"Licha ya Mafanikio makubwa tuliyoyapata katika kipindi cha miaka 62 ya Uhuru na miaka 60 ya Mapinduzi bado atujafanikiwa kuwapiga na kuwashinda maadui hawa Ujinga, Maradhi na Umasikini kwa asilimia 100.
Nitataja baadhi ya changamoto ambazo zinarudisha nyuma jitihada za nchi yetu kukuza uchumi...
kuna kila dalili kwamba mikataba mingi mibovu huwa inaingiwa sio kwa bahati mbaya, bali kwa makusudi kabisa, ili akija Rais mwingine au wananchi wakapiga sana kelele, basi mkataba unavunjwa halafu tunapelekwa ICSID.
Kule sasa wanatumwa magoigoi au vibaraka kama akina mkono enzi zike, tunalimwa...
Ndugu zangu watanzania wenzangu ni zaidi ya wiki sasa Rais haonekani, yuko wapi. Tunasikia tu ndege yake imeonekana uarabuni, kwani Rais ana likizo? Na kama ni ndio kwanini uarabuni. Huyu mama ameshindwa kuvaa koti la Urais?
Tunaambiwa wafanyabiashara wameficha mafuta kusubiri bei mpya na...
Mbinu za Ufanisi za Kuondokana na Mikataba Mibovu Tanzania
Mwandishi: MwlRCT
I. Utangulizi
Tanzania imekumbwa na janga la mikataba mibovu, likisababisha hasara kubwa kwa uchumi na jamii. Takwimu zinaonyesha kuwa tangu mwaka 2000, Tanzania imeingia mikataba zaidi ya 50 ambayo ni mibovu...
Mkataba ni maridhiano baina ya watu wawili au zaidi,serikali kwa serikali,kampuni kwa kampuni au serikali na kampuni.Mikataba nayo husaidia kuinua uchumi wa nchi au kampuni inapokuwa na manufaa kwa nchi husika au kampuni.Pia huweza kusababisha hasara inapokua haina manufaa.
mikataba mibovu ni...
Hivi ni nani akipewa Bil 2 kati ya hizo bil 260 atasimama imara kutetea taifa letu? Hata Tundu Lissu pamoja na Uzalendo wake hawezi shinda.
Tumeshuhudia mlolongo wa kesi nyingi serikali ikishindwa hata mahakama za hapa kwetu.
Mtu anaelipwa chini ya 5M akasimamie kesi ya billions unategemea...
Wanabodi,
Hizi kelele za wanasheria manguli wabobezi na wabobevu kuhusu hii IGA ya DPW na Bandari zetu, sio za kuzipuuzia!. Katiba hii mbovu tuliyonayo!, Sheria zetu mbovu tuliyonayo, mikataba mibovu ya kimataifa tunayoingia, mwisho wa siku tunajikuta tumepigwa!, tunafunguliwa mashitaka...
Makamu Mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Antipas samesema Shujaa Hayati Magufuli hausiki Kwenye Mikataba ya ovyo kwa sababu alikuwa hapendi kabisa rasilimali za Nchi zishikwe na Wageni
Tundu Lissu anaongea na Waandishi wa Habari
Mungu ni Mwema wakati wote!
Serikali ya Samia imepeleka muswada wa mabadiliko ya sheria kadhaa bungeni ili sheria zote za zamani zinazokinzana na mkataba na DP world zibadilishwe ili ziendane na hiyo IGA ya Dubai Ports World ‼️
Angalieni
Muswada wa The Written Laws (Misc Amendment) No. 2 Bill, 2023 umesomwa kwa mara ya...
Kamishna wa Idara ya Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (Public-private partnerships - PPP), David Kafulila amezungumzia mambo kadhaa kuhusu uwekezaji na ubia:
Ufafanuzi wa ubia
Akifafanua kuhusu ubia ameeleza unatangenezwa katika mkataba wa uendeshaji wa jambo fulani, ambapo...
Taarifa ya CAG ilionekana kukera viongozi wa juu wa serikali na nilijuwa kuwa hatua kali kwa wabadhilifu hadi sasa wangekuwa hawapo maofisini kumbe kilikuwa kiini macho cha kuonesha chukizo mbele ya umma huku vitendo hamna katika uwajibikaji.
Nachofikri ni kwamba kama mama ataongoza serikali...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.