bei ya jumla

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mayova

    Natafuta wanapouza simu ndogo (viswaswadu) kwa bei ya jumla

    Wazee mambo vip? Naomba mwenye kujua maeneo ambayo dar wanauza viswaswadu (simu ndogo) kwa bei ya jumla. Natanguliza shukrani
  2. Mtumishitu

    Unaweza kufanya biashara ya dagaa na ukatoboa

    BIASHARA YA CHAKULA HAIJAWAHI KUTUPA MTU AKIVUMILIA. Habari wanajamii, narudi tena. Bei ya dagaa imepungua maana giza limeanza na uvuvi kuendelea kama ilivyo kawaida. Bei zilizopo muda huu. Japo huwa mabadiliko yapo kutokana na uvuvi ukiwa mzuri au mbaya. Dagaa wa nyasi (wasio na mchanga)...
  3. Mtumishitu

    Dagaa Tunduma bei ya jumla pitia hapa

    Habari ndugu zangu. Nadhani kila mmoja wetu yupo hai kwa anae soma hapa. Kama kawaida mr .waziri nazidi kuwarahisishia wateja wangu kupata mzigo wa dagaa kutoka ziwa victoria kwa wale waliopo mikoani. KWA WALE WALIOPO TUNDUMA SONGWE. Leo mzigo wa dagaa aina ya full mzigo umefika nenda kachukue...
  4. Q

    Nauza mifuko ya Cement kwa bei nafuu sana - 15,000

    Habarini wadau. Nauza cement grade 42.5 kampuni ya Camel kwa bei ya 15,000 kwa mfuko. Eneo ni Tabata Saanene. Bei ni nafuu kwa kuwa ninafunga biashara. Imebaki mifuko 200 tu. Wahini sasa. Risiti ya EFD ipo. Kwa mawasiliano zaidi, piga namba 0687320462.
  5. ENICK

    Nauza ndoo za lita 20 nzito nyeupe transparent

    Nauza ndoo za lita 20 nzito nyeupe transparent bei ya jumla 0768686677.
  6. stan john

    Nahitaji maharage ya njano kilo 100 nipo dar mabibo kwa bei ya jumla

    Hellow habari nahitaji anayeuza maharage ya jano mazuri ya jumla jumla anicheki kupitia 0788768480,ni vizuri kama hutatokea mikoa jirani kama Morogoro na Mbeya itakuwa poa sana napatikana dar es salaam
  7. Nakadori

    Machimbo mazuri ya kupata bidhaa mbalimbali Kariakoo kwa bei nafuu

    Wapendwa week end inaendaje? Wanasema kizuri kula na mwenzako....na nomeona niwashirikishe fursa hii adimu hasa kwa wale wanaofika kariakoo na kujikuta wanauziwa bei ghali kuliko hata huku mtaani... [emoji117][emoji117][emoji117] SOMA HAPO UKIPENDA SAWA USIPOPENDA PITA KIMYA Ngoja nikupe...
  8. Salahan

    INAUZWA Mabegi, Mikoba na Pochi ndogo nainai chambuu bei ya katoni

    Habari wanajamii Baada ya kuja na wazo la kuwaagizia watu bidhaa China kufeli Kisha wazo wa kuwauzia Yuan za china na kuwasaidia manunu pia kufeli Nimeona Sijaandikiwa kusaidia watu bali ichi ninachokifahamu ni tunu yafaa nitumie kujinufaisha na familia yangu tu. Ndio nimeamua kuagiza...
  9. B

    INAUZWA Nauza Hard disk(HDD) za laptop kwa bei ya jumla

    Hard disk za laptop mpya 500 GB = 45,000 tsh Ukihitaji kuanzia mbili bei inapungua kwa mawasiliano zaidi 0621 089 762 tupo dar es salaam
  10. DavidHard

    Naomba ushauri kuhusu biashara ya kuuza simu kwa bei ya jumla

    Nataka kuanza hii biashara ya kuuza simu za jumla. Hasa ndogo ndogo. Tafadhali Mwenye kujua abc zake anisaidie. Mwenye contact aliwahi kufanya. Ama anayefanya hii biashara. Minimum unaweza anza na msingi kiasi gani, unatakiwa kuanza kwa kununua pieces ngapi. Naombeni mawazo wadau
  11. MASTERCHIEF 255

