kizungumkuti

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    Mirathi ya Celebrities Bongo kizungumkuti

    Celebrities anaabudu pombe na Mademu. Siku likimkuta Jambo anaaibika hadharani kabla na baada ya Maziko, watoto wanabaki kugawana makochi na harrier old model. NB: Tengeneza future ya wategemezi wako ukiwa na nguvu.
  2. S

    Mapenzi kizungumkuti

    Aliyefunguliwa biashara kaolewa na mteja, Aliyenunuliwa gari anatembea na mziba pancha, Aliyejengewa nyumba ana jiachia na mpaka rangi, Ishi na mtu kama ulivyokutana nae, Tutiane tu ila kuhongana hapana kila itu abaki na chake . Mapenzi ni mazito usijitwike kichwani utatofoa ubongo...
  3. K

    Treni ya mwendokasi ya kutoka Dar mpaka Morogoro mbona bado kizungumkuti?

    Sasa yapata miaka mitatu tangu tuaminishwe kuwa treni ya mwendo kasi toka Dar mpaka Morogoro ingeanza huduma yake lakini mpaka sasa hakuna kinachoendelea. Ninaomba majibu kutoka kwa Mtendaji Mkuu wa TRC. Atoke waziwazi kupitia luninga kuelezea umma ili tufahamu tatizo liko wapi.
  4. M

    Kwa style hii ya mafisa wetu mpango wa chakula shule za msingi ni kizungumkuti

    Habari ndugu wazazi wenzangu! Jana nilifanikiwa kuhudhuria kikao cha wazazi pale ugindoni primary iliyopi kigamboni! Kikao kiliitishwa na maafisa wafuatao kutoka manispaa; 1. Afisa Maendeleo ya Jamii 2. Afisa Lishe 3. Afisa mmoja kutoka ofisi ya takukuru (w) Walitueleza vyema umhimu wa...
  5. K

    Mbona suala la katiba mpya linakuwa kizungumkuti?

    Asilimia kubwa ya Wananchi wa Tanzania wanataka Katiba Mpya. kabla ya uchaguzi mkuu 2025. Mimi sijaelewa kuna tatizo gani kuhusu Katiba Mpya. Suala la elimu kwanza kwangu siyo kupaumbel changu sisi wananchi tunataka Katiba Mpya iwe Jua au mvua tunataka Katiba Mpya. Woga wa nini kuhusu...
  6. K

    Umeme bado ni kizungumkuti licha ya mito na mabwawa kujaa maji

    Serikali ilitamka kuwa upungufu wa umeme umetokana na ukame lakini sasa hivi mabwawa na mito imejaa kutokana na mvua kuendelea kunyesha. Pamoja na sababu hiyo kuna maeneo hapa Mwanza tangu asubuhi hakuna umeme. Hivi tunaishi nchi gani hii kila siku ni porojo tu?
  7. Suley2019

    Sakata la DP WORLD bado kizungumkuti, Mbunge Luhaga Mpina ahoji uhalali wa Mkataba Bungeni

    "Mkataba wa bandari kati ya TPA (Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania) na DP World hadi hivi sasa Waziri ameshindwa kueleza huyu DP WORLD anakwenda kuwekeza shilingi ngapi? Na anakwenda kuwekeza maeneo gani. Kama tathimini imeshafanyika kuna shida gani kutueleza huyo DP WORLD anakwenda...
  8. X_INTELLIGENCE

    Uchaguzi ujao ni kizungumkuti nguo kuchanika

    Ndugu zangu Watanzania, Kila nikiutazama uchaguzi ujao haki vile nabaki mdomo wazi. Mimi ni shabikia mkubwa sana wa serikali iliyopo madarakani. Nampenda sana Rais SSH. na katika ndoto zangu ninazoota naamini ipo siku nitapeana nae mkono🙆{sijui kama ndoto hii itatimia🤣🤣🤣} Lakini Kila nikitazama...
  9. Y

    SoC03 Kizungumkuti cha maadili nchini Tanzania

    KIZUNGUMKUTI CHA MAADILI NCHINI TANZANIA. Miaka ya hivi karibuni duniani kote na hata Tanzania, kumeshuhudiwa kuwapo Kwa suala la Kizungumkuti cha maadili na limeonekana kuwa suala mtambuka na lenye kuleta mjadala mkubwa ili tija ipatikane Kwa kuinusuru jamii yetu. Hivi sasa jamii imepoteza...
  10. sIR tEaChER only

    SoC03 Kizungumkuti Wizara Michezo na utengaji bajeti ya ukarabati wa viwanja vya Michezo vinavyomilikiwa na chama

