utalii

  1. S

    JamiiForums Tanzania Wauza "nyapu" wasajiliwe na walipe kodi. Pato lao kwa mwaka linazidi la utalii

    Kundi la wafanyabiashara hii kongwe zaidi nchini na duniani ni kubwa mno. Watu hawa wako kila Kijiji/mtaa, kata , wilaya na mkoa. Kama tukiwasajili na wakalipa kodi, kitakuwa chanzo kikubwa sana cha mapato. Utafiti uliofanywa na taasisi isiyo ya Mahusiano na Unyumba, imebaini kuwa pesa...
  2. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Utalii wa ndani - Mikoa yote uhamasishwe kwa uzuri

    Habari Tanzania ! Hivi hatuwezi tukawa na uhamasishaji wa kujifanyia Utalii wa ndani aidha Wilaya moja kwenda nyingine au Mkoa mmoja kwenda mwingine. Tuboreshe utaratibu kwa kuweka mambo machache kwa kutozana bei ndogo tu ila pawe na masharti kadhaa. Mfano wa hayo masharti: 1. Lazima ulale...
  3. H

    JamiiForums Tanzania TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA UTALII NCHINI FINLAND

    TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA UTALII NCHINI FINLAND Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umeratibu na kushiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Matka yanayofanyika jijini Helsinki, Finland, kuanzia tarehe 14-18 Januari, 2026, huku ukitangaza vivutio vya utalii vya Tanzania pamoja na...
  4. H

    JamiiForums Tanzania TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA UTALII NCHINI FINLAND

    TANZANIA YASHIRIKI MAONESHO YA UTALII NCHINI FINLAND Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umeratibu na kushiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Matka yanayofanyika jijini Helsinki, Finland, kuanzia tarehe 14-18 Januari, 2026, huku ukitangaza vivutio vya utalii vya Tanzania pamoja na...
  5. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania yashiriki maonesho ya utalii nchini Finland

    Ubalozi wa Tanzania nchini Sweden umeratibu na kushiriki katika Maonesho ya Kimataifa ya Utalii ya Matka yanayofanyika jijini Helsinki, Finland, kuanzia tarehe 14-18 Januari, 2026, huku ukitangaza vivutio vya utalii vya Tanzania pamoja na filamu ya Tanzania: The Royal Tour. Maonesho hayo ni...
  6. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Awamu ya Sita Imeua au Inaminya Soko la Utalii Tanzania?

    Oya, huku mtaani hali ni tete kinoma! Hivi hawa wakubwa wanachukulia watu ni mazuzu au? Mlipiga kelele watu "wajiajiri," vijana tukajichanganya tukaingia kwenye mchaka wa kufungua makampuni ya utalii (tour companies). Tukaingia kichwa kichwa, tukauza hadi viwanja na kukopa mapesa ili tu tusake...
  7. Z

    JamiiForums Tanzania Mimi nadhani mambo ya maandamano ya ahirishwe

    Mimi nadhani mambo ya maandamano ya ahirishwe mpaka October 2030. Ili uchumi ukue vizuri sana, na utalii ukue vizuri sana, na wananchi wapate vipato vizuri sana. Inaelekea baadhi ya global na continental agents wa illuminati walitaka akae mpaka Oct 2025, halafu astaafu. Kuna baadhi ya agents...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Utalii ukishuka kwa asilimia 20-30 nchi haitaweza kulipa Madeni, CCM mshinikizeni Samia aachie Madaraka

    Kuna picha zinasambaa Polisi wako Fukweni wanafanya Doria, kile ni kidole Serikali imejitia. Tanzania ina akiba ya kigeni ya miezi 4-6 inayotumika kulipa madeni na kununua mahitaji ya muhimu na lazima. Endapo kutakuwa na disruption ya hili basi mfumuko wa bei na ulipaji wa deni utakuwa...
  9. L

    JamiiForums Tanzania Makumbusho ya kijiolojia yaliyojengwa na China yachochea ukuaji wa sekta ya utalii nchini Tanzania

    China ni nchi kubwa inayoendelea ambayo imekuwa ikisaidia nchi nyingine zinazoendelea, zikiwemo za Afrika, kufikia maendeleo kulingana na mazingira halisi ya nchi husika. Juhudi hizo za China zinaonekana katika maeneo mbalimbali ikiwemo sekta ya kilimo, afya, uchumi na biashara, na ujenzi wa...
  10. Binadamu Mtakatifu

    JamiiForums Tanzania Nauza website ya Utalii bei chee

    Karibu nikuhudumie 200k pamoja na hosting kwa miezi 3 na domain ya .com Pia natengeneza websites, mobile apps and system mbalimbali
  11. Bushmamy

    JamiiForums Tanzania Arusha: Makampuni ya utalii pamoja na hoteli za kitalii wapata hasara baada ya watalii kuondoka