    Computer4Sale Bei za Laptop Moja kwa Moja kutoka Dubai 🇦🇪(AGIZA SASA)

    Haya sasa ushindwe wewe tu kumiliki Laptop kali na ya kisasa huku bei ikiwa ya mserereko Kama utaagiza utumie sawaa Kama utaagiza uuze sawaa Bei rafiki sana kwa Laptop ukiagiza moja kwa moja kutoka Dubai 🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪🇦🇪 HP ELITEBOOK 840 Core i7 RAM 8 GB SSD 256GB 470,000 TU HII HAPA...
  12. Mayova

    Chimbo zuri la simu za biashara na vifaa vya umeme kwa bei nafuu kwa bei ya jumla

    Habari wenyeji na wataalam wa biashara. — Naomba kujua kama kuna mtu mzoefu na anaye jua chimbo zuri la simu na vifaa vya umeme kwa bei ya jumla
  13. M

    Miamvuli kwa bei ya jumla

    Habari ya humu wadau? Nauliza mtu anayejua sehemu wanauza MIAMVULI KWA bei ya jumla Dar
  14. matheiavelini

    Korosho bei ya jumla

    Unawapa kitafunwa gani wageni wako? Wateja wako wanafahamu kwamba, korosho ni kitafunwa pendwa zaidi? Una nafasi ya kuzipata leo kwa bei ya jumla, zimeandaliwa vizuri kurudisha kumbukumbu. Bei ya Jumla; Ikg =21000/ Nusu kg=11500/ Robo kg=7000/ 100g =3000/ Agiza leo nikuletee mpaka...
  15. Amiry outfitstore

    INAUZWA Nauza handbags na viatu vya kike bei ya jumla na rejareja

    Ndugu zangu wana JF karibu amiry outfitstores tunauza viatu na handbags za kike kwa bei ya jumla na rejareja..tupo kariakoo mtaa wa agrey na msimbaz ..jengo la CANAAN COMPLEX..karibun sana kwa mawasiliano ni 0626817740..naomben support yenu wana JF ..asanten sana
  16. Amiry outfitstore

    Tunauza handbags za kike kwa bei ya jumla na rejareja

    Hello wana JF, Karibuni ofisini kwetu kariakoo mtaa wa agrey na msimbazi jengo la canaan complex ujipatie handbags nzuri na za kisasa wa wadada na wamama kwa bei ya jumla na rejareja. Kwa mawasiliano ni 0626817740 Karibuni sana wana JF naomben sana support yenu
  17. Koffi Annan

    Natafuta mtu atakayenipunguzia mzigo wa filamu kwa bei ya jumla

    Kijana wenu hapa nafungua movie library ya kisasa, kudownload movie zote itakua time consuming, mwenye ana collection ya movie kali zote za 2020 to 2022 aliyepo mwanza tunaweza punguziana nikakupa ela kidogo ya wi fi.
  18. S

    Tunauza Sabuni za Magadi kutoka Kigoma, kwa bei ya jumla na rejareja

    Tunauza sabuni za magadi kutoka Kigoma kwa bei ya jumla na rejareja. Tsh 29,000 Ukichukua carton zaidi ya 25 ni, na Tsh 30,000 kwa carton 1-25. Tunapatikana Kinyerezi Mwisho, Dar es Salaam. Tunafanya delivery ndani na nje ya Dar es Salaam. Unapochukua carton 100 au zaidi utaletewa sabuni...
  19. H

    Nauza raba za mtumba bei ya jumla (10,000)

    Habarini! Natumaini wote tuko salama kwa neema ya Mungu. Karibuni kuniungisha raba za mtumba kwa bei ya jumla, nipo Kinondoni Studio, barabara ya kwenda Mwananyamala opposite na Akiba Commercial bank Simu: 0759891571 WhatsApp: WhatsApp Location on Google Map: Jessi Brands · 35 Mwinyijuma Rd...
Back
Top Bottom