watalii

 1. J

  Dkt. Mollel: Nimeridhishwa na namna Waziri Kigwangalla alivyowapokea watalii kwani amefuata muongozo wa Wizara ya Afya ipasavyo

  Naibu waziri wa afya Dkt. Mollel amesema ameridhishwa na namna Waziri wa Utalii Dkt. Kigwangalla alivyowapokea kundi la watalii katika uwanja wa KIA. Dkt. Mollel amesema Kigwangalla alifuata taratibu zote za afya kama zilivyobainishwa katika mwongozo wa Wizara yake. Dkt. Mollel amesema hayo...
 2. Trubarg

  Ndege ya watalii yapokelewa Uwanja wa Kimataifa Kilimanjaro (KIA)

  Kwa waliokaribu na TV tune in TBC 1 ====== Ndege ya kwanza ya watalii imewasili nchini ikiwa ni baada ya Rais John Magufuli kuruhusu kuendelea kwa shughuli za utalii nchini baada ya kupungua kwa kasi ya maambukizi ya ugonjwa wa virusi vya Corona Tanzania. Tarehe 20, Mei 2020, Mkurugenzi...
 3. Hakimu Mfawidhi

  Kwanini Tanzania tunapata watalii wachache kulinganisha na vivutio tulivyonavyo?

  Tanzania ni moja ya nchi chache Duniani zenye vivutia vingi sana vya utalii. Kwa Afrika ni nchi chache sana tunashindana nazo kwenye vivutio vya utalii. Kwa mfano mbuga za wanyama maarufu Duniani ya Kwanza ni serengeti ikifuatiwa kwa karibu sana na Kruger National Park ya Afrika Kusini...
 4. Z

  CORONA: Bila mikakati mipya, Utalii Tanzania huenda ukashindwa kuinuka?

  Kuna mambo kadhaa ya kufahamu kwa kina kabla ya kujadili hili. Kwanza tuukubali ukweli huu kuwa, kusambaa kwa Corona duniani ndio kuliko pelekea kusimama kwa shughuli za utalii hapa Tanzania. Sio mtu, watu au mamlaka fulani iliyoamuru kusitisha shughuli za utalii hapa Tanzania. Watalii wenyewe...
 5. J

  Baada ya kusakamwa sana, Dkt. Kigwangalla azindua video ya vivutio vya utalii aliyoibuni, asema sasa watalii wataanza kumiminika Tanzania

  Waziri wa utalii Dkt. Kigwangalla leo amezindua video ya kupromote utalii wetu duniani kote. Dkt. Kigwangalla amesema video hiyo ambayo itasambazwa dunia nzima ikionyesha vivutio vya utalii nchini itawafanya watalii waanze kumiminika Tanzania licha ya mkwamo wa Corona ulioikumba dunia...
 6. Nrangoo

  Waziri Kamwelwe: Watalii waanza kuingia Tanzania

  Katika sekta ya utalii nchini ambayo Rais Magufuli amesema itarejesha huduma zote wiki ijayo, Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Isack Kamwelwe amebainisha kuwa tayari baadhi ya watalii wameshaanza kuingia nchini.
 7. jaji mfawidhi

  Watalii Watue CHATO na sio Kilimanjaro

  Baada ya Serikali kufungua anga kwa ndege za Kimataifa, na kwakuwa huko kwa mabeberu summer time ndiyo hii basi wataslii wameanza kumiminika, na Kufikia mkoani KILIMANJARO. Hili ni pigo kubwa sana kwa serikali na imemchefua mkuu huku Kigwangala akipongeza bila kujua bosi wake amechukia ila...
 8. J

  Rais Magufuli: Hali kwa sasa ipo vizuri na Corona inapungua. Wanafunzi wa Form VI na Vyuo vyote kufunguliwa 01 Juni 2020

  Karibu Wageni wameshawasili katika sherehe hii ambayo wateule kadhaa wataapishwa akiwemo Naibu waziri wa afya, Katibu tawala mkoa wa Pwani Mkurugenzi wa Takukuru na mabalozi. Rais Magufuli ameshaingia ukumbini tayari kuanza kuwaapisha wateule wake. ===== Baadhi ya mambo yaliyozungumzwa...
 9. G Sam

  Hatimaye Uingereza imemaliza kutoa raia wake Tanzania leo

  Leo raia wapatao 200 wameondoka Tanzania kurudi Uingereza ikiwa ni kundi la mwisho la raia hao kuondoka. ====== UK repatriates 200 British nationals from Tanzania Two hundred British nationals were on Wednesday, May 20, 2020 repatriated from Tanzania amid Covid-19 pandemic...
 10. M

  Ulaya na Marekani wanaondoa raia wao nchini, hao watalii watatoka wapi baada ya kufungua anga?

