An arsenal is a place where arms and ammunition are made, maintained and repaired, stored, or issued, in any combination, whether privately or publicly owned. Arsenal and armoury (British English) or armory (American English) are mostly regarded as synonyms, although subtle differences in usage exist.
A sub-armory is a place of temporary storage or carrying of weapons and ammunition, such as any temporary post or patrol vehicle that is only operational in certain times of the day.
Arsenal, Manchester City na Al-Hilal zinamvizia winga wa Chelsea, Pedro Neto, na zinaweza kuwasilisha ofa kwa mchezaji huyo wa kimataifa wa Ureno mwenye umri wa miaka 26 katika dirisha la usajili la Januari.
Chelsea inataka kukamilisha usajili wa kiungo wa Bournemouth, Alex Scott, mapema, huku...
Zikisalia siku tatu kabla ya dirisha la usajili kufungwa rasmi, Arsenal hawajakata tamaa katika harakati zao za kumsajili mshambuliaji wa Argentina Julian Alvarez, 26, ambaye inadaiwa anataka kuondoka Atletico Madrid. (Mail).
Manchester City wanamfuatilia kiungo mshambuliaji wa Everton Iliman...
Ligi Kuu England (Premier League) 2026/27 inaanza rasmi leo, Ijumaa Agosti 21, huku mabingwa watetezi Arsenal wakifungua msimu dhidi ya Coventry City kwenye Uwanja wa Emirates.
Mchezo huo unatarajiwa kufungua msimu wenye ushindani mkubwa, huku Arsenal ikilenga kutetea taji lake dhidi ya...
Uhasama wa mashabiki wa Manchester United na Arsenal nchini Kenya umechukua sura nyingine baada ya mashabiki wa Manchester United kuibuka washindi wa 5–4 kwa mikwaju ya penalti dhidi ya Arsenal katika pambano lililofanyika jana katika Uwanja wa Nyayo.
Mchezo huo ulijaa ushindani mkali huku...
Hakuna pigo linaloweza kumvunja mwanamume vipande vipande kama kujitoa kwa 100% kwa mwanamke unayemwamini na kumpenda, halafu mwisho wa siku anakunyima hata sehemu ya kulala kwenye nyumba uliyoijenga kwa jasho lako mwenyewe.
Hiki ni kisa cha kweli cha aliyekuwa mchezaji wa timu ya taifa ya...
"Kama goli hilo la Ujerumani limekataliwa na VAR, basi Arsenal isingetakiwa kutwaa ubingwa wa England (Premier League). Asilimia 60 ya magoli waliyofunga yalikuwa ya aina hiyo.”
Juni 30, 2026
Jurgen Klopp
'A joke' - how a 'terrible' VAR disallowed goal cost Germany
Germany thought their...
Kiungo fundi bwana mdogo wa miaka 18, Ayyoub Bouaddi, amezitikisa hisia za mashabiki wa soka ulimwenguni kufuatia kiwango bora cha kipekee alichokionesha kwenye mchezo wake wa kwanza wa Kombe la Dunia (World Cup debut) dhidi ya miamba ya soka, Brazil katika mchezo uliomalizika kwa sare ya 1–1...
Mei 30, 2026, Arsenal ilipoteza fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Paris Saint-Germain (PSG) Kwenye Uwanja wa Puskás Aréna Jijini Budapest nchini Hungary.
Ilipoteza kwa matuta 4-3 baada ya sare ya goli 1-1 katika muda wa kawaida, kipigo hicho kilikuwa cha tano katika fainali 5 ambazo...
Mkataba wa Rwanda Development Board (RDB) na Arsenal umeisha msimu huu wa EPL (2025/26)! Kwahiyo jersey za Arsenal hazitakua na Visit Rwanda mkononi tena.
Jimbo liko wazi, Waziri wa Michezo na board yake, fanyeni mtangaze vivutio vyetu.
#COYG
Baada ya rejea mbalimbali za matukio ikiwemo penati,faulo na kadi nyekundu katika ligi kuu ya uingereza msimu wa 2025/26.
