wakosoaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kiliba: Wanaharakati na wakosoaji tajeni pia mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais Samia

    Mwenyekiti wa Kampeni ya Kitaifa ya Mama Asemewe Bw. Geofrey Kiliba, amewataka wanaharakati na wakosoaji wa Serikali kuwa na usawa wanapotoa tathmini ya utendaji wa Serikali ya awamu ya sita kwa kutaja pia mafanikio yaliyopatikana chini ya uongozi wa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan. Soma Pia...
  2. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Jumuiya ya wanafunzi CHADEMA: Ripoti ya CAG, imeonesha madudu yaliyopitishwa na wasomi, waliyakubali bila kuangalia athari

    Jumuiya ya wanafunzi wa Chadema (CHASO) kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, imewajia juu wasomi nchini kwa kile walichokiita "uchawa wa wasomi," wakidai kuwa hali hiyo inaliangamiza taifa. Akizungumza kwa niaba ya jumuiya hiyo, msemaji wao ameeleza kuwa wasomi wengi wameacha weledi na kugeuka...
  3. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Uzuri ni kwamba namba wote tunaisoma. Wakosoaji wa serikali waimba mapambio na kusifu na kuabudu serikali wote tuko kapu moja.

    Uzuri ni kwamba sukari ikipanda bei haichagui wewe ni mwimbaji mzuri wa mapambio au ni mkosoaji wa serikali namba inasomeka maumivu yako palepale. Ukienda kituo cha mafuta kuweka mafuta kwenye gari. wote tunaugulia maumivu kwenye bei ya mafuta haichagui wewe unasifia serikali au ni mkosoaji wa...
  4. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda: Watawala wakubwa wanajihisi wao ni WATAKATIFU, Wananchi na wakosoaji ndio tatizo

    Sheikh Ponda Issa Ponda akizungumza na Wanahabari, Kinondoni Jijini Dar es Salaam, Mei 6, 2026. https://www.youtube.com/watch?v=1fog9mpal5Q UTANGULIZI Baada ya Tume ya Jaji Mohamed Othman Chande, kukabidhi vitabu vya ripoti yake kwa Rais Samia Suluhu Hassan tarehe 23 April, 2026 Ikulu ya Dar...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Tusipinge kukosoana kwa kuwakosoa wanaokosoa. Tusiwateke, kuwatesa wala kuwaua wakosoaji. Tuteke fikra zao

    UZALENDO SI NINI? Leo 5/2 ni siku ya kukumbuka kuzaliwa kwa chama tawala cha CCM. Kina rekodi nchini na barani Afrika lakini kubwa, ndicho chama kilichoasisi na kuhubiri UZALENDO katika taifa hili. Bado wanao au hawana, lakini neno UZALENDO lilikuwa ni tunu ya TANU na CCM: Havikuachana. Neno...
  6. ChekoFagia

    JamiiForums Tanzania Kipangula: Ithibati za waandishi hazikulenga wakosoaji

    Patrick Kipangula- Kaimu Mkurugenzi Mkuu Bodi ya Ithibati ya waandishi wa habari Tanzania (JAB) anasema ithibati za waandishi hazikulenga wakosoaji bali wale ambao hawakuwa na vigezo pekee.
  7. Pakome

    JamiiForums Tanzania Wakosoaji na Wapinzani kumbukeni nchi ni kama ziwa la mama zenu, mtakapoliua nanyi mtakufa pia

    Kosa kubwa la Wakosoaji na Wapinzani wanalofanya ni kujaribu kuua nchi ya Tanzania na sii kuitunza kwa kigezo cha ukosoaji Kumbukeni kuwa nchi ya Tanzania haina tofauti na ziwa la mama zenu waliowazaa Mtakapojaribu kuua ziwa la mama zenu Tanzania nanyi mtakufa pia Tanzania ndiyo nchi...
  8. G

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Wanasiasa, raia, wanaharakati, wakosoaji wanalalamikia utekaji, tukimbilie kwa nani??

    Ndani ya vipindi tofauti kwa Mwaka 2024 na 2025 tumeshuhudia ongezeko la matukio ya Watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha, kutekwa nchini Tanzania na bado kumekuwa kukiripotiwa kwa matukio kadhaa ya aina hiyo kuendelea. Hali hii inanigusa kwa kuwa inavunja misingi ya haki, uhuru wa...
  9. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Kufubaza wapinzani, wakosoaji na wanaharakati Tanganyika kumeibua kundi hatari zaidi

    Maono mafupi kimo cha mbilikimo ni jambo hatari sana.. Maono ya kuona mwisho wa macho yako ambayo ni sawa na sekunde 15 mbele! Hakuna mmea hatari majini kama gugumaji.. Kuliangamiza hili gugu hakuhitaji nguvu bali akili kubwa muda na uwekezaji wa kueleweka.. Maana unapoliona limechomoza juu jua...
  10. Pakome

    JamiiForums Tanzania Je, wakosoaji wa Serikali ya Tanzania ni Demagogues ama Reformers?

