Waraka wa Luhaga Mpina siku ya Mapinduzi Zanzibar waipasua CCM

Waraka alioutoa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina siku ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12 2024 umetajwa kuigawa CCM huku wazalendo wakimuunga mkono na wale wa mrengo wa upigaji wakiupinga kwa gharama kubwa.
Tuwekee hapa huo waraka mkuu
 
Waraka alioutoa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina siku ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12 2024 umetajwa kuigawa CCM huku wazalendo wakimuunga mkono na wale wa mrengo wa upigaji wakiupinga kwa gharama kubwa.
mpina huyu huyu wa kupima samaki waliokaangwa kwa rula na kuchoma nyavu za wavuvi wadogowadogo aigawe CCM anayoigwaya yeye mwenyewe?

uliskia wap 🐒
 
Sasa waraka awaandikie vilaza wa CCM na kuchanganyikiwa halafu kulinganishwa wawe CHADEMA?Hivi bila hao CHADEMA haupati upumuaji mwema?
Kwa sababu Chadema hawana uwezo wa kujenga hoja kama Mpina.
Wao kama wapinzani walipaswa kuyafanya haya anayoyafanya Mpina.
Badala yake Chadema wao wanaedeleza siasa za kuandama watu binafsi, (Personal Attacks ).
Chadema wamekalia visasi kwa wale ambao wao wanadhani walishiriki kwa namna moja au nyingine kuwafanya wawe nje ya bunge na kuukosa ulaji kwa miaka hii mitano.

Mpina ni mwanasiasa mahiri sababu yeye anapambana na CCM, ilhali yuko humo humo.

Mpina hatukani mtu bali anatoa hoja ambazo zinawaweka CCM mahali pagumu kuzijibu.
Mpina anajenga hoja ambazo wananchi wanazielewa na pia kumuelewa.
Ndio maana nimesema bila kupepesa kwambaa...Mpina mmoja ni sawa na viongozi watatu waandamizi wa Chadema .
Hili halina ubishi.
 
Waraka alioutoa Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina siku ya Mapinduzi ya Zanzibar Januari 12 2024 umetajwa kuigawa CCM huku wazalendo wakimuunga mkono na wale wa mrengo wa upigaji wakiupinga kwa gharama kubwa.
Waraka wenyewe uko wapi? Uwekwe hapa basi
 
Kwa sababu Chadema hawana uwezo wa kujenga hoja kama Mpina.
Wao kama wapinzani walipaswa kuyafanya haya anayoyafanya Mpina.
Badala yake Chadema wao wanaedeleza siasa za kuandama watu binafsi, (Personal Attacks ).
Chadema wamekalia visasi kwa wale ambao wao wanadhani walishiriki kwa namna moja au nyingine kuwafanya wawe nje ya bunge na kuukosa ulaji kwa miaka hii mitano.

Mpina ni mwanasiasa mahiri sababu yeye anapambana na CCM, ilhali yuko humo humo.

Mpina hatukani mtu bali anatoa hoja ambazo zinawaweka CCM mahali pagumu kuzijibu.
Mpina anajenga hoja ambazo wananchi wanazielewa na pia kumuelewa.
Ndio maana nimesema bila kupepesa kwambaa...Mpina mmoja ni sawa na viongozi watatu waandamizi wa Chadema .
Hili halina ubishi.
Wewe haushi kwenye vichwa vya wana CHADEMA kiasi cha kuwachagulia na kuwapangia cha kufanya.Huwezi kumlinganisha Mpina aliye CCM walipo wezi na mafisadi na CDM kama chama kinzani.Huyo Mpina hajaongea na CDM.Anawakoyonga CCM wenzie.Mumjibu bila kuwatanguliza CDM kwenye utetezi wenu.Kufeni naye!
 
Back
Top Bottom