bandari ya dar es salaam

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pfizer

    DP World anapewa kazi ya kupakua na kupakia Makontena tu, sio Bandari yote ya Dar wala si nje ya Dar

    Salaam Wakuu, Wote tunaijua Bandari ya Dar Es Salaam. Watu walidanganya eti kuanzia Geti namba moja hadi namba 8 anapewa DP World kumbe uongo. DP World anapewa kazi ya kupakia na kupakua Makasha kama ilivyokuwa kwa TICTS si kwamba anapewa bandari yote ya Dar, anapewa kijisehemu tu. Kwahiyo...
  2. K

    Bandari ya Dar yaipiku Mombasa, ni baada ya uwekezaji mkubwa

    Uwekezaji wa zaidi ya trillioni 1 uliofanywa na serikali kwenye maboresho ya bandari ya Dar es Salaam umezaa matunda baada ya mara ya kwanza kuipiku bandari ya Mombasa kwa idadi ya mizigo. Kwenye utawala wa Kikwete bandari ya Dar ilikuwa duni kiasi cha kupaki meli yenye urefu wa mita 100 tu...
  3. M

    Aibu: Vyombo vya Habari nchini kwa makusudi vyapotosha alichokisema Dkt. Slaa kwenye Mkutano wake na Waandishi wa Habari

    Katika mkutano wake na vyombo vya habari uliofanyika leo, Dkt. Slaa ameongea kiuzalendo na kuonyesha ubaya wa miataba tuliokuwa nao, lakini cha ajabu vyombo vya habari nchini kinyume na maadili ya umma vimepotosha kwa makusudi kauli na mantiki na dhima ya alichokizungumza. Ili kuwachanganya...
  4. Wadiz

    Hili la bandari kuuzwa likipita utumwa unarudi na Zanzibar inaweza peperuka

    Wasalaam, 👇👇👇 Habari ndiyo hio, bandari ikiuzwa kama msemavyo wabongo tetesi basi jiandaeni kwa utumwa usiomithirika, sioni Tanzania iliyosalama, sioni muungano ukiendelea. Mkimuangalia mtavuna mabua alianza ngorongoro, sasa kalekea chumbani kwenye roho ya nchi. Endeleeni kumchekea Hali si...
  5. Nobunaga

    Mkataba na DP World siyo miaka 100, bali ni MILELE

    Swali ambalo limeulizwa sana mkataba huu ni wa muda gani? Wapi palipoandikwa miaka 100? Au wapi palipoandikwa miezi 12 ambayo TPA wamesema? Jibu lipo kwenye kufungu cha 23(4) cha mkataba. Kifungu hicho kinasema mkataba ukishasainiwa, pande mbili za mkataba (serikali ya TZ na serikali ya Dubai)...
  6. hp4510

    Suala la Bandari tukubali tunahitaji msaada

    Wandugu me naungana na serikali Kwa 100% kwenye hili Jambo la bandari Jamani kuna mambo lazima tukubali kusaidiwa because Sisi wenyewe tumefeli huo ni ukweli na sio dhambi Mara zote bandari ilikuwa chini yetu, wizi ni mwingi, ubadhirifu ni mwingi, huduma mbovu ela hakuna Sasa Leo anakuja mtu...
  7. Erythrocyte

    Mkeka wa Makatibu Tawala hauwezi kufifisha Mjadala wa Sakata la kuuzwa kwa Bandari

    Niwakumbushe tu Washauri wa viongozi kwamba, kwa ukubwa wa tuhuma za kuuzwa kwa Bandari, si rahisi tena kuleta jambo la kufifisha mjadala huu. Kwahiyo tunawaomba msipoteze muda wenu kujaribu ku divert mjadala huu, hakuna atakayeingia mkenge. Watanzania siyo Wajinga sana.
  8. J

    Kuhusu Bandari ya Dar es Salaam: Historia ya uchumi wetu unaonesha kuwa ubinafsishaji umekuza uchumi kuliko nationalization (utaifishaji)

    Kwa wanaofuatilia historia ya nchi yetu tangia uhuru, ambapo baada ya uhuru makampuni, viwanda, mashamba makubwa, shule, benki nyingi zilikuwa chini ya sekta binafsi. Nyerere kwa uelewa wake akataifisha vitega uchumi hivi na kuvifanya mali ya Serikali. Uchumi wa Tanzania ukayumba sana, viwanda...
  9. Sildenafil Citrate

    Freeman Mbowe kutoa Msimamo wa CHADEMA kuhusu Sakata la Bandari ya Dar es Salaam, leo Juni 7, 2023

    Baada ya mashauriano ya viongozi waku waliopo safarini nje ya nchi Mwenyekiti wa Chama Taifa Mheshimiwa Freeman Mbowe, Makamu Mwenvekiti Bara Mheshimiwa Tundu Lissu a Katibu Mkuu Mheshimiwa John Mnyika kwamba, kwa sababu ya unyeti na uharaka wa suala hili la makubaliano kati ya Tanzania na...
  10. OLS

    Mkataba wa Bandari ya Dar ni kitanzi. Mbaya zaidi shughuli za awali zinaanza kabla ya Bunge kukubali. Je, wananchi tutakuwa na sauti katika hili?

