mwishoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sinza pazuri

    Inonga anaondoka Simba mwishoni wa msimu huu 2024

    Beki wa Simba Enoch Inonga anatarajia kuondoka Simba baada ya msimu kumalizika. Japo Inonga ana mkataba mpaka 2025 ila ameomba kuondoka na ameshaanza mazungumzo na club yake wamuachie. Pia beki wa kati Che Malone nae anataka kuondoka sababu hafurahii kuwepo Simba. Za ndani zinasema Simba...
  2. JanguKamaJangu

    Xavi kuondoka Barcelona mwishoni mwa msimu huu

    Kocha wa FC Barcelona, Xavi Hernández amesema ataondoka klabuni hapo mwishoni mwa msimu huu kutokana na matokeo mabaya ya timu hiyo aliyoanza kuinoa Novemba 2021 akitokea Al Sadd ya Qatari. Ametangaza uamuzi huo baada ya kushuhudia timu yake ikiwa nyumbani kukutana na kichapo cha magoli 5-3...
  3. JanguKamaJangu

    UN yasema Walinda Amani wote wataondoka DRC mwishoni mwa 2024

    Ujumbe wa Umoja wa Mataifa (UN) wa kulinda amani katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) ambao umesaidia katika vita dhidi ya Waasi kwa zaidi ya miaka 20, unatarajiwa kuondoka rasmi Nchini humo ifikapo Disemba 2024. "Baada ya miaka 25 ya kuwepo, MONUSCO itaondoka kabla ya mwisho wa 2024,"...
  4. N

    Benki ya Dunia imezipa mamlaka za Tanzania hadi mwishoni mwa Disemba kusuluhisha malalamiko ya ukiukwaji wa haki za kiraia

    Benki ya Dunia imezipa mamlaka za Tanzania hadi mwishoni mwa Disemba kusuluhisha malalamiko ya ukiukwaji wa haki za kiraia unaohusishwa na mradi wa maliasili wenye thamani ya dola milioni 150 ambao benki hiyo inafadhili kabla ya kuanzisha uchunguzi rasmi kuhusu suala hilo. Bodi ya Benki mnamo...
  5. Nzokanhyilu

    FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Full name: Futbol Club Barcelona Nickname(s): Barça or Blaugrana (Team) Cules or Barcelonistas (Supportes) Blaugranes or Azulgranas (Supporters) Founded: 29 November 1899 League: La Liga Website...
  6. S

    Katika jambo la ovyo na la aibu amefanya mwenyekiti wa CCM ni kumteua Makonda kuwa Katibu Mwenezi wa CCM

    Huyu rais na mwenyekiti wa CCM ni kwamba kuna watu wanamwendesha km gari bovu au ni akili yake. Km ni kuendeshwa kwanini akubali akili zake hazimtoshi? Aibu atakayoipata kumteua huyu bwana hatakaa asahau. Kwanza tukubaliane Makonda ni miongoni mwa wale binadamu wenye akili ndogo sana hapa...
  7. M

    Asante KAZE tumeiona: Kwa nini Kaze kawazuia washambuliaji wake wote kushambulia hapo mwishoni mwa mchezo?

    JIBU: Ili kuwaruhusu wachezaji wote wa Yanga washambulie bila hofu ya counter attack!! Tunaposema kilichofanyika ni "IMETHIBITISHWA" muwe mnaelewa!! Na kweli bwana wakapewa kagoli kamoja!!
  8. malisak

    Heko wana uzi wote mnaojitolea mafunzo ya kilimo yamenipa tija

    Wadau mwezi huu mwishoni Mungu akipenda navuna nyanya shambani kwangu Nimejaaliwa kulima heka 3 na zimebeba vizuri. Shamba lipo morogoro eneo la Dakawa. Ninachojivunai zaidi nimejifunzia humu humu Jamii forum kilimo hiki. Heko kwa wote ambao mmekuwa mskijitolea kutoa mafunzo mbali mbali...
  9. CAPO DELGADO

    Yanga imetikiswa na inasimama mwishoni

    Habari wakuu. Nimeona nizungumzie kidogo usajili wa Yanga unaoendelea. Nimekuwa nikifuatilia mpira kwa kiasi chake. Nimekuwa nikimsikia Jose Mourinho anaposisitiza usajili Bora ndani ya Klub ni kuhakikisha kubaki na wachezaji wako Bora zaidi kikosini. Mfano miaka ya Karibuni Simba...
  10. The Tomorrow People

    Ndege ya mizigo Boeing 767-300F ilibadilishwa jina kutoka “Hapa KaziTu" kwenda "Kazi Iendelee”

    Niende moja kwa moja! Picha za mwazo Kutoka Boeing ndege yetu ya mizigo ilikuwa na chapa ya Lake Tanganyika (Hapakazi Tu) lakini wakati wa makabidhiano inasomeka Lake Tanganyika (Kazi Iendelee). Je, tatizo ni nini?
  11. K

    Ukraine kuishiwa silaha mwishoni mwa 2023

    Katika kile kinachoonekana kama uthibitisho wa kutokuwezekana kwa nchi moja kushinda vita kwa kutegemea misaada 100% kutoka kwa nchi nyingine, Ukraine imekumbwa na uhaba mkubwa wa makombola kiasi cha kupelekea Rais mchekeshaji Volodimu zelensiki kufikiria kwenda Beijing kuonana na rais wa China...
  12. N

    Video: Manara aomba radhi kwa Waziri na kusonya mwishoni

    Episodes za sope takadini zinaendelea, ama kwa hakika ni burudani juu ya burudani,msione watu wana mafuvu jamani mengine hayajahifadhi akili, ni makasha ya kuhifadhia meno ambayo kwa bahati mbaya kwa wengine hata mswaki hayajui ni nini. Haya waziri umeombwa radhi kwa kupewa makavu siku ya...
  13. L

    Nina mpango wa kuoa mwishoni mwa mwaka huu ila...

    Nimeweka mikakati yangu ya kutaka kuoa mwaka huu mwezi wa 11 ila tangu nimeweka wazi hili suala wadada wazuri wazuri ndo kama wamefunguliwa machoni mwangu haipiti siku sijakutana na mdada mzuri na nikimsemesha tunaongea vizuri. Mawazo yanaenda kubadilika kabisa hawa wadada sijui walikua wapi...
  14. JanguKamaJangu

    Panga la wachezaji Simba linanukia mwishoni mwa msimu huu, kuna majina makubwa

    Inadaiwa kuwa uongozi wa Klabu ya Simba un mipango ya kupitisha panga kwa wachezaji wao walioonyesha kushuka kiwango mara baada ya kumalizika kwa msimu huu. Hilo limeshapangwa lakini kwa sasa wameweka wazi kuwa mawazo yao yote yapo katika kufanya vizuri kwenye michuano mbalimbali wanayoshiriki...
  15. Analogia Malenga

    #COVID19 WHO: Corona inaweza kuisha mwishoni mwa 2022

    Mkurugenzi mkuu wa Shirika la afya duniani (WHO), Tedros Adhanom Ghebreyesus amesema kwamba corona inaweza kuisha mwishoni mwa mwaka huu iwapo nchi zote duniania zitachukua hatua kabambe za kukabiliana na maambukizi. Kiongozi huyo wa WHO alilkuwa akizungumza kakitaka kikao cha 150 cha shirika...
Back
Top Bottom