uwajibikaji 2023

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Zambia: Mke wa Rais mstaafu akamatwa kwa madai ya wizi

    Jeshi la Polisi linamshikilia Esther Lungu ambaye ni mke wa Rais wa zamani wa Zambia, Edgar Lungu akituhumiwa makosa matatu likiwemo la wizi wa gari ambalo amekanusha kuhusika. Esther ambaye yuko kizuizini Jijini Lusaka, amekamatwa pamoja na watu wengine watatu wakiwa pia wanatuhumiwa kumiliki...
  2. naggy

    Tufanye Ubinafsishaji kwenye utoaji wa haki jinai, uwajibikaji na elimu ya Uraia

    Ni Wakati muafaka sasa tufanye foreign investment kwenye usimamizi wa demokrasia na utoaji na utendaji haki nchini, kama tunavyofanya kwenye madini, mapori, na bandari, gas, na kwingineko, kwa kuwa sisi hatuko vizuri kwenye eneo lolote lile. Tunapovutia wawekezaji kwenye nyanja za kiuchumi...
  3. M

    Kuna ugumu gani kuwakamata waliomteka Mo Dewji na kumpiga risasi Tundu Lissu?

    Watanzania mwenzangu nawasalimu. Kwanza nilipongeze Jeshi letu la Polisi kwa baadhi ya kazi zake nzuri na pia nitoe masikitiko yangu juu ya baadhi ya matukio ya muda mrefu ambayo pamoja na intelejinsia yake limeshindwa kutupa majibu Watanzania. Mambo ambayo Jeshi letu yanaonekana limeshindwa...
  4. Wichoka Son

    SoC03 Jinsi mafunzo ya elimu kwa vitendo yanavyochochea uwajibikaji kwa wahitimu na wasomi kazini hapa nchini

    JINSI MAFUNZO YA ELIMU KWA VITENDO (FIELD/INTERNS) YANAVYOCHOCHEA UWAJIBIKAJI KWA WAHITIMU NA WASOMI WA ELIMU YA JUU KAZINI HAPA NCHINI. Nchini Tanzania kutokana na ongezeko la vyuo vikuu kumekuwapo pia na ongezeko kubwa la wahitimu wa elimu ya juu kitu kinachopelekea upungufu mkubwa wa ajira...
  5. I

    SoC03 Utawala Bora katika jamii au nchi

    Utawala ulio boraa ni mchakato ambao una lengo la kukuza ufanisi, uwazi, uwajibikaji, na ushirikishwaji katika utendaji wa serikali. Katika kujenga utawala bora, ni muhimu kuwa na mabadiliko yanayochochea maendeleo katika nyanja zote, ikiwemo uwajibikaji. Hapa chini nimeandika andiko ambalo...
  6. Suley2019

    Dkt. Mpango aagiza Manispaa ya Tabora kumshughulikia mtumishi aliyefanya ubadhilifu hospitali

    Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Philip Mpango, ameuagiza uongozi wa Manispaa ya Tabora kushirikiana na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa, kuhakikisha wanamfikisha katika vyombo vya sheria aliyefanya ubadhirifu, wakati wa ujenzi wa Hospitali ya Wilaya ya Tabora...
  7. R

    Thomas Nkola (Mkulima) awafunguli kesi 5 Mwigulu, January, Mbarawa, Tutuba na Mkurugenzi PCCB

    Thomas Nkola maarufu kama Mkulima afungua kesi 5 ambazo zimesikilizwa jana tar 29/5/2023 katika mahakam ya hakimu Mkazi Kisutu, dhidi ya viongozi mbalimbali ikiwemo Mwigulu, Mkurugenzi PCCB, Mkurugenzi wa Mashtaka wa Serikali, Mkurugenzi wa Upelelezi Makosa ya Jinai, January Makamba, Makame...
  8. R

    Mtindo huu wa bajaji kupakia abiria wawili mbele tunasubiri ajali mbaya itokee ndio hatua ichukuliwe?

    Habari wakuu, Mtindo huu wa bajaji kupakia abiria wawili mbele si mpya, naamini watu wengi mmekutana nayo hii hasa kwa wakazi wa Mbezi ya Kimara. Hili ni jambo hatari ambalo linaweza kusababisha majanga muda wowote, hasa ukizingatia madereva wengi wa bajaji walivyo rafu barabarani. Kubwa zaidi...
  9. Nyendo

    Uchunguzi wa mapacha njiti waliochunwa ngozi ya uso wakamilika. Wanne kufikishwa Mahakamani kwa Uvunaji wa Viungo vya Binadamu

    Mkuu wa Mkoa wa Tabora Balozi Dkt. Batilda Burian @batilda.burian amesema jalada la uchunguzi wa tukio tata la Watoto pacha waliozaliwa kabla ya muda katika Kituo cha Afya Kaliua na mmoja wao kunyofolewa jicho la kulia na ngozi ya paji la uso, limekamilika na Watumishi wanne wa Kituo hicho...
  10. Nyendo

    Songwe: Baba atuhumiwa kumbaka mtoto wake

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limemkamata Mkazi wa Ichenjezya Wilayani Mbozi kwa tuhuma za kumbaka Mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 15. RPC wa Songwe, Theopista Mallya amesema Baba huyo alitaka kufanya tukio hilo usiku wa manane ambapo aliingia kwenye chumba anacholala Mtoto huyo...
  11. Nyendo

    Wanafunzi wawili wafariki kwa kukosa hewa wakitoa maharage kwenye pipa

    Wanafunzi wawili wa Shule ya Sekondari Kisomachi, iliyopo Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro, wamefariki dunia baada ya kudaiwa kukosa hewa, wakati walipoingia kwenye tenki la kuhifadhia maharage. Akizungumza Mwenyekiti wa Kijiji cha Kileuwo wilayani hapa, Godfrey Mrema amesema tukio hilo...
  12. Nyendo

    Tozo zatajwa na Rais Samia kupandisha mabando

    Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa Jijini Dodoma leo ameshiriki hafla ya utiaji saini mikataba ya miradi ya kufikisha huduma za mawasiliano ya simu katika Kata 763 nchini na miongoni mwa aliyoyasema ni kuhusu Watoa huduma za mitandao ya simu kudai tozo wanazowekewa ni kubwa hasa kwenye mamlaka...
  13. S

    Nwanza: Mwanafunzi wa chuo cha udaktari ajiteka apate hela

    Kennedy Nyangige mwanafunzi wa mwaka wa kwanza katika chuo cha udaktari Bugando anashikiliwa na jeshi la polisi mkoani Mwanza kwa tuhuma za kujiteka na kisha kutuma meseji kwa wazazi, ndugu na viongozi wake wa chuo akidai ametekwa na inatakiwa milioni 3.5 ili aachiwe. RPC Mwanza Wilbroad...
Back
Top Bottom