sekta ya utalii

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pulchra Animo

    JamiiForums Tanzania Wimbi la kesi za ugaidi litaathiri taswira ya nchi na sekta ya utalii kwa namna ambayo Serikali haikutarajia

    Watanzania, tukubali tusikubali, Serikali ya CCM haina viongozi wenye uwezo wa kuona mbali. Obviously, the mazafakas cannot see beyond their noses! Katika hali ya kawaida, hakuna kiongozi yeyote mwenye busara ambaye anaweza kuitangazia dunia kwamba nchi yake ina magaidi kila kona wakati ukweli...
  2. MamaSamia2025

    JamiiForums Tanzania Ninadhani RC Mtambi anatakiwa ajifunze zaidi kuhusu sekta ya utalii inavyofanya kazi

    Binafsi ninaona RC Mtambi kuna mambo hajui kuhusu utalii na jinsi gani hii sekta ina umuhimu kwa taifa hili. Hizi amri zake zinagusa mambo mengi sana kitaifa na kimataifa. Sio kauli za kidiplomasia.
  3. L

    JamiiForums Tanzania Makumbusho ya kijiolojia yaliyojengwa na China yachochea ukuaji wa sekta ya utalii nchini Tanzania

    China ni nchi kubwa inayoendelea ambayo imekuwa ikisaidia nchi nyingine zinazoendelea, zikiwemo za Afrika, kufikia maendeleo kulingana na mazingira halisi ya nchi husika. Juhudi hizo za China zinaonekana katika maeneo mbalimbali ikiwemo sekta ya kilimo, afya, uchumi na biashara, na ujenzi wa...
  4. S

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashinda tuzo nne za World Travel Awards katika sekta ya utalii

    Tanzania imeendelea kushikilia nafasi yake ya kimataifa kama 'nchi Inayoongoza duniani kwa utalii wa safari' katika hafla ya fainali za World Travell Awads 2025. Tanzania imetunukiwa taji hili adhimu katika sekta ya utalii duniani wakati wa hafla ya 32 ya World Travel Awards (WTA 2025)...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Sekta ya utalii yazidi kupaa Zanzibar

    Zanzibar imeandika ukurasa mpya wa kihistoria katika sekta ya utalii baada ya kufanikiwa kuvunja rekodi ya uingiaji wa watalii kabla ya kufika mwisho wa mwaka 2025. Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, Ndugu Arif Abbas amesema, hadi kufikia mwisho wa mwezi Oktoba 2024, visiwa hivyo...
  6. PAYE

    JamiiForums Tanzania GE2025 Dkt. Mwinyi: Sera ya CCM ni kuinua vijana kupitia sekta ya utalii Zanzibar

  7. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania Sekta ya utalii inakua shilingi inapoteza thamani, hizi drama zitakuja kuisha lini?

    Serikali kupitia Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (Tawa) imesaini mikataba minne ya uwekezaji wa utalii kupitia utaratibu wa Uwekezaji Mahiri (Swica) na kampuni ya Kitanzania ya Uhusiano International ICT Limited. Mikataba hiyo inatarajiwa kuingiza mapato ya Dola za Marekani milioni...
  8. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Mtanzania Mariam Lesian aipaisha Tanzania katika Sekta ya Utalii kwa kuelezea Fursa Lukuki zilizopo nchini

    TRANSFORMATIONAL LEADERSHIP SUMMIT 2025 Province of the Eastern Cape - Social Development PANEL: OPPORTUNITIES IN TOURISM AND HOSPITALITY INDUSTRY CONFIRMED SPEAKER 📅 SAVE THE DATE 7ᵀᴴ AUGUST 2025 🕗 8AM: SUMMIT | 7PM: AWARDS MS MARIAM LESIAN President of Pan Africa Tourism Board Chairperson...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mabadiliko ya Kidigitali Sekta ya Utalii: Benki ya Exim Yazindua Suluhisho la Malipo ya Kisasa katika Z-Summit 2025

    Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale wa Zanzibar, Mh. Mudrick Soraga (kulia), akimsikiliza Afisa Mkuu wa Fedha wa Benki ya Exim Tanzania, Shani Kinswaga, wakati wa kongamano la Z-Summit 2025 lililofanyika katika Chuo Kikuu cha SUZA, Zanzibar. Kongamano hilo la kila mwaka, lililofanyika kuanzia...
  10. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania The Citizen: Sekta ya utalii yaongoza mapato ya nchi 2023/24; kongole kwa Royal Tour

    Kweli Rais Samia kafungua nchi, angalia takwimu hapa kwa mujibu wa The Citizen kama zilivyoletwa kutoka ripoti za BOT:- Kwenu muliobeza Royal Tour, ruksa kutoa povu. Ila nchi inasonga mbele
  11. Thabit Madai

    JamiiForums Tanzania Rais Dkt. Mwinyi awaita Wawekezaji Sekta ya Utalii

    NA THABIT MADAI, ZANZIBAR RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema kwamba, Serikali itaendelea kukuza mazingira rafiki ya biashara na uwekezaji pamoja na kuweka mkazo wa kurahisisha michakato, kuimarisha mifumo ya udhibiti na kutoa motisha za...
  12. Mkunazi Njiwa

