msimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Huu ndio msimu wa i phone 17 kuzinduliwa

    Ni mwendo wa viuongo vya watu fulni kuchakalika kisawa sawa 😁😁 Mabaharia washanielewa. Anyway jipatie mzigo mwezi ujao, kwa wale ambao hawana uwezo baki hivyo hivyo sio lazima 😁
  2. Ponjoro wa Kinondoni

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Jezi za Yanga msimu huu Kutengenezwa na Nike

    Wadau hivi ni kweli kwamba Yanga walivunja mkataba na Sheria Ngowi baada ya makubaliano na kampuni ya Nike kutiki? Nikweli Nike ndiyo watatengeneza jezi msimu huu?
  3. UtdProfile_

    JamiiForums Tanzania Kwa huu usajili wa Simba, Azam na Yanga, tutarajie ligi yenye ushindani kwa msimu wa 2025/2026

    Kutokana na huu usajili wa hapa tz tutarajie ligi yenye ushindani kwa msimu wa 25/26??
  4. UMUGHAKA

    JamiiForums Tanzania Msimu wa 2025/2026 Azam au Simba mmoja atakuwa Bingwa

    Nsikuchoshe na Usinchoshe, Tusichoshane! Kwanini Nasema Azam au Simba mmoja wapo atakuwa Bingwa Msimu huu? 1.Kocha Fadlu Davis amekuwa kocha wa Simba huu unaelekea msimu wa pili;mazingira ya ligi Kuu tayari keshayajua,tayari kesha tambua na kufahamu kikwazo Cha yeye kutochukua Ubingwa kilikuwa...
  5. President of China

    JamiiForums Tanzania Hizi hapa ndizo jezi mpya za simba msimu huu unaoanza 2025

    Kazi kwenu wachawi toka utoporo
  6. Mstahiki Mea

    JamiiForums Tanzania Usajili wa kwanza msimu huu Simba

    Karibu Simba SC, Rushine De Reuck. Kwa taarifa zaidi tumia Simba App, Simba Mastori au Instagram Subscriptions. #NguvuMoja
  7. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Ni vita ya mabilioni! hii hapa top 4 ya EPL msimu wa 2025/26 na timu zitakazoshuka daraja

    Zikiwa zimesalia siku chache kurejea kwa ligi mbalimbali duniani, joto la soka linazidi kupanda. Mitandao inachafuka, pesa inamwagika, tambo zinatembea – lakini mwisho wa siku ni uwanjani tu ndipo ukweli utaandikwa! Huko England, usajili umekuwa wa moto wa jiwe! Kuna wanaonunua kwa bei ya...
  8. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Yanga imebadilisha makocha mara tatu na bado imetwaa vikombe vyote msimu 2024/25

    Wakati msimu unaanza, Miguel Gamondi aliendelea na kazi yake, Ila mashabiki wengi hatukufurahishwa na mwenendo wa matokeo ya ushindi mwembamba, Yanga ilikuwa inashinda lakini kwa taabu, hatimaye Tabora na Azam wakachukua alama. Tukaona isiwe kesi, ikatua mashine ya Kijerumani, pira likaguswa...
  9. Gordian Anduru

    JamiiForums Tanzania Yanga kuwa kam Pyramid ya msimu uliopita

    YANGA MSIMU HUU WA CACL huenda akaanzia hatua ya awali Msimu huu. MSIMU uliopita Orlando Pirates na Pyramid walianzia hatua ya awali lakini Orlando akafika nusu fainali na Pyramid akachukua ubingwa SIMBA huenda akaanzia round ya pili MSIMU huu MSIMU ULIOPITA PETRO de Luanda TP MAZEMBE na...
  10. Frank Wanjiru

    JamiiForums Tanzania Wilson Oruma: MO anataka 67bl zitambulike kama ni deni analoidai Simba kabla hajatoa hela za usajili msimu huu

    "Kwa taarifa zilizonazo Kutoka ndani tajiri anafanya Pressing sana huko. Anataka Kabla hajatoa Pesa ya Usajili Msimu huu Kwanza ile Bilion 67 irekodiwe na itambulike rasmi Kama ni Mkopo anaidai Simba Sports Baada ya hapo waje Kwenye Pesa ya usajili ambayo ameahidi Juzi Kwamba atafanya Usajili...
  11. S

