Kauli za Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Simiyu, Shamsa Mohammed kuhusu uwezo wake wa kifedha pamoja na nafasi ya viongozi wastaafu ndani ya chama zimeibua mjadala miongoni mwa wanachama wa CCM na wadau wa siasa.
Katika video inayosambaa mitandaoni, Shamsa alizungumza kuhusu uchaguzi ujao wa ndani wa...
Wakuu kwema?
Kama wewe ni mtumiaji wa mitandao hapa nchini, basi huna budi kutenga dakika 5 kusikiliza au kusoma uchambuzi wa hotuba ya hivi karibuni ya Pavel Durov (Mwanzilishi na CEO wa Telegram) kwenye mkutano wa Oslo Freedom Forum
https://youtu.be/1Yq_5aDdJ24
Durov ametoa hotuba ya...
Baada ya BBC kutembelea viwanda vya magari ya umeme Beijing na Hefei kisha ikatembelea Beijing Auto Show 2026, maonyesho makubwa zaidi ya magari duniani:
"China imepiga hatua kubwa ya kiteknolojia, ubunifu, ufanisi na kasi ya maendeleo inayovutia na kutisha kwa wakati mmoja. Kiasi kwamba hata...
Yote mnayoyaona na kuyasikia, msingi wake mkuu ni kama nilivyoeleza katika kichwa cha habari cha uzi huu.
Wamechafuka na kukataliwa ndani na nje ya nchi na kwa akili zao, CHADEMA ndio wamewaponza, wanasahau ni ulevi wa madaraka na kupuuza madai ya msingi ya wananchi ndio umewafikisha hapo...
Hamjambo Wote!
1. Kuna wanaume wenye upeo Mdogo Sana. Ndio wale wanaotajwa wamezidiwa akili na wanawake. Ndio maana mambo madogo kama haya wanashindwa kuyaelewa.
2. Wanaume wote ambao uliwahi kuwaona hawababaishwi na Mapenzi wanatabia zinazofanana. Mojawapo ni kujua kuwatumia wanawake...
Akizungumza na wananchi wa Ikungi mkoani Singida, katika mkutano unaofanyika Kata ya Puma leo Januari 22, 2026, Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM, Kenani Kihongosi, amesema kuwa Chama cha mapinduzi ni chama kikubwa hakiwezi kushindana na vyama vidogo ambavyo wanavilea akitaja...
Naziona juhudi za CCM kupambana na watu wanaotumia mitandao ya kijamii kukikosoa chama hicho.
China nchi ambayo CCM wanajibaraguza kuwa wanafuata mfano wake, hawazimi mitandao bali huwapa wachina mbadala wa kile wanachozuia wasitumie.
Sasa CCM wanazima TikTok, Whatsapp, YouTube na Twitter bila...
Kwema wakuu? December iliyokua inasubiriwa imefika. Toyota wamefanya yao.
Kupitia department yao ya Gazoo Racing, Toyota wamezindua Supercar yao ya kwanza, wanayoiita GR GT, ambayo ni street-legal racing car. Hii supercar itapambana na magari ya kifahari kama Ferrari, Porsche, nk.
GR GT ni 2...
Ni dhana inayoaminika kuwa, kama ukitaka suluhu ya kweli na ya kudumu kwa matatizo yako basi ujiepushe na kutafuta majubu rahisi kwa maswali magumu.
Kuelekea Oktoba 29, kundi linalohamasisha maandamano linauza hoja kuwa mtesi wa wapinzani tangu 1992 tuingie kwenye vyama vingi ni CCM. Wakati huo...
Mwaka 1992 uliandikwa kama mwaka wa mabadiliko makubwa katika historia ya kisiasa ya Tanzania. Baada ya miaka mingi ya mfumo wa chama kimoja uliotawaliwa na TANU kisha CCM, shinikizo la kisiasa na kiuchumi lilianza kujenga msukumo mpya. Wanazuoni wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, waandishi wa...
Huu ni misimamo wangu siungi mkono maandamano
Kwa hili nitaungana na serikali kwasababu huwezi shindana na Dola na pia ukishindana nayo wengi mtakuwa vilema na marehemu.
Nashauri swala la maandamano lifuteni
Hilo halipo na Mimi nitakuwa upande wa Dola.
Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Joelson Mpina ameshidnda kesi yake dhidi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Tume Huru ya Uchaguzi baada ya kuzuiliwa kurejesha Fomu za kuomba kuteuliwa kuwa Mgombea Urais Kupitia chama hicho.
Kesi...
CCM sio Chama cha siasa Ila ni Serikali, hivyo kushindana na CCM unahitaji akili Sana .
Na sio hivi kama wanavyofanya hawa vijana akina Lissu na wengineo.
Binafsi watu ambao hawaulewi ukweli nawapa pole.
Hata hapa JF tumejificha kwa I'd fake lengo ni kuikwepa Serikali.
Habari wadau.
Mashindano ya chan yanaendelea. Ila uhalisia yanachosha wachezaji wazuri na tegemezi wa club zetu.
Mamelodi sundowns, orlando pirates, kaizer chiefs zimegoma kuleta majembe yao ya first eleven kuwemo kwenye kikosi cha south africa. mfano majembe yote ya mamelodi tunayoyajua...
Video hii ya Mbunge wa Nzega Vijijini Dkt Hamisi Andrea Kigwangalla akichangia Bungeni Juni 18, 2025 aliweka wazi kwa yeyote ambaye atakuwa tayari kushindana nae kwenye Jimbo la Nzega vijijini basi akachukue fomu yeye yuko tayari.
Huyu Ndugu Byabato , anavyosema anaweka Mbunge anayemtaka anakuwa anamaanisha nini?
Je ikiwa yeye hakuwa Mgombea alipata kiburi wapi cha kusema Mimi "Naweka Mbunge ninayemtaka"
Naomba Ccm Kagera na Ccm TAIFA wafatilie hili Swala .
Kwa wale waliofatilia MR robot
Mtakuwa sio wageni kuhusu mambo ya utawala na ushenzi wa dunia ulivyo kwa watawala.
Sasa amekuja na sinema ambayo kumbe serikali kuna ponjoro wengi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.