    JamiiForums Tanzania Rais ana nia njema na kuinua uchumi wetu kupitia utalii

    Nimewiwa kufikiri "detrimental sequalea" ya kupotea kwa watu na hata kuuwawa. Hili limekaaje katika kuwatisha wageni wetu na athari zake katika soko la utalii. Kenya wamepitia magumu katika sekta ya utalii baada ya tafrani za kisiasa na mengineyo. Tukiendelea kumsaidia mh.Rais kupambana dhidi...
  13. shedy22

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mambo muhimu ya kufanya ili kukuza sekta ya utalii

    Utalii, ni kitendo cha kutoka sehemu moja kwenda sehemu nyingine kwa lengo la kujiburudisha au kujifunza. Tanzania ni moja kati ya nchi zenye vivutio vingi vya Utalii duniani na ikiwa ni nchi ya tatu barani Afrika kwa nchi zenye Utalii mkubwa. Pia Utalii nchini Tanzania umekuwa na faida nyingi...
  14. F

    JamiiForums Tanzania SoC04 Usalama wa nchi na Uboreshaji wa ukusanyaji mapato Sekta ya Utalii Kupitia Mfumo wa Kidigitali

    Utangulizi Sekta ya utalii nchini Tanzania ina changia pato la taifa kwa asilimia kumi na saba (17%) na mapato ya fedha za kigeni kwa asilimia hamsini na tano (55%). Mpango wa Maendeleo wa Taifa wa Miaka Mitano 2021/22 - 2025/26 (Juni 2021 uk. 103) Kwa takwimu hizi, sekta ya utalii inaendelea...
  15. V

    JamiiForums Tanzania SoC04 Namna ya kuboresha sekta ya Utalii nchini Tanzania Ili kuongeza vivutio kwa watalii wengi ndani na nje ya nchi

    Tanzania ni nchi yenye uwezo mkubwa wa utalii kutokana na aina mbalimbali za wanyamapori, mandhari nzuri na urithi wa kitamaduni. hata hivyo, pamoja na faida hizo, nchi inakabiliwa na changamoto katika kuvutia idadi kubwa ya watalii ikilinganishwa na baadhi ya nchi jirani kama Kenya na Afrika...
  16. BabWoo

    JamiiForums Tanzania SoC04 Mbinu za kuboresha sekta ya utalii katika Tanzania tuitakayo

    Huwezi zungumzia sekta zenye mchango mkubwa katika uchumi wa nchi yetu bila kuitaja sekta ya utalii. Imekua ikichangia pato la taifa na ajira kiujumla. Licha ya uwepo na utajiri wa maliasili na vivutio vya utalii sekta hii imekua ikikabiliwa na changamoto mbalimbali zinazozuia ukuaji wake wa...
  17. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Arusha: Prof. Kitila na Angela Kairuki kuongoza Kongamano la Uwekezaji katika Sekta ya Utalii na Ukarimu

    Kufuatia agizo la Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alilolitoa Aprili 4, 2024 akiwaapisha viongozi mbalimbali alitoa maelekezo mahususi kwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, kuhusu kuhamasisha uwekezaji katika sekta ya utalii kwa kushughulikia changamoto ya upatikanaji wa...
  18. The Sheriff

    JamiiForums Tanzania Benki ya Dunia yasitisha kufadhili mradi wa REGROW. Mradi huo unahusishwa na ukiukaji wa Haki za Binadamu nchini Tanzania

    Mnamo Aprili 18, 2024, Benki ya Dunia imesitisha mara moja utoaji wa fedha kutekeleza mradi wa REGROW nchini Tanzania kuanzia mara moja. Hatua hii ni baada ya taasisi ya Oakland Institute kufanya advocacy kwa niaba ya niaba ya wakazi wa maeneo ambayo wataathiriwa na mradi huo. Mradi huo wa dola...
  19. Damaso

    JamiiForums Tanzania Je, Soka linaweza kushirikiana vipi na Sekta ya Utalii ili kukuza utalii?

    SA Tourism ama Bodi ya Utalii ya Taifa la Afrika ya Kusini ilitangaza kuwa imepeleka proposal yake ya kutaka kudhamini moja ya timu kongwe iliyopo Jijini London, Uingereza. Fedha ambayo ilipigiwa hesabu ni dola milioni 52 za kimarekani katika mkataba ambao utakuwa ni wa miaka mitatu. Mkataba huo...
  20. Lord Denning

    JamiiForums Tanzania Mapinduzi makubwa sekta ya Utalii. Kuna mtu ana swali juu ya Royal Tour?

    Wale washamba fc walipiga sana kelele kuhusu Royal Tour. Wakaongea sana kutokana na chuki zao tu. Sasa nchi imefikia kuvunja rekodi kwa kuingiza watalii Mil 3 na ushee kwa mwaka huu. Sasa niwaulize kuna mtu ana neno la zaidi juu ya kwa nini ilifanyika Royal Tour?
Back
Top Bottom