msimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Fbn

    JamiiForums Tanzania Msimu wa sikukuu wafuatao ndio muda wao sasa

    Msimu wa sikukuu ndio kipindi cha watu kupata mapato mengi ukilinganisha na miezi mingine. 1 Huduma za Usafiri na sheli. 2. Masokoni, minadani, maduka makubwa na wauza nguo. 3. Wauza vileo, kumbi za starehe, Wasanii(Hapana wafanye kazi kwanza) na wauzaji wa vyakula vizuri. Kama hujatunza Pesa...
  2. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania PostGE2025 Chalamila: Nimeona watu wanaenda mikoani,huu ni msimu wa sikukuu

    Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila, amesema kuwa watu wanaosafiri kwenda mikoani ni jambo la kawaida linalotokea kila mwaka, na si kitu cha kushangaza au kuhusishwa na sababu nyingine. “Naomba niwaambie kitu kimoja: kama kweli kuna adui, atakuwa amefanikiwa endapo atagundua kuwa...
  3. Brightburn

    JamiiForums Tanzania Ofa ya X-Banners msimu wa Christmas

    OFA ya msimu wa Christmas, jipatie X BANNER kutoka HAMIA DIGITAL utangaze biashara yako kisasa zaidi na kwa bei poa. Bango la X BANNER ni rahisi sana kuhamishika, ni kama unavyofungua na kufunga Mwavuli. ⚠️ BEI YA OFA ⚠️ 1PC: Tsh 80,000 2PCs: Tsh 75,000 / PC +3PCs: Tsh 70,000 / PC Size: 80cm x...
  4. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Leo inabidi wazungu walinde kwa silaha maduka ya msimu wa Christmas kuhofia radicals wa itikadi kali

  5. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Arsenal kusitisha uhusiano wake na 'Visit Rwanda' mwishoni mwa msimu wa 2026

    Baada ya miaka nane ya nembo ya Visit Rwanda kupamba bega la jezi za Arsenal, klabu hiyo litangaza kuwa itasitisha mkataba wa udhamini na Visit Rwanda ifikapo mwezi Juni 2026. Hata hivyo, ushirikiano huu haukupita bila changamoto. Makundi ya haki za binadamu yalieleza wasiwasi kuhusu kuhusishwa...
  6. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Sergio Busquets atangaza kustafu soka mwishoni mwa msimu

    Hatimae kiungo bora mkabaji wa muda wote, Segio Busquets ametangaza kustaafu soka kufikia mwisho wa msimu. Busquets ambaye huwa anacheza kiungo mkabaji, amefikia uamuzi huo katika umri wa miaka 37. Ni mshindi wa Kombe la Dunia la mwaka 2010 akiwa na Timu ya Taifa ya Spain katika fainali...
  7. Stability

    JamiiForums Tanzania Kati ya minara na parachute unapendelea yapi zaidi?

    Eti mabaharia😜
  8. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Maajabu ya soka la TFF, Msimu mpya unaanza tuzo za msimu uliopita hazijatolewa

    Kipindi cha nyuma tuzo zilikuwa zikitolewa kwa wakati, ila kuna kiongozi akasogeza mbele utaratibu wa tuzo kwa kigezo cha kuboresha, sasa unajiuliza huyo kiongozi alikuwa. Anafahamu sababu zilizosababisha tuzo hizo kutolewa mapema? Aliweka katika consideration na alitazama mbele kwamba kwa...
  9. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania Baada ya kufungiwa Jamii Forums, ni wazi msimu huu wa ligi unaenda kupooza

    Huu msimu wa mpira unaenda kupooza kama uji wa mgonjwa. Yanga walishalijua hili ndiyo maana mambo mengi wanafanya ya hovyo bila kujali, kuanzia usajili usio na tija, jezi na hata ile milioni 100. Unaweza kudhani naongea kishabiki ila nina maana yangu kuitaja Yanga katika hili. Ni wazi Simba...
  10. fimboyaukwaju

    JamiiForums Tanzania Vidosho msimu wa kampeni

    Miaka ya nyuma muda wa kampeni ukifika kwangu ndio ulikuwa muda mzuri mno wa kula vidosho wa kila namna. Nilikuwa nasafiri na misafara ya wagombea ubunge sehemu mbalimbali na ifikapo usiku,aiseee vidosho unachagua unataka ule yupi. Nilikuwa na gari moja hivi niliyopewa na kaka yangu na...
  11. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Cadillac kuingia Formula 1 GP kuanzia msimu ujao wa 2026. Kwa kuanza, watatumia engine za Ferrari.

