tumepigwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Bujibuji Simba Nyamaume

    JamiiForums Tanzania Simba tumepigwa. Bus jipya la Simba (Irriza) limeharibika njiani.

    Bus la kifahari la simba aina ya Irizar limeharibika njiani wakielekea karatu kwenye uzinduzi wa jezi yao mpya Uzuri walikuwa wamesafiri na fundi kabisa, kwani tangu mwanzo wa safari lilikuwa halitaki kuwaka, hadi lisukumwe.
  2. britanicca

    JamiiForums Tanzania Tunapigwa sana na Wachina 🥲

    Mpanda,Katavi kuna dhahabu za kutosha na pesa ipo but wamejaa wachina kote huko hata kupata vibali vya kuchimba kama Mzawa ni ngumu.. Wamejenga na Airport yao kabisa,wanasafirisha tani za kutosha za Gold.. SAMIA WHAT IS THIS Britanicca
  3. kimsboy

    JamiiForums Tanzania Kama Samia alikwenda Urusi na hakuzungumzia ishu ya mafuta na gesi basi tumepigwa!!

    Nilitegemea Ziara yake huko Russia na kujadili pia masuala ya mafuta!! Sote tunafahamu hali ya mafuta ni mbaya sana, na Urusi wana mafuta mengi tu mamilioni ya mapipa kiasi kwamba hawajui hata wayapeleke wapi Nilijua alivyoenda huko angesaini madili ya kuagiza mafuta Urusi ili bei ishuke au...
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Mgomo wa Daladala Arusha, Dereva Daladala wailalamikia LATRA, wadai haiwatendei haki

    Mkuu wa Kikosi cha Usalama Barabarani Mkoa wa Arusha, Kamishna Msaidizi wa Polis (ACP)Zauda Mohamed, amewaomba wamiliki na madereva wa vyombo vya moto vinavyotoa huduma za usafirishaji maarufu kama “daladala” mkoani humo kukaa pamoja na mamlaka husika, ikiwemo Jeshi la Polisi, ili kutafuta...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Kalamu ya Askofu Bagonza: Sio pigo kwa Tundu Lissu, Tumepigwa Wote

    Kalamu ya Baba Askofu Mch. Dr. Kalikawe Lwakalinda Bagonza SIYO PIGO KWA Tundu A. M. Lissu Tumepigwa Wote. Nimesikia baadhi ya watu wanasema Tundu Lisu amepata pigo mahakamani baada ya mahakama kuamua kwamba mashahidi watakaotoa ushahidi katika kesi ya uhaini, watakuwa wa siri. Yeye hatawajua...
  6. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Naomba kumjua Interior Designer wa Ikulu ya Dodoma. Tuambiwe pia alilipwa kiasi na walimtoa wapi kwa vigezo gani?

    Picha za Ikulu ya Nairobi, Kenya. Angalia mazingira, Angalia muonekano wa ndani, angalia mpangilio wa vitu Chini Picha za Ikulu ya Chamwino Dodoma Tanzania Angalia mazingira, angalia mipangilio ya ndani n.k. Ni kama tumepigwa vile No Reforms No Election ✊️ ✌️
  7. M

    JamiiForums Tanzania Yeyote anayefahamu soko hapa Tanzania au nje bidhaa inayouzika au inayouzwa kutoka kwa mkulima

    Habari Ndugu zangu Wana JF nataka kupitia thread hii itukomboe wakulima juu ya MASOKO.kwaiyoo yeyote anayefahamu soko hapa Tanzania au nje ya hapa ata taja soko na BIDHAA inayouzika au inayouzwa kutoka kwa mkulima Mazao kama yafuatayo; 1.Mchele 2.mahindi 3.kahawa 4.katani 5.ndizi 6.kuku 7.mbuzi...
  8. technically

    JamiiForums Tanzania Tumepigwa, kila sehemu tumepigwa tukienda mpaka 2030 tutakuwa tumechakaa Sana

    Yaani tumepigwa kila sehemu Nyerere Bora tulimtambua Kama mjamaa Mwinyi alikuwa shamba la bibi lakini watu wote aliwapa fursa sawa kupitia ruksa. Mkapa akaja na kulipa madeni na utandawazi uchumi ukawa imara nakumbuka wakati wa mkapa change ya dollar ilikuwa 600. Akaja Kikwete maisha Bora...
  9. ITR

    JamiiForums Tanzania Simba kwa Joshua Mtale tumepigwa.

    Kiufupi hakuna neno lingine la kusema kwa Mutale zaidi ya simba tumepigwa hakuna mchezaji hapo. Tumemuondoa Saido tumeleta Saido namba mbili ( Mutale) mbovu zaidi ya mara 10 ya Saido namba 1. Bora Ntibazonkiza alikuwa ana faida kwenye mipira iliyo kufa lakini Joshua Mutale hana faida yeyote...
  10. Metronidazole 400mg

    JamiiForums Tanzania Kuhusu MUTALE hamna mchezaji pale tumepigwa!!

