Luhaga Joelson Mpina ni mwanasiasa kutoka nchini Tanzanian akiwakilisha Chama Cha Mapinduzi (CCM), ni Mbunge kutoka jimbo la Kisesa tangu mwaka 2005. Aliwahi kuteuliwa kuwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi na kudumu kwenye nafasi hiyo kwa miaka mitatu katika utawala wa Hayati Magufuli
Naweka kwa Muhtasari, Taarifa kwa Umma ya Luhaga Joelson Mpina ya Tarehe 6 Disemba 2025 (attachment)
Mtoa Taarifa: Luhaga Joelson Mpina (Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo aliyeenguliwa)
Inaongelea haya: Shauri la Kesi ya Rufaa, Uchaguzi Mkuu, na Maandamano ya Tarehe 29 Oktoba 2025.
1...
Mgombea wa nafasi ya urais kupitia chama cha Act- Wazalendo Luhaga Mpina amesema kuwa wananchi waodai No Reforms No Election, wanaotaka kulinda kura, wanaotaka kuandamana, na wale wenye kesi za kisiasia wasikilizwe haraka sana kabla ya Oktoba 29, 2025.
Mpina ameyasema hayo leo Oktoba 27, 2025...
Luhaga Mpina, aliyekuwa mgombea urais kupitia ACT-Wazalendo, leo Oktoba 27, amezungumzia rufaa yake aliyokata katika Mahakama ya Rufaa baada ya Agosti 6, 2025, kuteuliwa na chama hicho kugombea urais wa JTM.
https://www.youtube.com/live/fHp9tErbuV4
Septemba 13, 2025 Tume Huru ya Taifa ya...
Mawakili wa Mpina leo wamechochea moto tena!
Ni kweli kabisa kwanini watu wengine wasiojiwe na wanadai wenyewe Tanzania ni nchi inayongozwa Kidomokrasia lakini kumbe inaendeleshwa kimabavu.
Lakini Mawakili hao wamesema kwamba hata mchakato ulifanyika kumuondoa Luhaga Mpina kwenue kinyanganyiro...
Luhaga Mpina ameendelea kushusha nondo zake na kumuelekezea zaidi Mama Kizimkazi.
Binafsi nimemuelewa vyema sana! kwamba uchaguzi auwezi kufanyika wakati kesi za wagomea wawili wa nafasi ya urais kesi zao zipo mahakamani. Na ungitazama vizuri Samia aliwekewa pingamizi na Mzee Malisa kuhusu...
Selemani Said Bungara 'Bwege' amesema alikuwa anashiriki katika uchaguzi na kukiuza chama chake cha ACT Wazalendo, lakini tokea Mgombea wa Urais kupitia Chama chake, Luhaga Mpina aenguliwe ameona ni kama wagombea wote wa udiwani na ubunge kupitia chama ACT Wazalendo wameenguliwa kwasababu...
Hukumu ya kesi iliyofunguliwa na Chama cha ACT Wazalendo chini ya Bodi ya wadhamini pamoja na Luhaga Mpina kupinga uamuzi wa kuenguliwa na Tume Huru ya Uchaguzi kugombea kiti cha Urais,itasomwa leo saa nane Mchana Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma.
Waandishi wa Habari mnakaribishwa kuhudhuria...
Mwanachama wa ACT Wazalendo, Luhaga Mpina amesema matamanio yake makuu ni kuona anaruhusiwa kugombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ili kuonesha utofauti wa kampeni baina ya vyama vingine na kutimiza kusudio lake la kuongoza nchi baada ya kushinda uchaguzi, akibainisha kuwa Taifa...
Hukumu ya kesi ya Luhaga Mpina dhidi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) itasomwa Oktoba 10,2025.
Kesi hiyo namba 23617, ipo mbele ya majaji watatu wakiongozwa na Frederick Manyanda , Abdallah Gonzi na Sylvester Kainda.
Leo Jumatatu Oktoba 6,2025 Mpina amefika mahakamani akiongozana na...
