Hata kama ni mgao lakini nadhani hii sasa imezidi.
Sijui kama hili shirika linajua kwamba unaounguza uzalishaji na kupunguza ukuaji wa biashara nchini kwa huu mgao.
Hivi Tanesco wameshindwa kukaa chini na kuwaza ni namna gani hata huu mgao wa umeme utakuwa na manufaa kidogo miongoni mwa...
Wana Jamvi JF,
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza niende moja kwa moja kwenye mada. Kabla ya mwaka 2023 wanafunzi waliokuwa wanafaulu kidato cha sita na kudahiliwa katika vyuo mbalimbali Tanzania pamoja na vigezo vya kusomea taaluma maalum za sayansi, udaktari na ualimu kupata asilimia...
UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA KATIKA KULETA TIJA KWENYE SEKTA YA MICHEZO NA SANAA KWA MASLAHI YA UMMA NCHINI TANZANIA
Utangulizi
Sekta ya michezo na sanaa ina umuhimu mkubwa katika kuimarisha utamaduni, kujenga umoja, na kuleta furaha kwa jamii. Kwa maslahi ya umma, uwajibikaji na utawala bora ni...
Kuna watu wanasema Watanzania wameshindwa kujisimamia, naomba watueleze ni eneo gani kampuni za Kigeni zimewahi kupewa Tanzania ikanufaika.
Tumekuwa wepesi Sana kuvuruga wananchi na watendaji Kwa malengo ya kisiasa tunapotaka kuuza rasilimali. Tumewekeza fedha nyingi Sana bandarini ,tukawekeza...
Mkuu wa Chuo cha Taaluma ya Polisi Dar es Salaam, Kamishna Mwandamizi wa Polisi, Lazaro Mambosasa amewataka Askari Polisi wanaohudumia madawati ya Usalama Kwanza kutumia mafunzo waliyoyapata kuleta tija ndani ya Jeshi la Polisi.
Alisema hayo alipokutana na askari hao katika mwendelezo wa...
Utangulizi
Sera ni matamko yatokanayo na masuala ya msingi yenye dhamira ya kuelekeza namna ya kukabili changamoto kwa ajili ya maendeleo katika jamii. Aidha, inaweka wazi dira na dhima na kuelekeza juu ya utekelezaji wa majukumu ya wizara, idara, taasisi, sekta binafsi na jamii kwa ujumla. Sera...
Jamii Forums, Asasi ya Kiraia inayohamasisha Haki za Kidigitali, Demokrasia, Uwajibikaji na Utawala Bora na mratibu wa jukwaa la mtandaoni la JamiiForums.com (JF), imekuwa mstari wa mbele katika kuhamasisha uandishi wa maudhui bora na yenye tija mtandaoni kwa zaidi ya miaka 15 kwa kutoa jukwaa...
1. Afya ya udongo ni nini?
Afya ya udongo ni uwezo wa udongo kukidhi mahitaji ya ukuaji na uzalishaji wa mimea kama vile: virutubisho, maji, hewa pamoja na uwezo wa udongo kushikilia mmea
2.0 Virutubisho 16 muhimu kwa ajili ya ukuaji wa mmea
A. Virutubisho vinavyohitajika na mmea kwa kiasi...
Kuwa na utaratibu wa anwani ya makazi ni jambo jema lakini maboresho makubwa yanahitajika. Faida kubwa ya kuwa na anwani ya makazi ni kujulikana kwa sehemu au eneo, mtaa mtu anapoishi ili kufika kwa urahisi bila kuelekezwa na mtu.
Hapa Mwanza katika Wilaya ya Nyamagagana tayari utaratibu huu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.