    Hata apewe Karne kucheza ni mchezaji wa kawaida Sanaa, ball control na end product yake mbovu kabisa. Anacheza Kama ndio anajifunza mpira....BIG NO HAKIKA hapa TUMEPIGWA TENA!!!
  11. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Ahmed Ally: Wote tumepigwa na taharuki juu ya hela nyingi wanazohitaji wachezaji wetu

    Gharama za Mpira zimepanda sana, Wote tumepigwa na taharuki baada ya kusikia fedha wanazohitaji Wachezaji wetu kipindi cha usajili. . Kama ni kweli Wachezaji wanataka fedha hizo basi hakuna klabu Tanzania yenye uwezo wa kuzalisha nyingi hivyo kutoka kwenye vyanzo vyake bali tunamtegemea...
  12. G

    JamiiForums Tanzania TUMEPIGWA? Hili ni treni la SGR nchini Kenya miaka sita iliyopita. Gari linaifukuzana nayo kwa speed ya 120 Km/Hour

    Ni miaka sita iliyopita
  13. Kishimbe wa Kishimbe

    JamiiForums Tanzania Inasemekana tumepigwa tena!

    ... MWENYE MACHO HAAMBIWI TAZAMA! Mods: ... hili ni bandiko la kisiasa, Ajabu mnalipeleka photos! SI SAWA! ... HUKU NI KUFUBAZA KAZI ZA WATU! ... REPEAT AGAIN: ... THERE'S NOTHING PHOTOGRAPHIC ABOUT THIS POST, SO, PLEASE ...!
  14. Its Pancho

    JamiiForums Tanzania Wanasimba teka letu la magoli tumepigwa

    Wanasimba wenzangu Nikiwa kama shabiki wa simba kindaki ndaki naumia sana kuona viongozi wetu wakitupiga namna hii.. Haiwezekani watuletee teka bovu kama huyu Fred..! Hivi si hata pale mtibwa hapati namba huyu? Mtu mzito kakamaa kama bao la kwanza kitandani jamani hamuoni? Sasa huyu teka...
  15. Webabu

    JamiiForums Tanzania Netanyahu asema japo tumepigwa na watu wanatupigia makelele lakini tutapigana tu

    Siku zote vita vilivyozuka hata mitaani kwetu vikiaribia kuisha basi ngumi zinapungua na yule alaiyeshindwa hua anatoa maneno ya kuwaonesha watu kuwa yeye ndiye mshindi.Matokeo yake watu wanaona ugomvi umekwisha na kila mmoja anashika njia aende zake. Maneno ya aina hiyo yametolewa na waziri...
  16. J

    JamiiForums Tanzania Dkt. Mwigulu asema Nchi haiwezi kupigwa Tsh. 30 Trilioni wakati Bajeti yetu haivuki Tsh. Trilioni 50, Mpina asema Waziri hajui lolote

    Mbunge Mpina asema hii nchi inapigwa kila kona na zaidi ya Tsh. 30 Trilioni zimepigwa na nyingine zimesafirishwa/ kutoroshwa nje ya nchi. Waziri wa Fedha, Mwigulu Nchemba PhD amesema anachosema Mpina hakiwezekani kwa sababu Bajeti ya nchi haizidi tsh 50 trilioni. Mpina ameomba Waziri Dr...
  17. Pascal Mayalla

    JamiiForums Tanzania Kupigwa billioni 75 ni ujinga au upumbavu? Tutaendelea kukubali kufanywa kichwa cha mwendawazimu hadi lini?

    Wanabodi, Mjinga na Mpumba.. Leo naomba kuianza makala ya leo kwa angalizo kuhusu neno mjinga na mpumba. Mtu kuitwa mjinga ni mtu asiyejua, mjinga akiishafundishwa akajua, anaerevuka ujinga unamtoka anakuwa sio mjinga tena bali mwerevu! Mjinga aliyefundishwa na bado akabaki na ujinga wake...
  18. Ganda Mweri

    JamiiForums Tanzania Simba pale kwa Che Malone tumepigwa

    Yaani ni mechi mbili tu zimechezwa, lakini kama mtu una jicho la ufundi wa kimpira utagundua hili mapema sana. Mechi dhidi ya power dynamos, Che Malone alifanya makosa mawili ya wazima ila wale washambuliaji wa power dynamos wakapoteza nafasi. Jana pia kafanya makosa mawili ya wazi kabisa...
  19. nzalendo

    JamiiForums Tanzania Boss wa Rais ni Wananchi......Tuache woga.....TANZANIA tumepigwa.

    TUCHUKUE HATUA
  20. F

    JamiiForums Tanzania Nyie Wabunge wetu Hayati Dr.Magufuli aliwahi kusema Watanzania si Wajinga! Tumepigwa na Mwarabu!

    Ebu tuelezeni kwa nini uwekezaji au ubinafsishaji wa DP World kupitia Serikali ya Dubai uwekewe fensi kupitia Azimio la Bunge!? Ikitokea Watanzania haturidhiki na kazi za DP World, je Bunge litakaa tena kuondoa Azimio la Bunge kuridhia makubaliano haya! Wabunge mmekazana huu si mkataba wa kazi...
Back
Top Bottom