    Je, wakosoaji wa Serikali ya Tanzania ni Demagogues au Reformers? Wakosoaji aina ya Demagogues huwa wanazungumza mabaya ya Serikali kadiri wawezavyo lakini dhamira yao kubwa ni kupata Umaarufu na nafasi za Madaraka na sio kutoa suluhisho la matatizo baada ya kupata nafasi za Madaraka Reformers...
  11. Yoda

    JamiiForums Tanzania Trump aendelea kuwatia nyavuni wakosoaji wake, John Bolton ashitakiwa kwa makosa ya ujasusi na utunzaji mbovu wa nyaraka za siri

    Balozi John Bolton aliyekuwa mshauri wa masuala ya ulinzi wa Trump kabla ya kutofautiana pakubwa na kugeuka kuwa mkosoaji mkubwa wa Trump na utawala wake ameshitakiwa kwa makosa mazitio yanayohusu ujasusi dhidi ya nchi, umilikaji na utunzaji mbovu wa nyaraka za siri za serikali.
  12. B

    JamiiForums Tanzania "Utekwaji nyara wakosoaji, si sera. Ni doa la aibu!" Mwonekano huu wa Tanzania ya leo ni kwa manufaa ya nani?

    Hii ni tahariri yenye kutuakisi tulipo: Mwonekano halisi wa Tanzania ya leo. Ukweli mchungu: "Mtanzania gani anaweza kuwa mnufaika wa Tanzania hii? "
  13. baz kaiza

    JamiiForums Tanzania Serikali inayofanya kila kitu ni kweli inaogopa wakosoaji wa kwenye mitandao

    Hii serikali awamu 6 ambayo inafanya kila kitu. Mpaka Prof Kabudi anasema Mama anafanya yale ambayo Nyerere alitamani kuyafanya Mama anajaza mikutano yake. Leo hii wanaogopa wakosoaji wa JF tena wanatumia I'd fake na kupelekea kuifungia uoga wote wa nini na tunafanya vizuri kila sehemu?
  14. tpaul

    JamiiForums Tanzania BBC yarusha habari kuhusu wakosoaji wa Serikali wanaotekwa, kupotea au kuuawa

    Katika amka na BBC leo asubuhi tarehe 03/09/2025, shirika la utangazi la BBC limejaribu kuwataja watu wanaowaua wakosoaji wa serikali, akiwemo Shadrack Chaula (Car of God) kutoka mkoa wa Mbeya aliyetekwa mwezi mmoja baada ya kunusurika kifungo cha miaka miwili kwa kosa la kuchoma picha ya Samia...
  15. Mikael Aweda

    JamiiForums Tanzania Fungia vyama vya siasa, zuia wanahabari, funga makanisa na teka wakosoaji. Ushauri huu ni wa nani na mwisho wake ni nini?

    Ninawaza mwenyewe tu. Ninatafakari peke yangu. Kwamba huu ni ushauri wa nani? Na alitarajia matokeo gani? Kwamba watanzania wote WATAKAA kimya kwa woga?? Ni kama naona dalili ya wanaotishwa kugoma kukaa kimya! Ni muda wa kujisahihisha na kurudi kwenye Mstari sahihi. Akili ya kuambiwa..... La...
  16. I

    JamiiForums Tanzania Sio kweli bodi ya ithibati imezuia watangazaji wakosoaji

    Baada ya watangazaji hawa maarufu kutosikika hewani kwenye vipindi vyao kumekuwepo maneno mengi kila mmoja akisema lake, Mtangazaji @officialzungu yeye ametoa ukweli anachokifahamu ✍️ "Nimeona wanaharakati kadhaa wanafanya UPOTOSHAJI wakisema kuwa Bodi ya Ithibati imezuia wanahabari wakosoaji...
  17. The Watchman

    JamiiForums Tanzania GE2025 Askofu Bagonza: Kiongozi siyo tu awavumilie wakosoaji na watukanaji, bali pia awazuie wanaompenda na kumtetea au kujibu hoja za wanaokosoa

    Anaandika Askofu wa Dayosisi ya Karagwe, Kalikawe Lwakalinda Bagonza kuypitia ukurasa wake wa Facebbok ==== Uimara wa nchi hautokani na wananchi kutokosoa wala kutotukana. Uimara na mshikamano wa taifa hutokana na wanaokosolewa au kutukanwa; kuwa na ngozi ngumu na ustahimilivu. Kiongozi siyo tu...
  18. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Tujadili kwa Umakini: Nani anateka na kwanini wanaotekwa ni wakosoaji wa utawala?

    Tujiulize kwa uzito na dhamira safi: Kwa nini matukio ya utekaji yameendelea kuwa siri nzito inayoumiza jamii, na kwa nini wahanga wakubwa ni wale tu wanaothubutu kusema wazi kuhusu mfumo wa uongozi? Hii sio coincidence—ni pattern ya hatari. Kama taifa, hatuwezi kuendelea kufumba macho huku...
  19. Prof_Adventure_guide

    JamiiForums Tanzania Je, Viongozi Wetu Wana Tatizo la Malignant Narcissism? Tafakari ya Kisaikolojia kwa Wanaokandamiza Wakosoaji

    Mpaka sasa, mwenendo wa baadhi ya viongozi wetu unaashiria kuwepo kwa tatizo la kina la kisaikolojia ambalo linahitaji kuchambuliwa si kwa mihemko, bali kwa misingi ya kitaalamu ya clinical psychology na political behavior analysis. Kitendo cha kuwatishia, kuwakamata au hata kuwapoteza raia kwa...
  20. Parabolic

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Tausi Likokola: Serikali iwajibike kutoa majibu kuhusu matukio ya utekaji na watu wanaopotea hasa wale wanaoikosoa

    Mwanamitindo wa Tanzania anayeishi nchini Marekani, Tausi Likokola ametoa ujumbe mitandaoni akiitaka Serikali kuwajibika kutoa majibu kuhusu matukio ya utekaji na watu wanaopotea hasa wale wanaokosoa Serikali. Sikiliza video yake hapo chini
Back
Top Bottom