kusaga meno Kwa baadhi ya wanasiasa. Hawa wanawake na wengine walijua watapewa ubunge wa mezani na CCM, walihaidiwa viti 20 vya ubunge, basi wakajaa na tamaa,kiburi, na jeuri wakakihama chama, na kwenda CHAUMA. Baada ya uchaguzi woote waliangukia pua...
  3. Mafyangula

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Baraka Chacha, aliyeshtakiwa kwa kesi ya uhaini aachiwa leo, na sasa yuko nyumbani kwao

    Taarifa zilizotufikia hivi punde (leo, Jumatano Desemba 24.2025) zinaeleza kuwa Baraka Chacha aliyekuwa gerezani akishtakiwa kwa kesi ya uhaini amechiwa, na sasa yuko nyumbani kwao Buza Kwa Mama Kibonge, Mtaa wa Mashine ya Maji, Dar es Salaam Jambo TV imezungumza kwa njia ya simu na Baba mzazi...
  4. DIVISHENI FOO

    JamiiForums Tanzania Kwanini Catherine Kahabi hajateuliwa ubunge?

    Yule dada machachari mwenye dishi lililochangamka kwani hajateuliwa kugombea ubunge? Sifa zote anazo, ni mpingaji mzuri wa dhambi ya ushoga na usagaji, anafaa kuwa hata Rais. Babu yake mwakyembe anapeta tu, nasikia kawa sijui Mkurugenzi wa nini. Natamani na Catherine naye akumbukwe. Amefungua...
  5. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Arusha: Catherine Magige alivyotoka ukumbini na kukataa kusaini matokeo

    Ndoto za waliokuwa wabunge wa viti maalum mkoa wa Arusha kurejea bungeni huenda zikakwama baada ya kushindwa kuwashawishi wajumbe wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Arusha. Wabunge hao amao wamapata kura pungufu, sasa watasubiri huruma ya Kamati Kuu ambayo ndiyo itatoa...
  6. W

    JamiiForums Tanzania GE2025 Catherine Magige na Zaitun Swai kusubiri huruma ya Kamati Kuu baada ya kukwama UWT Arusha

    Ndoto za waliokuwa wabunge wa viti maalum mkoa wa Arusha kurejea bungeni huenda zikakwama baada ya kushindwa kuwashawishi wajumbe wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Mapinduzi (UWT) Mkoa wa Arusha. Wabunge hao ambao wamapata kura pungufu, sasa watasubiri huruma ya Kamati Kuu ambayo ndiyo itatoa...
  7. Mfalme_wa_Nyika

    JamiiForums Tanzania Walichomfanya Catherine Magige (CCM VITI MAALUM ARUSHA) Ndivyo Watachomfanya Paul Makonda. WAJUMBE SIO WATU NI MBWA🤣

    Catherine Magige jana alienda kwenye uchaguzi wao pale ukumbi wa AICC Arusha akiwa anajiamini kuwa atapata kuchaguliwa na wanawake wenzake wa ccm tena viti maalum kwa kipindi cha miaka mitano tena na kukamilisha ngwe ya miaka 20... Mbunge mzigo huyu ambaye kwa miaka 15 alikuwa bungeni tu kama...
  8. Komeo Lachuma

    JamiiForums Tanzania Ujasusi : Mwanadada Catherine Perez alivyobadili Dini na kuwa karibu na Viongozi huku akiipeleleza Iran kwa niaba ya Mossad

    Hii Inatufundisha Usiamini Mtu hata kama Atakuonyesha upendo wa hali ya juu Kati ya mwaka 2013 hadi 2015 mwanadada Catherine perez shakdam raia wa Ufaransa aliingia nchini Iran kutokana na kuvutiwa sana na siasa za Iran za kutokubali kushindwa mbele ya nchi zenye nguvu pamoja na...
  9. Just Pray

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Catherine Magige achukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kuwakilisha wanawake kupitia CCM, Arusha

    Mbunge wa Viti Maalumu Mkoa wa Arusha, Catherine Magige amechukua fomu kuomba kuteuliwa kugombea ubunge kuwakilisha wanawake kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM). Soma Pia: Uzi maalum wa wanaotia nia kugombea Ubunge Uchaguzi Mkuu 2025 Catherine amekabidhiwa fomu hiyo leo Jumamosi, Juni 28, 2025...
  10. Mr Why

    JamiiForums Tanzania Maamuzi ya mwanadada Catherine Kahabi ya kuishi maisha ya kilokole yasiwe sababu ya kuingilia sanaa pamoja na kukosoa viongozi wa Serikali

    Maamuzi ya mwanadada Catherine Kahabi ya kuishi maisha ya kilokole yasiwe sababu ya kuingilia sanaa pamoja na kukosoa viongozi wa Serikali Catherine amekuwa akimkosoa Mh Kabudi alipopendekeza Muziki wa Singeli kuwa moja ya alama ya sanaa ya Tanzania jambo ambalo litasaidia kukuza utamaduni...
  11. Doctor Mama Amon

