malengo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Waziri Ulega aahidi ushirikiano kufikia malengo ya Wizara ya Katiba na Sheria

    Waziri wa Katiba na Sheria, Abdallah Hamis Ulega, ameahidi kushirikiana kwa karibu na viongozi pamoja na watumishi ili kuhakikisha majukumu ya Wizara yanatekelezwa kwa ufanisi na hatimaye kufikia malengo na matarajio yaliowekwa na Serikali. Ulega ameyasema hayo tarehe, 1 Oktoba, 2026 Mtumba...
  2. Zack Abdul

    JamiiForums Tanzania Tufahamu malengo ya UN kuundwa mwaka 1945

    👉 Umoja wa Mataifa (UN) ulianzishwa mwaka 1945, baada ya dunia kupitia madhara makubwa ya Vita Kuu ya Pili ya Dunia. 👉 Lengo kuu lilikuwa kudumisha amani na usalama wa kimataifa. 👉 Kuzuia migogoro kati ya mataifa isigeuke kuwa vita vikubwa. 👉 Kujenga jukwaa la mataifa...
  3. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Kama kijana tabia gani inakufanya usifikie malengo yako?

    Wakuu, tupige stori kidogo Hivi Kama kijana ni Tabia gani inakufanya usifikie malengo yako?
  4. Crocodiletooth

    JamiiForums Tanzania Stadi:-Jinsi ushirika mdogo unavyoweza kusaidiwa na serekali,katika kufikia malengo ya wanaushirika.

    Leo, tumetuma kontena lingine kutoka Malawi🇲🇼 hadi Ulaya. Limejaa vikapu vyetu vilivyotengenezwa kwa mikono, viti na vipande vingine vilivyotengenezwa na Akhada Baskets. Kila wakati tunapakia kontena, tunakumbushwa jinsi tulivyofika. Kuanzia kufanya kazi na mfumaji mmoja tu hadi sasa kuona...
  5. Q

    JamiiForums Tanzania Lema ana malengo gani na CHADEMA? Matendo yake yanatia wasiwasi

    Sio mara ya kwanza Lema kutiliwa wasiwasi na wanachama wa Chadema. Kipindi cha Uchaguzi wa Mkiti kanda ya Kaskazin alisusa akakimbia Canada, hata wakati wa Uchaguzi wa Mkiti taifa uliomuondoa Mbowe alionekana kumuunga Lissu kwa shingo upande hakuwa na option nyingine. Kwenye kikao cha Kamati...
  6. N'yadikwa

    JamiiForums Tanzania NANE NANE ITIMIZE MALENGO YAKE, ISIISHIE KUWA GULIO — USHAURI KWA WIZARA YA KILIMO

    Wakuu, Nadhani umefika wakati Wizara ya Kilimo iangalie upya namna tunavyoendesha Maonesho ya Nane Nane nchini ili yawe na matokeo makubwa zaidi kwa mkulima na sekta ya kilimo kwa ujumla. Kwanza, Nane Nane isiishie kuwa gulio kubwa la kila aina ya bidhaa, vyakula na burudani. Hayo yana...
  7. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Wanachama za SADC wahimizwa kuwa na umoja wenye malengo kukabiliana na changamoto zenye madhara ya Kiuchumi

    Nchi wanachama za Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC) zimehimizwa kuwa na umoja wenye malengo katika kukabiliana na changamoto zinazoibuka duniani ambazo zisiposhughulikiwa ipasavyo zitakuwa na madhara makubwa katika usalama na uchumi wa nchi wanachama. Hayo yamejiri Julai 16, 2026...
  8. AXIOM APEX VERBOSE

    JamiiForums Tanzania Je! Unahisi umeshatimiza Malengo yako ya kua hapa duniani au bado?

    Lengo langu limetimia kwa 99.99%. Je! Wewe?
  9. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Sheikhe Mwaipopo na wenzake wanasaidia kutimiza malengo ya M7/7 kwa kuleta hofu Kwa raia itakayofanya Siku hiyo watu wasitoke kwa shughuli zao.

    Hamjambo! Bado najiuliza nini kinaendelea. Wanaopanga na kuchochea maandamano kisaikolojia hawatishwi na mtu yeyote Yule isipokuwa vyombo vya Dola. Fikiria watu wanaomtukana Rais, amiri jeshi Mkuu, wanaotukana viongozi wa serikali, Hivi hao watu watatishwa na Sheikhe Mwaipopo kweli? Sheikhe...
  10. Toredo0

    JamiiForums Tanzania Wanawake hawanaga akili wenyewe wanapoteza watu wenye malengo nao kwa upumbafu wao

    Ipo hivi wakati nipo chuo nilikutana na binti mmoja mzuri tu wakati nipo mwaka wa pili yeye yupo wa kwanza tumedumu katika mahusiano hatimaye mpaka mimi nimemaliza chuo nikamuacha yeye anaendelea kusoma. pia wakati bado anasoma mimi nipo mtaani nikapigiwa pande nikapata kazi serikalini wakati...
  11. Dr Arshavin