    KIZUNGUMKUTI SEKTA YA MICHEZO NA MATUMIZI YA FEDHA ZA BAJETI YA WIZARA YA MICHEZO, SANAA NA UTAMADUNI Kwa miaka kadhaa sekta ya michezo imekuwa ikizidi kukua siku hadi siku na kujiongezea wafuasi ambapo katika mpira wa miguu ni eneo ambalo kwa sasa lina mashabiki wengi, pamoja na kuwa na...
  11. Hemedy Jr Junior

    Umri wa ndoa kwa binti: Shekhe Ponda yupo sahihi ila kwakuwa Tanzania haifuati Sharia za Kiislam, hoja kizungumkuti

    Shekhe Ponda uwaga anatatea haki ila sasa mfumo wa uongozi na utawala wa Nchi yetu (Ushaambiwa Serikali ya Tanzania haina Dini) hapo Shekhe Ponda anabidi anyamaze. Kisheria ya dini yuko sahihi kabisa... kuhusu umri sio mpaka binti afikishe 18+ndo aolewe. Nchi yetu binti chini ya miaka 18+...
  12. M

    Kizungumkuti cha msamaha wa riba kwenye kodi ya ardhi

    Raisi wa Tanzania alitowa msamaha wa riba kwenye kodi ya ardhi kwa watakaolipa kufikia 31 Disemba. Msamaha huu ulipigiwa debe na Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makaazi. Ni kwa nini utekelezaji wake unalazimisha watu wajaze fomu ya maombi wa msamaha? Isingekuwa jambo jepesi kuweka utaratibu wa...
  13. B

    Kumbe umeme mikoani bado kizungumkuti?

    Niko ukweni kwa ajili ya mapumziko ya mwisho wa mwaka. Hali ni mbaya. Umeme hakuna masaa 12 kwa siku. Yaani ni mwendo wa 0700 - 1900 kila siku. Siku niliyofika nilidhani ilikuwa kutuwezesha nchi nzima japo kumwona Messi akichukua kombe baadaye usiku. Kumbe hola! Kumbe haya ndiyo maisha ya...
  14. ASIWAJU

    Watanzania na kizungumkuti cha Katiba Mpya

    Habari za saa wanachama wenza wa Jamiiforums natumai ni wazima. Nilikuwa na jambo linalo nitatiza na lenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu wanachama na jambo lenyewe lina husu katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa miaka ya hivi karibuni mpaka sasa hapa taifani kumekuwa na mijadala...
  15. N

    Utatuzi wa kizungumkuti cha ajira na maslahi kwa Watumishi wa Umma chini ya Rais Samia

    Katika zama hizi za mapinduzi ya sayansi na teknolojia moja ya changamoto kubwa Katika nchi zinazoendelea haswa barani Afrika ni suala la ajira na maslahi kwa watumishi. Hili suala limekuwa ni kizungumkuti au kitendawili kisichokuwa na majibu. Viongozi wengi suala hili la ajira kwa vijana...
  16. R

    Bima ya Afya kwa watu wote kwa Nchi yetu bado sana, Tuanze na Wajawazito

    Habari wanaJF, Kwanza kabisa tukubaliane kwa Nchi yetu imekuwa shida sana kupata Takwimu za afya ,ni ngumu kujua watu wangapi wanazaliwa kwa siku , wanaofariki kwa siku , ni wastani wa watu wangapi wanapata ujauzito kwa Siku . Hivyo kwa Uzoefu wangu nitakuja na Takwimu ambazo zitareflect kidogo...
  17. bernard10

    Korea Kaskazini yafanya majaribio makubwa tangu 2017

    Korea kaskazini imeripotiwa kufanya majaribio yake makubwa zaidi ya makombora yake ya (Intercontinental ballistic missiles) makombora yenye uwezo wa kuvuka bara moja hadi jingine Majaribio haya nimakubwa zaidi tangu Mara yamwisho kufanya hivyo mwaka 2017, huku makombora hayo yakiwa na uwezo...
  18. M

    Kizungumkuti cha Maslahi katika Utumishi wa Umma

    Maisha ya utumishi yananiacha hoi sana ikifika muda wa maslahi na utofauti baina ya taasisi na taasisi! 1. Kuna taasisi mishahara yao ni ya kawaida kabisa ya scale ya msajili wa hazina, ila ukija ktk posho na madokezo kwa mwezi watu wanakunja hadi milion 3 , 4 hadi 5!bosi hakatai dokezo mradi...
Back
Top Bottom