nondo

Nondo is a commune in the Gounghin Department of Kouritenga Province in the Centre-Est region of Burkina Faso. It had a population of 394 in 2006.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kijana wa Kitanzania amewekeza Bilioni 120 kiwanda kinachoweka rekodi mpya ya kuzalisha nondo tani elfu 16 kwa mwezi na kuajiri vijana 2000

    Anaandika Nickson Simon John (Nikki Wa Pili) - Aliyekuwa DC wa Kibaha ambae wiki hii amehamishiwa Songwe Chacha, Kijana wa Kitanzania amewekeza Bilioni 120 Kibaha, na atakuwa mzalishaji wa kwanza kuzalisha nondo tani elfu 16 kwa mwezi ubora BS 500. lakini pia atazalisha square pipe na...
  2. youngkato

    JamiiForums Tanzania Unataka kufungua hardware? Usianze kwa kununua mifuko ya saruji na nondo peke yake!

    Watu wengi wanaona ujenzi unaendelea kila mahali na kufikiria kuwa kufungua hardware moja kwa moja ni biashara yenye faida. Lakini ukweli ni kwamba, hardware yenye bidhaa nyingi si lazima iwe hardware yenye faida kubwa. Mafanikio yanahitaji mipango, eneo sahihi, bidhaa zinazohitajika na...
  3. chongchung

    JamiiForums Tanzania Mteja wa nondo bei nzuri

    Habari wadau Ninahitaji mteja wa uhakika wa mzigo wa nondo au saruji wa haraka kwa bei nzuri kidogo, nipo Dar, kuna mzigo umenunuliwa kimakosa unatakiwa kutoka upesi Njoo nipe specifications za mzigo unaoutaka tufanye biashara haraka.
  4. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Katiba Mpya wale wanaojifanya Miungu watu katika ofisi za Umma watatuheshimu

    Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana Taifa ya Chama cha ACT-Wazalendo, Abdul Omary Nondo ameeleza hayo wakati akihutubia katika kongamano la ACT Wazalendo la Maadhimisho ya Siku ya Vijana Duniani lililofanyika katika Ukumbi wa Mrina, Dar es Salaam, Agosti 12, 2026.
  5. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Ado, Mpina, Wakili Maduhu Wakishiriki Maadhimisho ya ACT ya Siku ya Vijana Duniani, leo 12/08/2026

    https://www.youtube.com/watch?v=vm0FWYIKQv8 Leo tarehe 12 Agosti 2026, Ngome ya Vijana ya ACT Wazalendo chini ya Mwenyekiti wake Abdul Nondo inaadhimisha Siku ya Vijana Duniani kwa kufanya Kongamano katika Ukumbi wa Mrina, Dar es Salaam.
  6. kalisheshe

    JamiiForums Tanzania Heche anatema Nondo ITV muda huu

    Kama uko karibu na tv angalia upate madini
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri akifungia kiwanda cha nondo ambacho amekuta kikiwa na risasi na kubaini ukiukwaji wa sheria za mazingira

    Kiwanda cha kuzalisha nondo cha Hanging Steel Factory Tanzania Limited kilichopo Kisenvule, Wilaya ya Mkuranga mkoani Pwani, kimefungwa kwa muda baada ya Naibu Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Reuben Kwagilwa, kubaini ukiukwaji wa sheria za mazingira pamoja na kukutwa...
  8. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Utoaji mikopo kwa Wanafunzi wa vyuo nchini unafanyika kwa ubaguzi sana

    Mwanasiasa Abdul Nondo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana wa Chama cha ACT Wazalendo amezungumzia taratibu zinazotumika kutoa mikopo kwa Wanafunzi wa vyuo kutoka kwa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) akisema utoaji wake ni wa kibaguzi. Wanafunzi walioshtakiwa ~...
  9. R

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Maisha yetu ni siasa, huwezi kujitenganisha na siasa

    "Vijana kukosa ajira ni serikali kutokuamua kuchukua hatua. Uwepo wa ufisadi na ubadhirifu ni serikali kutokuamua kuwajibisha, wameamua kujilinda na kukaa kimya. Maisha yetu ni siasa, kila siku huwezi kujitenga na siasa. Aristotle, mwanafalsafa mashuhuri anasema mwanadamu ni kiumbe cha kisiasa...
  10. adriz

    JamiiForums Tanzania Nataka nirudi kama enzi zangu za kutoa madini kuntu na nondo zilizoshiba

    Moja kwa moja. Hakuna mwana JF anajitambua atabisha kuhusu uwezo wa kutoa madini humu jukwaani katika majukwaa na mada mbalimbali tena kwa kiwango kikubwa sana . Kutokana na JF kufungiwa kitambo sana niliacha kutoa madini mara kwa mara na nikawa msomaji na mchangiaji mara Moja Moja , sasa kwa...
  11. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Nitamfikisha Baba Levo Mahakamani kwa kuniambia nilijiteka, aniombe radhi

    https://www.youtube.com/live/F26wOjys36A?si=1PcO6uI7Cfci1rwJ Abdul Nondo amezungumza hayo leo Mei 23, 2026 Jijini Dar es Salaam. kwenye Hoteli ya Land Mark Hotel , Riverside Ubungo. KUFUNGUA MASHTAKA DHIDI YA CLAYTON REVOCATUS CHIPANDO (BABA LEVO) KWA KUNICHAFUA, KUNIDHALILISHA, KUNIVUNJIA...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni makosa kujadili nondo alizoshusha Jaji Warioba juu ya uongo ulioelezwa na tume ya Jaji Chande ukiwa kazini?