  Rais amedai kuna watalii walio book safari na kujaza ndege zote toka Ulaya, anajuaje kuhusu hizo ndege, anapewa data na kampuni za hizo ndege? Kwani ukinunua tiketi unasema sababu za safari? Hizo ndege zilifanyiwa booking toka kabla ya korona, anafikiri wasafiri wata riski kusafiri kuja...
 11. B

  Kilimanjaro International Airport ipo tayari kupokea watalii

  May 20, 2020 Kilimanjaro international airport Tanzania RC MRISHO GAMBO ATINGA UWANJA WA KIA KUKAGUA MAANDALIZI YA KUPOKEA WATALII "KUNA VIFAA VYAKUTOSHA" Hii ni baada ya hotuba ya Mh. Rais huko Chato Geita kuwa sasa watalii waje Tanzania huku wakizingatia maelekezo yote kuhusu afya...
 12. J

  Waziri Kinyasu: Watalii wanatupigia simu wamechoka kufungiwa ndani huko Ulaya wanataka kuja Tanzania kupumzika

  Naibu waziri wa Maliasili na utalii mh Costantine Kinyasu amesema amekuwa akipokea simu kutoka kwa watalii na wadau wa Utalii kutoka Ulaya wakilalamika kuchoshwa na kufungiwa ndani hivyo wanataka kuja Tanzania kupumzika. Waziri anasema ameshakutana na wadau wa Utalii hapa nchini kuzungumzia...
 13. Cvez

  Kuelekea kufungua mipaka kuruhusu Watalii kuingia nchini

  Kufungua mipaka kurusu watalii kuja ni suala mtambuka, tunahitaji utalii ni moja ya sekta kuu za uchumi katika nchi yetu (2.5 bln $ kwa mwaka 2019), lakini pia huwezi kupuuzia tishio la Corona. Kitu ambacho serikali na wadau wa utalii wanachopaswa kufanya ni kutengeneza mazingira kufanya watalii...
 14. miss zomboko

  Mataifa 11 barani Ulaya yafanya makubaliano ya kufungua mipaka yao kwa ajili ya kuanza kupokea watalii

  Taarifa ya pamoja iliyotolewa na tovuti ya kidiplomaisa ya Ureno imesema, mawaziri wa mambo ya nje kutoka nchi 11 za Ulaya wamekubali masharti ya kufungua tena mipaka na kurejesha uhuru wa mawasiliano kati ya wakazi wa Ulaya. Kwa mujibu wa taarifa hiyo, wawakilishi kutoka Ujerumani, Austria...
 15. Sky Eclat

  Wakati tunaambiwa visa vya corona vimepungua, watalii wameambiwa na Uingereza kuwa visa vinaongezeka

  Staying during coronavirus This page gives you guidance on how to stay safely in Tanzania as a visitor, if you are unable to return to the UK. Everyone should comply with the measures put in place in Tanzania to limit the spread of coronavirus (COVID-19). Moving around in Tanzania The...
 16. Roving Journalist

  Rais Magufuli: Hakuna lockdown Tanzania! Mwanangu amepona COVID-19 kwa kujifukiza (Mei 17, 2020)

  Mhe. Rais Magufuli anatarajiwa kutuma salaam kwa Taifa leo Mei 17, 2020. Hotuba yake inaaminika itajaa mambo mazito. Kaa standby kwenye media zote na mitandao ya kijamii muda si mrefu ujao. Inatarajiwa kuanzia mida ya saa sita na nusu mchana (12:30PM) ndipo atakuwa mubashara. ======...
 17. Influenza

  Waziri Kigwangalla ataka utaratibu wa karantini kwa wageni uondolewe ili kuvutia Watalii

  Waziri wa Maliasili na Utalii, Hamis Kigwangalla kupitia twitter ameandika; Tumeanza kujipanga ndani ya Wizara ili kushawishi serikali yote kukubali namna ya kufungua biashara ya utalii mwezi Juni 2020. Tumefanya utafiti na tathmini (scenario analysis), kuna hatari ya ajira 477,000 kupotea...
 18. jmushi1

  Tusipokuwa serious, hata hao watalii tutawasahau! Nchi itakuwa kama Congo ambayo ni Shamba la bibi kila mtu kujichumia!

  Wanajamvi, kama heading inavyojieleza, naona kuna mizaha sana kwenye hili suala la Corona! Na zaidi ni kwenye kuhusiana na lockdown. Kiukweli naona tumechelewa sana. Lakini bado haina maana tuendelee na utaratibu huu wa sasa. Kwasababu mataifa ya hao wenzetu yanaanza kupata unafuu. Wamepambana...
 19. J

  Serikali yawataka watalii waliopanga kuja nchini kuahirisha safari hadi hapo Corona itakapodhibitiwa

  Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mh Kanyasu amewataka watalii waliopanga kutembelea Tanzania kuahirisha safari zao hadi pale ugonjwa wa Corona utakapokuwa umedhibitiwa. Mh Kanyasu amewataka watalii hao kutofuta safari zao bali waahirishe kupisha hili janga linaloisumbua Dunia kwa sasa...
Top Bottom