dikteta

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr Matola PhD

    Leo katika historia kutoka Kwa Tundu Antipas Lisu dhidi ya "Dikteta Uchwara"

    Strong leader. Ujumbe wa Lissu: Wandugu wapendwa. Ninaandika haya nikiwa nyumbani kwangu Dodoma. Najiandaa kwenda mahakamani kwa ajili ya uamuzi wa Mahakama Kuu juu ya kesi ya kutaka kuzuia Uchaguzi wa TLS. Ninawapa taarifa kwamba nimefuatwa nyumbani na askari wawili kutoka ofisi ya RPC...
  2. Mr Why

    Hayati Magufuli hakuwa Dikteta

    Magufuli hakuwa Dikteta kama baadhi ya wananchi walivyokuwa wakimlaani Alikuwa akichukizwa na watu vigeugeu au wasaliti Alitaka akiagiza tufanye kazi basi tufanye wote sio wengine waende kinyume Na jambo jema ni kuwa maagizo yake yalikuwa ya kuleta maendeleo Tatizo la Watanzania 80% ni...
  3. J

    Mauaji haya yangefanyika kipindi cha Magufuli kelele zingekuwa nyingi, ila kwa Samia tunapotezea sababu sio "dikteta"?

    Utekaji na Mauaji haya vingefanyika kipindi cha Magufuli kelele zingekuwa nyingi, ila kwa Samia tunapotezea Kwa sababu sio "dikteta" au hafoki foki jukwaani Soma taarifa hii uone polisi wanavyofanya utekaji na mauaji bila kificho chochote na hawafanywi chochote. ≠============...
  4. Wadiz

    Hawa Wabunge wa ovyo ni zao la Udikteta Uchwara awamu ya Hayati Magufuli

    Ukweli usemwe Rais SSH hana baya saana ukilinganisha na yule, mkatili wa kihistoria nchini Tanzania. Hakuna asiyekumbuka mikwala ya Magufuli kwa wakurugenzi kuhusu uchaguzi na kuwatisha kumtangaza Mpinzani kama mshindi, ni wapumbavu tu ndio wataamini Professor J, Zitto, Mnyika, Sugu, Heche...
  5. FRANCIS DA DON

    Je, hapa duniani pameshawahi kutokea Rais Dikteta mwanamke?

    Tangu kuanza kwa hii mifumo ya uongozi ya Urais, hivi pameshawahi kutokea Rais Dikteta mwanamke?
  6. Chachu Ombara

    Rais Samia: Sasa Tanzania tumeuza (Bandari), wale jirani wamekimbilia kule kufanya nini?

    Rais Samia akihutubia wakati wa uapisho wa viongozi, akizungumzia kuhusu Wizara mpya ya Mipango na Uwekezaji ameonesha namna ya kuweza kuzitambua fursa mbalimbali na kuzifanyia kazi kama nchi ili zisipotee. Akitolea mfano sakata la sasa la fursa ya uwekezaji kwenye bandari zetu amesema haya...
  7. Boss la DP World

    Mambo kama haya yanamtafsiri Rais Samia kuwa kiongozi wa gani?

    JE, RAIS SAMIA NI DIKTETA? 1. Kwanini hakemei viongozi wake wanaotoa vitisho dhidi ya watu wanaotoa maoni yao kuhusu mkataba tata wa bandari? 2. Kwanini serikali yake iliuficha mkataba huu mpaka ulipo vujishwa na mtu mtandaoni ndipo ukapelekwa bungeni? 3. Kwanini ametoa kauli kuwa ameziba...
  8. GoldDhahabu

    Naitamani "katiba dikteta" kiasi kwamba hata Amiri Jeshi Mkuu hawezi wala kuthubutu kuikanyaga

    Udikteta si mzuri. Lakini demokrasia inayotokana na katiba lege lege nayo ni hatari. Kwa kawaida, dikteta hapingwi kirahisi nchini mwake. Ni ama watu wake wampende, hata kama ni kwa unafiki, au kumwogopa kwa ajili ya usalama wao. Madikteta hawakubali kudharauliwa. Imeshatokea mara nyingi, hasa...
  9. S

    Kwa kauli hizi nashawishika kuamini kuwa sijamuelewa Rais Samia kama ni Dikteta ama Mwanademokrasia

    Kuna mambo yanayothibitisha mkanganyiko ktk kumtafsiri rais Samia. Ukimsikiliza ktk hotuba zake na matamanio yake juu ya wapi anataka kuipeleka nchi yetu rais Samia anaonekana anapenda haki na utangamano. Ukianzia namna alivyorekebisha mtanziko wa kisiasa uliokuwepo kwa kuruhusu mikutano ya...
  10. Mr Why

    Raisi anapokuwa dikteta basi huondolewa madarakani kwa nguvu

    Rejelea kifo cha maraisi wakiwemo Saadam Hussein, Gaddaf na wengineo wengi ikiwemo wa Africa kama Idd Amin na wengineo hii inadhihirisha kuwa raisi anayekandamiza demokrasia basi hung'olewa madarakani kwa lazima. Marekani haitakuwa tayari kuwaacha maraisi wenye tabia kama hizi kuendelea...
  11. chiembe

