Prof. Shivj: Ubinafsishaji wa Rasilimali za Taifa ni wizi wa jasho la Wazalishaji

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
119,627
223,266
Sichangii chochote angalia mwenyewe

"Kasi ya ubinafsishaji/ugenishaji wa rasilimali za taifa inatisha. Ubinafsishaji kiholela ni ufujaji wa mali ya umma= uwizi wa jasho la wazalishaji.Tujifunze kutoka historia.Hakuna nchi inayoweza kuleta maendeleo halisi ya waliowengi bila kuthibiti njia nyeti za uchumi wake"

Kauli Prof. Shivji baada ya Serikali kukabidhi Shirika la la Umma la Wakala wa Mabasi yaendayo haraka (DART) kwa kampuni ya Dubai kwa ajili ya kuendesha shirika hilo.

Pia soma
- Kampuni Kutoka Dubai Yashinda Zabuni ya Kuendesha Mwendokasi
 
iyo miradi tuliimiliki sisi wenyewe tukaivuruga kwa hulka zetu mbaya za kitanzania za wizi,uzembe na upigaji.

kwa mfano professor yeye alitaka nini kifanyike mbadala wa kubinafsisha?
 
ndio alikua anawafundisha hicho jana ?🐒

mmeelewa kweli huwa anajaribu kuzungumza kwa hisia kana kwamba ana uchunguuu🐒

kumbe mwoga tu 🐒
 
Na tutakoma tunachojua ni kubeti na bongofleva kufuatilia masuala muhimu ya kitaifa kwa vijana ni ushamba fulani hivi au kupitwa na wakati, days are coming pale athari za huu utopolo zitakapomgusa kila mtu.
 
iyo miradi tuliimiliki sisi wenyewe tukaivuruga kwa hulka zetu mbaya za kitanzania za wizi,uzembe na upigaji.

kwa mfano professor yeye alitaka nini kifanyike mbadala wa kubinafsisha?
Aliyeusimamia huo wizi ni nani? Na walioiba walichukuliwa hatua gani? Ulitaka Proffesor achukue bunduki awapige risasi hao wezi? Jitambue Mkuu. Badilika. 2025 usifanye makosa!!!
 
Nitakubaliana na profesa kama tu watu wa nchi husika wanaelewa gharama ya kuwa mjinga, watanzania hawaelewi gharama hiyo kwaio ni sahihi kubinafisisha, na ni muhimu tubinafisishe hata nafasi kubwa za uongozi ukiwemo urais, waziri mkuu, speaker, jaji mkuu n.k
 
Wasomi kama hawa hamna walichosaidia kwenye hii nchi kazi yao ni kukatisha tamaa juhudi za kuleta maendeleo. Wasomi wa aina hii hawatufai hata kidogo
 
Back
Top Bottom