    Arusha ambayo ndio kitovu Cha utalii nchini imekimbiwa na idadi kubwa ya watalii waliokuwa nchini na waliokuwa waje kutembelea vivutio mbali mbali vya utalii ndani ya Jiji hili la kitalii ukizingatia kipindi hichi ni msimu wa utalii almaarufu High season. Ambapo kunakuwaga na mafuriko ya...
  12. stakehigh

    JamiiForums Tanzania Watalii 48,000 ndan ya wiki 2, Utalii Tanzania unapaa zaidi

    https://dailynews.co.tz/tourism-rising-tanzanias-beauty-outshines-noise/ Idadi ya watalii imezidi uwezo wa kawaida unaotegemewa, hoteli zote zimejaa mpaka january
  13. H

    JamiiForums Tanzania Sekta ya utalii yazidi kupaa Zanzibar

    Zanzibar imeandika ukurasa mpya wa kihistoria katika sekta ya utalii baada ya kufanikiwa kuvunja rekodi ya uingiaji wa watalii kabla ya kufika mwisho wa mwaka 2025. Katibu Mtendaji wa Kamisheni ya Utalii Zanzibar, Ndugu Arif Abbas amesema, hadi kufikia mwisho wa mwezi Oktoba 2024, visiwa hivyo...
  14. Carlos The Jackal

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Balozi za Ulaya na Marekani na Nchi Rafiki zitatoa angalizo kwa Wananchi wao wanaopanga kwenda Tanzania kufanya Utalii kuelekea DEC 9

    Hakuna Mtalii Wala Muwekezaji Makini anayeweza kwenda Tanzania Kwa Sasa wakati Hana Hakikisho lake la Usalama wake mwenyewe na uwekezaji wake. Wasomi Ngulo walionya haya hata kabla ya Oct 29!!. DEC 9 ni maandamano makubwa ya Amani.
  15. D

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Safisha safisha Ngorongoro Awamu ya II: Makonda kupewa Maliasili na Utalii

    Mpango wa muda mrefu ni Makonda kuwa Waziri wa Maliasili na Utalii. Kupelekwa kwake kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha na baadaye “kutengenezwa” kuwa Mbunge wa Arusha haikuwa bahati mbaya. Niwape tu taarifa Wamasai hasa wale mliokuwa mkifika kula nyama za Makonda kwenye matamasha yake: Inakuja...
  16. BigTall

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Maliasili na Utalii yatoa taarifa kuhusu hali ya Utalii Tanzania baada ya vurugu wakati wa Uchaguzi Mkuu 2025

    TAARIFA RASMI YA USAFIRI (TRAVEL ADVISORY) Dodoma, Novemba 04, 2025 Wizara ya Maliasili na Utalii inapenda kuufahamisha umma, wageni na wadau wa Sekta ya Utalii ndani na nje ya nchi, kwamba hali ya amani na utulivu imerejea na shughuli mbalimbali za kijamii na kiuchumi zinaendelea baada ya...
  17. tonicimmobility

    JamiiForums Tanzania GE2025 Samia: Tunajenga uwanja wa ndege Serengeti kukuza utalii

    Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan ameahidi kujenga Uwanja wa ndege Mugumu Serengeti kama sehemu ya kutimiza adhma ya Chama Cha Mapinduzi ya kufikisha idadi ya watalii Milioni nane wanaoitembelea Tanzania kwa mwaka kufikia...
  18. Half american

    JamiiForums Tanzania Mfanyabiashara wa utalii ajinyonga Moshi

    Mfanyabiashara wa utalii ajinyonga Moshi Azizi Msuya (39), mkazi wa Sambarai, Moshi, amekutwa amefariki dunia nyumbani kwake Alhamisi, Oktoba 2, 2025, akidaiwa kujinyonga kwa kutumia kamba ya katani. Jeshi la Polisi Mkoa wa Kilimanjaro limethibitisha tukio hilo na kueleza kuwa uchunguzi wa...
  19. Damaso

    JamiiForums Tanzania Utalii, Mitandao ya Kijamii na Hatima ya Utamaduni wa Wahadzabe

    Wahadzabe wamekuwa na mfumo wa maisha unaoheshimika duniani, wakihusishwa na uwindaji wa asili, maarifa ya mimea tiba na mfumo wa kijamii usio na mpangilio wa tabaka. Lakini mabadiliko ya karne hii yameingia kwa kasi isiyozuilika. Wageni na makampuni ya utalii wamevamia makazi yao kwa lengo la...
  20. Mchagah

    JamiiForums Tanzania Utalii Kanda ya Kaskazini

    Kwa wale Wapenzi wa Safari walioko Kaskazini Twendeni tukapunguze stress za Ugumu wa Maisha🤗😋
Back
Top Bottom