    Mkataba kati ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Serikali ya Dubai kuhusu Ushirikiano wa Kiuchumi na Kijamii kwa ajili ya Uendelezaji na Uboreshaji wa Utendaji Kazi wa Bandari za Bahari na Maziwa Makuu ya Tanzania unaibua masuala kadhaa ambayo yanahitaji ufafanuzi kutoka kwa...
  11. peno hasegawa

    Bunge na ubinafsishaji wa Bandari ya Dar es Salaam, huu ni ufisadi mkubwa

    Bunge letu ni taasisi na muhimili wa kidola usiopaswa kuegemea mihimili mingine ya kidola katika taifa. Kwa nini Bunge la JMT lielekezwe kubariki badala ya kusimamia (dhibiti) na kutoa mwongozo (rule of procedure) kuhusu namna ya serikali kuingia mikataba kama huu wa TPA? Wadau tunaamini Bunge...
  12. BLACK MOVEMENT

    Naunga mkono suala la kubinasifisha Bandari ya Dar es Salaam

    Ifike wakati Serikali iachane na kufanya biashara make huu ni ujamaa na ushakuwa proved haiwezekani zaidi ya upigaji. Kwa taarifa zaidi soma hapa >> Tanzania inatarajiwa kuingia mkataba na kampuni ya DP World ya Dubai kuendeleza Bandari ya Dar es Salaam Mashirika ya umma kama Bandari, Tanesco...
  13. ChoiceVariable

    Bandari ya Dar es Salaam yaipita Bandari ya Mombasa kwa Ufanisi, Kulingana na Benki ya Dunia

    Benki ya Dunia imetoa ripoti inayoonesha Bandari ya Dar ndio inaongoza Kwa Ufanisi katika kuhudumia wateja ikiwemo kuondoa makasha Kwa haraka na kutokuwepo Kwa urasimu.. Taarifa ya WB inasema Bandarinya Dar sanjali na Djibouti zimeiacha Mbali Bandari ya Mombasa.. Hongera sana mkurugenzi Mpya...
  14. W

    TICTS yasababisha hasara kubwa kwa taifa, yadondosha makontena baharini

    TICTS yasababisha hasara kubwa kwa taifa * Yadondosha makontena matatu baharini * Meli zashindwa kushusha mafuta bandarini kwa siku kadhaa KAMPUNI ya kimataifa ya kuhudumia makontena Tanzania katika bandari ya Dar es Salaam (TICTS) imeisababishia taifa hasara kubwa baada ya kudondosha...
  15. Memento

    Sakata la DP WORLD: Rais Samia asema Serikali itatafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar, sasa kuchangia robo tatu ya bajeti ya nchi

    Nimeona Rais akisema Serikali kutafuta mbia wa kuiendesha bandari ya Dar es Salaam ili kuleta ufanisi na kuongeza mapato. Ni kweli tunahitaji mbia wa kuiendesha bandari ya Dar? Sisi wenyewe imeshindikana kabisa? Tumewahi kufanya hivi kwenye reli, shirika la ndege lakini tunajua kilichotukuta...
  16. Uzalendo wa Kitanzania

    Bandari ya Dar es Salaam Yavunja Rekodi kwa kupokea Meli iliyobeba Shehena Kubwa Zaidi ya Tani 38,500

    Bandari ya Dar es Salaam imevunja rekodi kwa kupokea meli iliyobeba mzigo mkubwa zaidi wa shehena ya tani 38,500 Shehena hiyo ya viuatilifu vya sulphur iliwasili jana Septemba 08, 2021 Meli ya Serene Theodore ShehrSh Kubwa Zaidi ilipokelewa bandarini hapo zaidi ya miaka 10 iliyopita ikiwa na...
  17. Kinuju

    Tanzania yaipiku tena Kenya, bandari ya Dar yaweka rekodi mpya

    Baada ya wiki iliyopita kutolewa habari kuwa Tanzania imeipiku Kenya kwa kupeleka bidhaa nyingi nchini Uganda kwa kupitia bandari, leo tena imetolewa habari mpya kuwa bandari ya Dares salaam imeweka rekodi mpya kwa kupokea meli kubwa yenye urefu wa mita 200 (yani sawa na viwanja viwili vya mpira...
  18. Hivi punde

    Dar: Meli yenye magari 3,743 yawasili bandarini ikitokea Japan

    Bandari ya Dar es Salaam imeendelea kuzivutia kampuni kubwa za usafirishaji duniani, baada ya meli kubwa ya kisasa ikiwa na shehena kubwa zaidi ya magari kuwahi kutia nanga bandarini hapo. Meli hiyo ya TRANQUAIL ACE (IMO: 9561253) inayomilikiwa na Kampuni ya Mitsui ikitokea moja kwa moja nchini...
  19. Roving Journalist

    Zambia yalalamikiwa kwa kujimilikisha kazi ya kubeba Mizigo Bandari ya Dar es Salaam

    Salaam Wakuu, Chama cha Wamiliki Malori Tanzania(TATOA) Wameiomba Serikali kuingilia kati Sheria iliyotungwa Zambia ya kusimamia Uingiaji na utokaji wa Mizigo Nchini Zambia. Sheria hiyo inataka Mizigo yote inayoingia Zambia, 50% ibebwe na Wazambia Wazawa, 30% ibebwe na TAZARA na 20% ibebwe na...
  20. jingalao

    Malori yakwama bandarini Dar, madereva walalamikia ukiritimba na rushwa kurudi kama zamani

    Mwananchi online linaripoti kukwama kwa malori bandarini. Je wapo wanaopima kina cha maji? ======== Mwananchi Digital imeripoti kuwa katika bandari ya Dar es Salaam kuna maroli (magari makubwa ya mizigo) yamekwama kwa siku kadhaa hivyo kusababisha madereva wa maroli kulala na kuamka hapo hadi...
Back
Top Bottom