Serikali ya Tanzania imechukua hatua katika kuimarisha sekta ya Utalii wa Mikutano, Maonesho, Makongamano na Safari za Motisha (MICE) kama njia mpya ya kukuza uchumi, kuongeza ajira, na kuvutia wawekezaji kutoka mataifa mbalimbali.
Akizungumza katika Jukwaa la Wadau wa Sekta ya MICE...
Ndugu zangu wakazi wa Mkoa wa Moshi,
Ikiwa unaishi Moshi na bado haupo kwenye jukwaa hili (JF), nakukaribisha kuwasiliana nami moja kwa moja kupitia WhatsApp inbox. Kuna jambo muhimu tunalopaswa kulijadili – ni fursa adhimu, inayowahusu wote, iwe bado hujaoa au kuolewa, ama hata kama tayari una...
Tanzania ina mazingira bora ya kuwa kituo kikuu cha huduma za kiafya kwa Afrika Mashariki na Kati. Kwa amani tuliyonayo, hospitali zinazoboreshwa kama Muhimbili, KCMC, Bugando, na fursa ya tiba asilia, nchi yetu inaweza kuvutia maelfu ya wagonjwa kutoka nchi jirani kama Burundi, DRC, Rwanda...
Serikali kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii inavuta mapato ya ajabu – zaidi ya USD 3.4 bilioni mwaka 2023 na karibu USD 4 bilioni mwaka 2024 – lakini ground reality ni aibu tupu. Angalia Mlima Kilimanjaro, vibarua wabeba mizigo wanateseka kama wapo kwenye jungle ya kufa na kupona; maji...
Hoja Yangu kwa Wanajukwaa na Wasimamizi wa JamiiForums:
Wana JF wenzangu,
Nchi yetu imebarikiwa kwa natural wonders ambazo dunia nzima inazitamani – kutoka kilele cha mlima mrefu barani Afrika, Mlima Kilimanjaro, hadi Ngorongoro Crater yenye historia ya kipekee, Serengeti yenye migration ya...
Rais Samia ameongeza mapato ya utalii wa kimataifa kutoka $700m au TZS1.82trilioni hadi $3.9bn sawa na TZS10.14trilioni Tofauti ni Trilioni 8.32 na utalii wa ndani umeingiza TZS210bn.
Mwaka 2024 umeshuhudia mafanikio makubwa katika sekta ya utalii nchini Tanzania, yakijieleza kupitia ukuaji wa...
Ndugu wanajamii wa JF,
Kwa heshima, adabu na taadhima kuu, naomba kwa unyenyekevu mkubwa nijitokeze leo kuwasihi kwa sauti ya utulivu na busara Tuitembelee Tanzania yetu.
Katika ardhi hii ya kheri, tuliyoirithi kwa jasho na damu ya wazalendo, kuna maajabu yasiyoandikwa vitabuni wala kueleweka...
Mlima Kilimanjaro—maarufu kama "The Roof of Africa" ni zaidi ya kivutio cha kijiografia; ni iconic symbol of Tanzania's natural heritage na turathi ya kiulimwengu. Hata hivyo, pamoja na umuhimu wake wa kimazingira, kihistoria na kiuchumi, sekta ya utalii wa mlima huu inaendelea kukumbwa na...
Sekta ya utalii nchini Tanzania imechukua nafasi ya kwanza kama chanzo kikuu cha mapato ya fedha za kigeni, ikipita sekta ya dhahabu kwa mara ya kwanza tangu janga la UVIKO-19.
Kwa mujibu wa Taarifa ya Mapitio ya Uchumi ya Mwezi Juni 2025 iliyotolewa na Benki Kuu ya Tanzania (BoT), utalii...
‼️The new face of Kim Jong Un: North Korea's new tourist gem on the coast of the Sea of
June 28, 2025
North Korea has officially opened its most ambitious tourism project to date – the modern Wonsan-Kalma complex, located on the coast of the (East) Sea of Japan. 👇
kwa kutumia kilometres 4...
DUNSTAN KITANDULA: UTALII NA MADINI ZINACHANGIA KWA PAMOJA KUKUZA UCHUMI WA TAIFA
SERIKALI imesema sekta ya madini na utalii ni nguzo muhimu zinazotegemeana katika kukuza uchumi wa Tanzania, kutokana na mchango wake katika kuvutia wawekezaji, kuongeza ajira, na kuimarisha mapato ya taifa...
Habari Tanzania !
Naomba kuuliza kwa kukaribisha hoja ya Utalii hapa nchini. Je, hatuwezi kuwa na Utalii wa ndani (Domestic Tourism) kwa kuwapatia watoto wa Shule za Msingi na Sekondari (Serikali na Binafsi) haki ya kuona vivutio vya nchi yao na hii kitu iwekwe kwenye mitaala ya Elimu yao...
Akiwa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya Mollel Papaa, wilayani Babati, mkoani Manyara leo, Jumatano Juni 04.2025 Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo CCM Taifa CPA Amos Makalla amesema fulamu ya 'The Royal Tour' iliyofanywa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imekuwa...
"Utalii wa kisiasa ni pale ambapo mwenzako anazindua Ilani kwa ajili ya wananchi, wewe unashughulika kuimba taarabu kwa wananchi majukwaani na mitandaoni." — Alloyce, P.R.
Wizara ya Maliasili na Utalii imetaja vipaumbele 10 itakavyovitekeleza katika bajeti ya 2025/2026 ikiwemo kuendelea kujitangaza kupitia ligi mbalimbali duniani zenye kuangaliwa na watu wengi.
Vipaumbele hivyo vimetajwa leo bungeni Mei 19,2025 na Waziri wa Wizara hiyo Dk Pindi Chana wakati...
Tafadhali naomba Uongozi wa TAA uzikate ziwe ndogo ili Kuupendezesha kwani kwa jinsi zilivyo sasa zinatia Aibu hasa Kimandhari.
Nikirejea tena Likizo fupi Tanzania naomba nisizikute kwani haziwaaibishi tu TAA bali hata Watanzania wote kuwa ni Wachafu na Watu tusiojali.
Asanteni wana Dar es...
Katibu wa Halmashauri Kuu, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Amos Makalla amewataka wananchi wa Wilaya ya Ruangwa mkoani Lindi wasichoke kuichangia timu ya soka ya Namungo, kwani uwepo wa timu hiyo unaleta utalii wa michezo unaosaidia kukuza uchumi katika wilaya hiyo na...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais Samia ni kama maji usipoyanywa utayaoga tuuu. Huyu Mama ni Mpango wa Mungu Mwenyewe. Ni chaguo la Mungu. Na kwa kuwa ni chaguo la Mungu ,Taifa linaendelea kupata Neema na baraka kila uchao .
Siyo jambo dogo wala la kawaida kwa club kubwa na tajiri Duniani na yenye...
Mapambio na ngonjera zimekuwa nyingi zikitambulisha Jiji la Arusha kama lango kuu la Utalii.
Swali ni je, ni alama ipi ukifika pale Arusha unahisi kabisa upo kwenye Jiji la Arusha makao makuu ya Utalii?
Wageni wengi wa ndani na nje ya nchi wanajiuliza swali hilo hilo hawapati majibu?
Ukifika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.