    Nimeshangaa sana mwalimu mwenzangu kunibwatukia na kunizuia kujadili suala muhimu kama hili Sawa tupo kazini. Ofisini tusijadili kisa tu sisi ni walimu? Kosa nini kuwa mtumishi wa umma usijadili mustakabali wa taifa lako?
  13. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Nani zaidi kisiasa kati ya Tundu Lissu na Abdul Nondo?

    Tumalize huu ubishi ulioenea kuwa kati ya Mwenyekiti wa ngome ya vijana ACT, Kijana machachari Abdul Nondo na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu kuwa kisiasa nani zaidi?... Mimi sina upande wowote. Tupige kura.
  14. McLaren

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Serikali ichangie Tsh 400 kwenye kila lita ya mafuta kama ruzuku. Tozo jumla zimefika 1,113

    Msemaji wa Ngome ya Vijana wa ACT-Wazalendo, Abdul Nondo, ametoa tamko kali akiibana serikali kuchukua hatua za haraka kudhibiti kupanda kwa bei ya mafuta ambayo sasa imefikia takriban shilingi 4,200 kwa lita ya petroli na dizeli. Katika mkutano na waandishi wa habari uliofanyika leo Mei 8...
  15. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo wa ACT Wazalendo anatoa neno leo Mei 8, 2026

    https://www.youtube.com/live/1EUtCsWFvso
  16. Echolima1

    JamiiForums Tanzania IDF yaongeza nondo za kuwapigia Magaidi popote watakapokuwa

    Israeli yaidhinisha ununuzi kutoka Marekani wa vikosi 2 zaidi vya ndege za kivita za F-35I na F-15IA Israeli itanunua vikosi viwili zaidi vya ndege za kivita za F-35I na F-15IA, kufuatia masomo yaliyopatikana kutokana na vita vya hivi karibuni vya Iran, Wizara ya Ulinzi yatangaza. Wikendi...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Bilioni 28 za Matumizi mengine za Wizara inajumuisha posho, mafuta ya gari, chai na vitumbua n.k

    Utangulizi Ngome ya vijana ACT-Wazalendo kwa niaba ya vijana, tumefuatilia hotuba ya bajeti ya Mheshimiwa Waziri Joel Arthur Nanauka aliyoitoa jana tarehe 20 Aprili, 2026 kuhusu Mpango na Makadirio ya Matumizi ya Wizara ya Maendeleo ya Vijana kwa Mwaka 2026/2027. Katika ufuatiliaji wetu...
  18. Mindyou

    JamiiForums Tanzania Abdul Nondo: Torture unayopata ukiwa chini ya watekaji inaumiza sana. Kuna matukio mawili ya mateso hadi leo nayakumbuka

    Wakuu, Hapa Abdul Nondo ambaye ni Mwenyekiti wa Ngome ya Vijana ACT anasimulia matukio mawili ambayo yalimtisha sana baada ya kutekwa mwishoni mwaka 2024 mara baada ya kumalizika kwa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Soma Pia: Nondo: Kumekuwa na mfululizo wa Matukio ya utekaji lakini serikali na...
  19. KENZY

    JamiiForums Tanzania Ukisikiliza nondo alizotoa Muhongo utagundua Tanzania ina changamoto hizi

    Usimamizi mmbaya wa rasilimali. Ipo wazi vile vitu vinavyotakiwa vituingizie faida katika nchi nakukuza uchumi wetu havisimamiwi vizuri!. Ni aibu soko la tanzanite kutawaliwa na nchi nyengine ikiwa sisi ndio wazalishaji pekee duniani. Uongozi butu!. Kwa takribani miaka yote ya uhuru wetu...
  20. upupu255

    JamiiForums Tanzania Picha inaogopesha: Aanguka na kukalia nondo iliyoinga mwilini

    Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 64 raia wa China alidungwa na nondo ya chuma baada ya kuanguka juu yake kutoka urefu wa takribani futi sita. Wenzake kazini walisema aliteleza alipokuwa akifanya kazi juu ya jukwaa. Mwanaume huyo kutoka Chenzhou, katika Mkoa wa Hunan katikati mwa China...
Back
Top Bottom