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Sababu za CHADEMA Kuwatengua Mwita na Catherine zafahamika: Wamesaini waraka wa kupinga ajenda ya ‘No Reform no Election’

    Mtaalam wa masuala ya utawala na uongozi, wa Chuo Kikuu cha Munich, Ujerumani, Profesa Dagobert Pinochet, anasema kuwa, tabia ya baadhi ya viongozi walioko kwenye ngazi za juu za utendaji kupinga kichini chini maamuzi halali wanayopaswa kuyasimamia, ni sumu kwa uhai wa taasisi. Pinocheti...
  12. figganigga

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tundu Lissu atengua uteuzi wa CPA Catherine Ruge

    Tundu Lissu, Mwenyekiti wa chama Taifa CHADEMA leo 5.4.2025 ametengua uteuzi wa mjumbe wa sekretarieti na mtalamu wa dawati la jinsia Catherine Ruge. Catherine Ruge ni mmoja ya Kikundi cha ndani ya CHADEMA cha G55 chenye Malengo ya kukwamisha Kampeni ya no reforms no Election. Pia wanadaiwa...
  13. JanguKamaJangu

    JamiiForums Tanzania Pamela Maasay ashinda Ukatibu Mkuu BAWACHA, amwaga Catherine Ruge

    Pamela Maasay Pamela Maasay amechaguliwa kuwa Katibu wa Baraza la Wanawake Chadema (Bawacha) akimbwaga Catherine Ruge aliyeshindwa kutetea nafasi hiyo. Pamela ameibuka kidedea kwa kura 37 sawa na asilimia 54 katika kinyanganyiro hicho huku Catherine akipata kura 34 sawa na asilimia 40 na...
  14. G Sam

    JamiiForums Tanzania Catherine Ruge apigwa chini BAWACHA

    Catherine Ruge ambaye alikuwa anawania ukatibu mkuu wa BAWACHA Taifa amepigwa chini na Pamela Maassay. Ruge alikuwa anamuunga mkono Mwamba. Uchaguzi umekamilika kwa nafasi zote za BAWACHA ambapo Team TALL Wajumbe 17 Team FAM wajumbe 16 Jumla 33 Huku Bavicha Team FAM Ikiibuka hohe hahe kwa...
  15. Rula ya Mafisadi

    JamiiForums Tanzania Catherine Ruge: Tumejenga BAWACHA ya kisasa Tanzania nzima hakuna Wajumbe naomba mnichague tena ili nishirikiane na Tundu Lissu kuipaisha CHADEMA

    https://youtu.be/u5W0p435GHQ?si=mYGJkq3wwCv0b3lZ ==== Katibu Mkuu wa BAWACHA Taifa anayemaliza muda wake Mhe CPA Catherine Ruge ametangaza kutetea kiti chake kwa kipindi cha pili cha miaka mitano baada ya kujenga BAWACHA ya kisasa nadhani hili sote tutakubaliana nae naomba kwa...
  16. Nyendo

    JamiiForums Tanzania SI KWELI Catherine Ruge aula, apewa na Freeman Mbowe nafasi ya Lissu CHADEMA

    Baada ya Lissu kunyimwa funguo za Mikocheni ameamua kususa nafasi yake imezibwa rasmi na Catherine Ruge, Wasalimie sana ACT Wazalendo.
  17. Ikaria

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Catherine Kariuki, Mwanahabari aliyepigwa risasi na polisi ameruhusiwa kwenda nyumbani.

    Mwanahabari wa kampuni ya MediaMax inayomiliki K24 na Milele FM, Catherine Wanjeri Kariuki, ameruhusiwa kuondoka hospitali leo baada ya kufanyiwa upasuaji kwenye mguu wake uliopigwa risasi kwenye maandamano ya #RutoMustGo jijini Nakuru. Catherine ambaye alikuwa kazini akiripoti mubashara...
  18. BICHWA KOMWE -

    JamiiForums Tanzania Catherine Kahabi ni nani na ametoka wapi?

    Huyu binti anayejiita Catherine Kahabi ni nani? Ametoka wapi? Nimemuona mara kadhaa akiwa na Harrison Mwakyembe na anaonekana ni mtu mwenye jazba sana, anafoka na kutetema kwa fujo. Mpaka sasa nimemfuatilia kwa kina lakini sijaelewa hasa anazungumza kuhusu nini! Ni kama amerukwa na akili au...
  19. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi Catherine Mashala alitumbuliwa kwa kesi ya Ufisadi wa Tsh. Bilioni 1.245,989,000?

    Mkurugenzi wa Katavi aliyetumbuliwa jana na Mh. Samia Suluhu bibi Catherine Mashalla haikutolewa sababu, lakini kumbe ana kesi ya uhujumu uchumi na alikuwa sero mpaka wiki iliyopita ndio amepata dhamana kwenye hii kesi niliyoambatanisha. Kiasi halisi alichotuhumiwa kupiga ni...
  20. mtwa mkulu

    JamiiForums Tanzania Charlene Ruto

    Age 31 Born January 11,1993 Namba ya simu ninayo
Back
Top Bottom