Imebainika kwamba Manchester city walitakiwa kuongoza ligi kwa pointi mbili akifuatiwa na arsenal kabla ya mechi ya mwisho .
Matukio mawili muhimu:
1.Dalot alitakiwa kupewa...
Mfalme wa safu ya kiungo ya PSG. Ndiye pekee kati ya viungo watatu wa kwanza wa PSG aliyedumu dakika zote 120.
Na katika muda wa nyongeza, alikuwa tishio kubwa zaidi la PSG katika mashambulizi. Ana ustadi mkubwa wa kugusa na kumiliki mpira, nguvu katika mapambano ya ana kwa ana, uwezo wa...
Arsenal akishinda nipewe ban ya siku 3, nimechoka kelele zao😵💫'
Aloooo hawa watu wana keleleee sanaaaaaaà, unawanaonea huruma wana miaka ya mtu mzima bila kombe ila wakishinda hatunywi maji!
PSG nao wana kiu ya kushinda na usongo wa kupata ushindi kwa mara ya pili, mechi otakuwa motooo, ila...
Hivi kweli Arsenal F.C. hawaogopi? 😅
Hii si ile PSG ya Lionel Messi, Neymar na vibes za Paris nights, hii ya sasa ni tofauti kabisa. Hakuna show nyingi, hakuna kutembea uwanjani. Hawa wanakaba kama wamekosewa hela 😭
Arsenal wana mpira mzuri, lakini PSG ya sasa ina njaa ya ubingwa kuliko likes...
Wakuu baada ya kuona wenzetu wa Kenya Uganda Ethiopia na kwingineko Duniani wakifurahia ubingwa WA timu pendwa ya Arsenal na hapa Dar nilipanga niende viwanja vya posta lakin baada ya kuona wameingiza siasa na kuweka mgeni rasmi siwezi kwenda tena kama kuna chimbo jingine naomba nielekezwe...
Kuelekea juma tatu ambapo, parade Lita happen uingereza jijini London tayari losha Anza kizungushwa nchi tofauti, ambapo limepita Kenya na litaendelea kwingineko sidhani kama bongo litakuja.
Jamaa yangu Mmoja kanijuza wakenya wana connection kubwa hapa duniani na ndo mana hawakuhitaji...
Arsenal Bingwa.
Salam wakuu,
Hatimaye baada ya miaka 22, Tumeona tena jua, nani ajuaye, huenda tukaleta Emirates UEFA trophy hapo Jmos.
Sasa niambieni wapi panauzwa jezi OG za team za mbele kwa hapa Mjini Daslam. NIKANUNUE YA ARSENAL.
Nawatakia siku njema. ARSENAL BINGWA.
Tukutane Jmos...
Baada ya Hilda Newton kumuanika Fortunus Buyobe mwamba alikuwa na wakati mgumu. Story ilikuwa juu yake kila. Kila akijaribu kujijitetea kwa kuposti risiti za AI wapi. Fortunus akatrend.
Hatimaye Mungu akamsikia ilipofika Jumanne Arsenal kutwaa ubingwa baada ya City kudraw na Bournemouth watu...
Arsenal Bwana, Acha tufurahie tu ubingwa…..
Nakumbuka mwaka 2012 ilikua siku ya tarehe 28/8.
Nikiwa kidato cha tano Rungwe sekondari, Tukuyu.
Hii siku ilianza kama siku zingine za kwaida tu kwa mwanafunzi, sababu ilikua jumapili basi baada ya kutoka ibadani watu tukawa na ratiba zetu za...
Kwenye Video hapo chini usiku wa kuamkia leo Kikosi kizima cha Arsenal kilikuwa Kwenye chumba uwanjani kwao Emirates wakifuatilia mubashara mechi kati ya City na Bournemouth.
Unaweza kumuona Martinelli akikata tamaa baada ya Haarland kusawazisha goli.
Lakini baada ya kipenga cha mwisho ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.