    JamiiForums Tanzania Jifunze Kusema HAPANA: Linda Muda na Malengo Yako

    Jifunze kusema HAPANA. Kusema HAPANA ni muhimu kwa sababu si kila kitu kinachokuja kwenye maisha yako kinafaa kubeba muda wako, nguvu zako au akili yako. Watu wengi wanachoka, wanapoteza focus na wanabaki nyuma si kwa sababu hawana uwezo, bali kwa sababu hawawezi kusema hapana. Ukishindwa...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Ukichagua biashara uwe na malengo ya kuja kutengeneza kipato kuzidi muajiriwa, ukipata chini au sawa na muajiriwa wewe ni mtumwa kuzidi muajiriwa

    Jipimie kuwazidi hawa waajiriwa wa taasisi kubwa kubwa, uweze kutengeneza angalau milioni 10 na zaidi kila mwezi, watumishi wachache sana wanavuka hapo ukiunganisha posho, mshahara na vidili. basi hio ndio iwe target yako. Watumisi hasa wa serikali wana uhakika wa misahara, posho na vidili...
  13. Mr Dudumizi

    JamiiForums Tanzania Huu Utaratibu wa kuwarudisha watanzania nyumbani ni wa hovyo. Unahitaji marekebisha ili kukidhi malengo ya kweli.

    Katika kipindi hiki ambacho raia wengi wa kigeni wanakumbana na changamoto mbali mbali za kiusalama hapa Kaburu, kutokana na fujo zinazoendelea nchini. Baadhi ya nchi zenye utu, na upendo kwa raia wao zimetuma ndege na mabasi mengi ili kusaidia kuwatoa raia wao wanaotaka kurudi nchini kwao kwa...
  14. Red black

    JamiiForums Tanzania Kuna dada katumiwa kadi ya mwaliko wa harusi na mwanaume aliekuwa na malengo nae/future almanusra ajitie kitanzi

    Jamaa kamfinyia huyu dada vitendo vya kilusifa kamtumia kadi ya mwaliko wa harusi kwamba anaoa mwanamke mwingine. dada kawahiwa na marafiki zake kidogo ajitie kitanzi.
  15. Echolima1

    JamiiForums Tanzania "Operesheni Epic Fury imekamilika. Tumefikia malengo ya operesheni hiyo."-Sec Marco Rubio

    Marco Rubio anasema mashambulizi ya kijeshi ya Marekani dhidi ya Iran yameisha, akisisitiza kuwa operesheni hiyo imefikia malengo yake. Alisema lengo lilikuwa kudhoofisha uwezo wa makombora ya Iran, ambayo yalikuwa yakitumika kulinda mpango wake wa nyuklia. "Operesheni Epic Fury imekamilika...
  16. Dennis Robert Shughuru

    JamiiForums Tanzania Watu wengi hawanielewi ninaposema nina malengo ya kugombania urais mwaka 2035

    NOTE Changamoto ni kwamba waafrika wengi hawana malengo ya mwaka sasa ni ngumu sana kukuelewa kama unamipango ya miaka 9 ijayo Nchi zilizoendelea maandalizi binasi sio muhimu sana sababu mifumo yao imenyooka ila kwa nchi kama Tanzania ambayo mifumo yake sio mizuri maandalizi binafsi ni muhimu...
  17. Robert Heriel Mtibeli

    JamiiForums Tanzania Akili Nyeusi: Siri za watu wanaocheza na mawazo na malengo yako

    AKILI NYEUSI: SIRI ZA WATU WANAOCHEZA NA MAWAZO NA MALENGO YAKO. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Shuleni ulifundishwa Masuala la Chemical reactions, ulifundishwa natural selection, ulifundishwa Frictions. Maisha ni vita, au reactions simple unazoziona kimwili na kiroho na complex. 1. Kuna...
  18. M

    JamiiForums Tanzania TIMIZA MALENGO YAKO 2026

    Habari Kila mmoja wetu ana malengo yake hususani ya kiuchumi, na anahitaji kuyatimiza lakini changamoto kubwa huwa ni pesa. Leo nimekuletea FURSA ya kupata mkopo Kwa urahisi na haraka Kwa watu wa aina zote Tunatoa mikopo Kwa *wafanyabiashara wakubwà na wadogo Watumishi wa umma Mikopo ya...
  19. Lighton

    JamiiForums Tanzania Wazayoni(Zionist) ni akina nani na Wana malengo gani?

    Nimejaribu kufatilia matukio ya Dunia, vita,migogoro ya kiuchumi, na mizozo ya mipaka baina ya mataifa, lakini Zionist ni miongoni mwa neno ambalo nimelisikia sana likihusishwa na migogoro yote inayoendelea Duniani hivi Sasa. Nimedig kidogo kwenye baadhi ya vyanzo, nikafaham kwamba chanzo Cha...
  20. idiomer

    JamiiForums Tanzania Hivi wizara zinakuwaga na malengo? Je zinaweka malengo kulingana na dira mfano ya 2050?

    Naona kuna baadhi ya mawaziri wakiingia kama wana mambo yao vile wakiondoka yameisha? Mfano waziri fulani alikuja na vazi la taifa , mwingine singeli mwingine contents creators, ........
Back
Top Bottom