Mahakama Kuu Masjala Kuu Dodoma, leo Oktoba 6, 2025, itasikiliza shauri la kikatiba lililofunguliwa dhidi ya Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kupinga Luhaga Mpina kuondolewa kugombea Urais wa Tanzania. Kesi hiyo imepangwa kusikilizwa mbele ya majaji watatu kuanzia...
"Mnajua kwamba tunapambana kwa ajili ya mgombea wetu wa urais, kesi inaendelea. Tunatarajia hivi karibuni tutapata maamuzi, na sisi tumejiandaa kesi itakapokishwa tu. Hata kama zimebaki siku kumi, tutatumia hizo hizo kuendelea kutafuta kura, na tunafahamu Chama cha Mapinduzi kinamuogopa sana...
Kiongozi wa Chama cha ACT-Wazalendo, Dorothy Semu, amesema chama hicho hakina wasiwasi kuhusu muda uliosalia kuelekea Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, endapo Luhaga Mpina ataruhusiwa kugombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Dorothy amezungumza hayo leo, Septemba 29, 2025, katika...
Japo kuna dhana kuwa ACT-Wazakabwe ni CCM B, kuna kitu naona kwa mgombea wake Luhaga Mpina. Inakuwaje CCM wanamuwekea mapingamizi kila kona?
Je, ana kitu kinachofanya wamgwaye isijekuwa kama yale ya Tshekedi na Kabila kule DRC ambaye aliwekwa na Kabila akidhani ni boya kumbe naye alikuwa na...
Baada ya kuliwa kichwa na Tume, Luhaga Mpina aibukia Mahakama Kuu kwenye kesi ya Lissu.
Pia soma: GE2025 - Rasmi: Pingamizi la Mwanasheria Mkuu wa Serikali dhidi ya Mpina lakubaliwa. Tume yamnyoa, ACT yakosa mgombea urais
"Tume na mamlaka zote za umma zifanye kazi za umma, zifanye kazi kwa mujibu wa sheria, kama katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inavyowataka wafanye.
Vyama vya upinzani si wahaini na wala si wahalifu katika nchi yao, hivyo hakuna sababu yoyote ile ya kutumia mamlaka ya umma kuviadhibu...
Mgombea Urais kupitia Chama Cha ACT Wazalendo Luhaga Joelson Mpina ameendelea kukazia msimamo wake na chama chake kukataa gari la mgombea urais lililotolewa na Tume Huru ya Uchaguzi (INEC)
"suala la gari kama nilivyosema maelezo aliyoyatoa hapa Mwanasheria Mkuu ndio msimamo wa Chama chetu cha...
Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT-Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina, leo Jumamosi Septemba 13, 2025 akizungumza na waandishi wa habari mara baada ya kupitishwa rasmi na Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi amesema kuwa anatarajia kuibuka mshindi kwa zaidi ya asilimia 70 katika uchaguzi unaotarajiwa...
Mgombea Urais kupitia ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina, leo Septemba 13, 2025 anatarajiwa kuzungumza na Waandishi wa Habari baada ya kurejesha fomu zake katika Ofisi ya Tume Jijini Dar es Salaam.
Mkutano unafanyika Makao Makuu ya ACT Wazalendo – Magomeni.
Pia soma ~ ACT yakataa gari...
Mwanasheria Mkuu wa ACT-Wazalendo, Omar Issa Shaaban, amesema chama hicho kimeamua kutopokea gari na walinzi, kwa kuwa kipo vizuri, na badala yake, Tume itumie gari hilo kwa matumizi mengine.
"Chama kimenielekeza nikwambie kwamba kwenye rasilimali ya gari tunashukuru tupo vizuri tunaomba...
Mgombea Urais kupitia Chama Cha ACT Wazalendo Luhaga Joelson Mpina, leo Jumamosi ya Septemba 13, 2025 amefika Ofisi za Tume Huru ya Uchaguzi(INEC) zilizopo Posta, jijini Dar es Salaam Kwa ajili ya kurudisha fomu yake ya kugombea Urais.
Mpina akiwa na Mgombea Mwenza Bi. Fatma Fereji wamerejesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.