Ushauri: CCM isimptishe Luhaga Mpina kugombea ubunge 2025 maana anawachachafya mpaka wanachachafika

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,126
4,169
2-1.jpg

Jamaa yupo serious na maisha ya Watanzania.

Sakata la mafuta alipambania maisha ya Watanzania.

Sakata la Tril 280 ndio amekomaa kinyama.

Huyu jamaa ni mwamba wa kuwachachafya ma-CCM.
 
una maoni na mtazamo wa kujenga na wa kizalendo sana.....

lakini nikuhakikishie tu kwamba, huyu mjamaa hawezi thubutu kusogelea ofisi ya CCM, amesha sense fish na kwamba akisogea tu wanCCM watakua wanamkimbia na wanatawanyika kama ana ukoma......

na kwahivyo,
anajitahidi tu kuvuta muda achukue pension yake ya ubunge, na kisha atajiunga na aidha ile timu iliyogawanywa na kibaraka wa majuu au ile ya wasaka tonge watetezi wa wanyonge....
 
CCM hawapendi wa type hii, angalia hoja zangu nilipotaka nikawasaidie kule mjengoni

View: https://youtu.be/Qr6j25jFGyI?feature=shared
niliambulia kura moko kama mhanga moko mbendembende!.
CCM wasipompitisha itakuwa ni a grave mistake, ataingia kupitia popote atakapo simama, opposition watamgombea kama mpira wa kona!, na akitinga... CCM watakoma!.

P
 
CCM ni zaidi uiuavyo, unaezakuta muda huu yupo na na Mwigulu, wanapitia hoja yako wanakucheka,
johnthebaptist anakuambia siasa ni sayansi,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Huenda usemayo yakawa na ukweli!

Kulikuwa na tetesi kuwa Augustine Lyatonga Mrema alikuwa wakala wa CCM. Kwa wanaokumbuka, Mrema ndiye aliyekuwa mwanasiasa wa upinzani mwenye nguvu Tanzania miaka ya tisini.

Ikiwa hilo lina ukweli, basi si ajabu na ya Mpina nayo yakawa na ukweli.

Wanasiasa ni wajanja mno.
 
una maoni na mtazamo wa kujenga na wa kizalendo sana.....

lakini nikuhakikishie tu kwamba, huyu mjamaa hawezi thubutu kusogelea ofisi ya CCM, amesha sense fish na kwamba akisogea tu wanCCM watakua wanamkimbia na wanatawanyika kama ana ukoma......

na kwahivyo,
anajitahidi tu kuvuta muda achukue pension yake ya ubunge, na kisha atajiunga na aidha ile timu iliyogawanywa na kibaraka wa majuu au ile ya wasaka tonge watetezi wa wanyonge....
Huyu CCM bora wamuachie Jimbo,akienda upande wa pili atawasumbua kama Dr Slaa alivyokuwa anawasumbua CCM Bungeni!
 
ana usumbufu gani na atamsumbua nani huyo. Anahasira tu za kutemwa barazani....
dr.slaa aliisumbua ccm? wapi na lini?

upinzani ni pagumu mno ili uendelee kuwa relevant na usurvive politically lazima uzaliwe hukohuko.....
 
CCM hawapendi wa type hii, angalia hoja zangu nilipotaka nikawasaidie kule mjengoni

View: https://youtu.be/Qr6j25jFGyI?feature=shared
niliambulia kura moko kama mhanga moko mbendembende!.
CCM wasipompitisha itakuwa ni a grave mistake, ataingia kupitia popote atakapo simama, opposition watamgombea kama mpira wa kona!, na akitinga... CCM watakoma!.

P

nikikupima ninapokusikiliza naona ulikua na kitu fulani hivi ndani yako wakati huo sina hakika kama bado uko hivyo sasahivi,
issue ni moja tu, kuna tofauti kubwa sana kujulikana kwenye media na kule field kwa wananchi halisi...
hujaenda kuwaona hata mara moja halafu ghafla unajitokeza kutaka uongozi hawawezi kukuelewa ikiwa ni wajumbe ama laa....

kama bado una dhamira hiyo ya kutaka uongozi wa kisiasa tena, nikupe taarifa tu kwamba sarakasi, ngonjera na vikumbo majimboni tayari zimeanza kitambo aise,
tayari wanazungumzwa sana wote waliojitokeza kuonyesha dhamira zao japo ni kinyume na utaratibu...
sasa katika hali hiyo, wewe ukisubiri hadi wakati muafaka unakuta wajumbe na wananchi wameshaamu waende na nani na utaambulia kura moja tu ya wakala wako tu ...
ni vizuri kujipendekeza na kupima upepo jimboni
 
CCM hawapendi wa type hii, angalia hoja zangu nilipotaka nikawasaidie kule mjengoni

View: https://youtu.be/Qr6j25jFGyI?feature=shared
niliambulia kura moko kama mhanga moko mbendembende!.
CCM wasipompitisha itakuwa ni a grave mistake, ataingia kupitia popote atakapo simama, opposition watamgombea kama mpira wa kona!, na akitinga... CCM watakoma!.

P

Mkono mtupu haulambwi sheikh...

Halafu chama kina wenyewe chief.

"you are not one of them but only among them".
 
Back
Top Bottom