    Wazee, kuna hii habari nzuri kwa wapenzi wa Formula 1. Tumezoea kuona team 10 kwenye F1 Grand Prix, ila kuanzia mwakani 2026 zitakua 11 ikiongezeka ya Cadillac, ilio chini ya General Motors (GM), Ila watatumia power unit na gearbox kutoka kwa Ferrari. Habari nzuri haijaishia hapa, ila ni...
  12. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Responded Mwenye taarifa ni lini bodi ya ligi na TFF watatoa tuzo za msimu wa 2024/2025

    Kwa kawaida, Bodi ya Ligi na Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) wamekuwa wakitoa tuzo za msimu mara baada ya ligi kumalizika, lakini safari hii mambo yamekuwa kimya. Mashabiki na wadau wengi wanahoji ni lini hafla hiyo muhimu itafanyika kwa msimu wa 2024/2025.
  13. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Jezi za Young Africans kwaajili ya msimu ujao wa 2025-26.

    𝐇𝐎𝐌𝐄 𝐊𝐈𝐓 𝟐𝟎𝟐𝟓/𝟐𝟔. 🔰 𝐀𝐖𝐀𝐘 𝐊𝐈𝐓 𝟐𝟎𝟐𝟓/𝟐𝟔 🔰 𝐓𝐇𝐈𝐑𝐃 𝐊𝐈𝐓 𝟐𝟎𝟐𝟓/𝟐𝟔 🔰 𝐌𝐓𝐎𝐊𝐎 𝐖𝐀 𝐊𝐈𝐌𝐀𝐓𝐀𝐈𝐅𝐀 𝐔𝐌𝐄𝐅𝐈𝐊𝐀 🤩Sogea hapa Makao Makuu ya klabu yetu Jangwani upate mtoko wako Mwananchi🔰.#timuyawananchi #daimambelenyumamwiko Kwa elfu 45 tu mwananchi 💚💛
  14. Franky Samuel

    JamiiForums Tanzania JEZI MPYA YA YANGA KUELEKEA MSIMU WA 25/26 MWANANCHI UMEIONAJE JEZI HII ?

    Huyu ni mbunifu mpya baada ya sheria ngowi kutemana na yanga vipi hapo amepatia au tuendelee kumpa muda
  15. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Timu ya wananchi Yanga rasmi imetambulisha jezi zao za msimu ujao 2025-2026

    Unazipa asilimia ngapi jezi za wananchi?
  16. Southern Highland

    JamiiForums Tanzania Natabiri huu utakua msimu mbaya sana kwa timu yangu Yanga SC

    Kwanza kabisa nikiri wazi mimi ni shabiki mkereketwa na kindakindaki wa Yanga Africa. Mwenendo wa klabu yangu umekua bora sana kwa misimu minne mfululizo ikitupa burudani ya soka ambayo haihitaji maneno mengi kusimulia. Lakini kitendo cha hivi karibuni kiongozi wa juu (RIASI) wa Yanga kwenye...
  17. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kwani Clatous Chota Chama Yanga SC wamekukosea nini ndani ya Msimu Mmoja tu nao hadi kila Siku uwe Unawananga na kuwashusha Thamani?

    Kiungo mshambuliaji wa zamani wa Young Africans Sports Club Clatous Chama, ameibuka na kudai kuwa hakuna mchezaji ambaye hatamani kuichezea klabu ya Simba SC, kutokana na ukubwa na ushawishi wa klabu hiyo ndani na nje ya Tanzania. Chama ambaye kwa sasa ni mchezaji huru baada ya kuachana na...
  18. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Huu ni utabiri wangu wa EPL msimu huu wako ni upi?

    BINGWA: liverpool MFUNGAJI BORA: halaand GK BORA: donnaruma YOUNG PLAYER OF THE YEAR: sesko MCHEZAJI BORA WA MWAKA: palmer TOP SIX: liverpool Man city Arsenal Man Utd Chelsea Tottenham
  19. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Hakika mafanikio hayaji bila maandalizi, Tazama video hii kisha utajua kwanini kuna timu kila mwisho wa msimu huambulia kombe la ranking

    Mafanikio = Serious Commitment ✅ Kujituma kwa moyo ✅ Njaa na kiu + hasira ✅
  20. C

    JamiiForums Tanzania USAJILI MPYA MAN U MSIMU 2025-2026.

    Picha inajieleza. Uzi tayari.
Back
Top Bottom