    RC Mtaka ataka wanafunzi wanaofanya makosa wafukuzwe shule

    Mtaka ni kama ana serikali yake ambayo haiendani na ya CCM na Samia, hivi mtoto unamfukuza shule ili iweje? Kwanza ni mtoto, anahitaji malezi na maangalizi. Kwa aina ya waalimu tulio nao, hivi unawapa mamlaka yote hayo? Mtaka ni moja ya members wazuri wa magrupu ya Chadema, na huwa mchangiaji...
  12. T

    Ukisikia kiongozi anaitwa Dikteta ujue amewaminyia makanjania ulaji

    Ukisikia kiongozi anaitwa Dikteta ujue ameminyia makanjanja wa nchi ulaji. Makanjanja wa nchi wanataka na wao wapate kula, wafaidi mema ya nchi hivyo humsema kiongozi dikteta kwa sababu amewaminyia ulaji. Ukisikia makanjanja wanapiga kelele sio kwa niaba ya wananchi, ni kwa niaba yao. Mfano...
  13. Mwande na Mndewa

    Watanzania walitamani kupata kiongozi Dikteta ili Mambo yaende-Zitto Kabwe

    Akiwa katika mahojiano na clouds, Zitto amekiri Watanzania walifurahi ujio wa Rais Magufuli na waliona Mambo yanakwenda, dunia hii Mungu atunusuru na makasuku, leo anaongea hili kesho anaongea Lile.
  14. Mtu Asiyejulikana

    Tanzania inahitaji Rais Dikteta mwenye Maono ili iendelee

    Demokrasi was not for African countries. Hasa hizi zetu zilizojaa Uswahili. Angalia nchi ambazo zilipata kukaliwa na waarabu. Zilizoendelea zimeendelea kwa mkono imara wa chuma not Demokrasia. Angalia nchi za Kiarabu ambazo zimeendelea, zinatawaliwa kwa sheria kali sana. Nchi hii imeharibika...
  15. Boss la DP World

    Vifurushi vya data vinapunguzwa lakini gharama inabaki palepale, kwa nini Serikali haidhibiti jambo hili?

    Moja ya mambo ambayo madikteta hawapendi ni kukosolewa, kwa miaka ya hivi karibuni mitandao ya kijamii imekuwa njia kubwa ya kukosoa mamlaka na kuleta mabadiliko katika jamii. Kipindi Rais Samia anaingia madarakani mitandao mingi ilikuwa na bei ndogo za vifurushi mfano, mimi nilikuwa nikinunua...
  16. Poppy Hatonn

    Mkutano wa TUCTA na Serikali kuhusu sintofahamu ya nyongeza ya mishahara utatujuza kama Rais Samia ni dikteta au la

    Watu wameshaanza kuwa na wasiwasi kuhusu nini litatokea iwapo Wafanyakazi watashindwa kuelewana na serikali. Yule mkubwa wa Tucta ameshasema kuna mambo yanahitaji ufafanuzi na wanataka kutajadili na serikali. Sijui jambo gani litatokea. Wafanyakazi watakuwa wazalendo na kusema"hewallah" kila...
  17. safuher

    Namna ya kuishi na kiongozi(bosi wako)akiwa dikteta

    Wengi hupitia nyakati ngumu endapo wakiongozwa na viongozi ama mabosi madikteta. Zifuatazo ni mbinu unazoweza kutumia ili usidhurike au dikteta asikuone unampinga. 1. Usifanye jambo ambalo pongezi zitaenda kwako badala ya kwake, hata kama umefanya wewe jambo zuri linasibishe kwamba yeye ndio...
  18. Stroke

    Lissu ni Dikteta, anamshawishi Rais Samia kutozingatia Utawala Bora na kuingilia Mihimili mingine

    Lissu ni Dikteta kwa kuwa anamshawishi Rais Samia kutozingatia utawala bora na kuingilia mihimili mingine. Lissu anataka Samia avunje Ibara ya 62 ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuingilia Bunge la JMT kwa kuwaondoa wabunge wanaowawakilisha wananchi tena jambo baya zaidi wabunge...
  19. Suzy Elias

    Viashiria: Huenda Rais Samia atakuwa dikteta kuliko Hayati Magufuli

    Ukweli ni kwamba Rais Samia anaupenda u Rais na hayupo tayari kabisa kuuachia na kwa gharama yeyote inaonekana yu-radhi kuupambania kwa namna yeyote ile. Samia hataki kabisa kuona yeyote yule akionyesha dalili za kutaka uongozi huko mbele katika anga lake. Samia ni muumini wa kupambwa kuliko...
  20. sky soldier

    Mtoto wa shangazi ana kiburi kwenye kufata sheria zangu nyumbani kwangu, nitatue vipi?

    Nyumbani kwangu ikifika wakati wa chakula cha usiku (dinner) ni lazima tule pamoja kwenye chumba kimoja, Sasa kuna mtoto wa shangazi ni kama miaka 20 hivi hapendi kufata sheria ya mda wa dinner. Sheria ya muda wa mlo wa usiku ni kwamba simu hazitakiwi kutumika, simu inabidi ziachww vyumbani...
Back
Top Bottom