    JamiiForums Tanzania Yanga wamebeba ubingwa mara nne mfululizo, msimu huu wamechukua makombe yote hapa Tanzania na kisha wakatufunga mechi zote, Simba hatuna Wazee

    Wazee wetu walioshiba makande wameendelea kuongeza mgogoro ndani ya timu yetu, hawaoni shida ndani ya timu yetu, wanaona kufika fainali kombe la losers ni mafanikio makubwa ndani ya timu yetu. Yanga ameshabeba ubingwa mara nne na nilivyomsikia Injinia kule Kigamboni akisema kuwa wanapanga...
  12. S

    JamiiForums Tanzania World Footballers Award 2024-25: Karibuni mchague wachezaji na kocha wenu bora wa msimu ulioisha Katika dunia ya mpira.

    Vote for your best player, youngster, goalkeeper and coach. For the 2024-25 World Footballers Award.
  13. A

    JamiiForums Tanzania KERO Barabara ya kuelekea Msumi ni mbovu sana kupelekea foleni kila kukicha

    Ni kero ya muda mrefu na inaendelea kutuumiza wakazi wa makabe kuelekea Msumi. Porojo za siasa zimekuwa nyingi huku wananchi wanateseka huku wahusika wakikaa kimya . Muda huu kuna foleni kubwa sana na njia mbovu . Mkuu wa wilaya ya Ubungo ahadi zako hazitimizi huku wananchi wanateseka
  14. Expensive life

    JamiiForums Tanzania Huyu hapa mbeba maono wa Simba SC kuelekea msimu ujao 2025/26

    Wakuu, Ngungu kama ngungu, maono ya simba sc yamebebwa na huyu mwamba, ukimuangalia tu kwa jicho la kawaida unaona kabisa ni tapeli pamoja na jopo lake lote. Nadiriki kusema, kama huyu mwamba pamoja na jopo lake hawatong’atuka simba sc, ni vilio tena. Kwanza wapinzani wao wanawamudu. Kugungwa...
  15. PLOII

    JamiiForums Tanzania Vijana muwe makini na wanaharakati wa msimu na wanasiasa maslahi mtaacha generation yenu katika hali mbaya, taifa litakufa play safe

    Salute to you all hustlers ..... Direct to the topic, Niongee na mtu ambaye kwao hamna DED, RCO, RC, NAIBU WAZIRI, WAZIRI , VICE - PRESIDENT n.k. Nimeanza Kwa kusema hivyo Kwa sababu wanaotoka kwenye familia hizo kiuhalisia hawawezi kunielewa ni sawa na wajumbe wa Chama cha Mapinduzi hawawezi...
  16. PLOII

    JamiiForums Tanzania Kuelekea msimu ujao wanasiasa mkae mbali na mpira wa Tanzania: Yanga ni wanufaika wakubwa na upepo huu wa siasa

    A matter above is concerned, Msimu huu wa NBC premier league umekuwa wa kituko Sana hasa referees wa league yetu ni shida. Moja ya matukio ya ajabu ni offside na watu kufunga hadi na mikono na wanufaika wakubwa ni Yanga na Simba. Msimu umeisha Yanga ilijipangia nani awe referee wa mchezo...
  17. MwananchiOG

    JamiiForums Tanzania Unatumia zaidi ya Bilioni 7 kufanya usajili halafu unamaliza msimu bila kikombe

    Usajili ni akili, usajili ni sayansi, Kuna timu ilishawahi kuwa na Messi, Mbappe na Neymar lakini haikupata mafanikio yoyote. Usajili unaendana na mahitaji kwa wakati maalum!
  18. M

    JamiiForums Tanzania Msimu wa ligi 2024/2025 umekwisha na kila timu imevuna ilichopanda

    Hapa Kila Mmoja kavuna alichojiandaa nacho kwa msimu mzima kama ambavyo mwekezaji na mdhamini walivyoshika Kila Mmoja alichoambulia msimu mzima👇🤣🤣🤣
  19. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Kuna Msemaji wa Timu moja namsubiri sana tuone atakavyowadanga 'Majuha' aliowazoea pale Msimu mpya wa NBC Premier League ukianza August 2025

    Na namshauri tu kama akiweza safari apige kimya na awaachie Viongozi wake ndiyo wawe Wasemaji ila siyo Yeye tena.
  20. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania GENTAMYCINE nikiulizwa nataka Simba SC iachane na Wachezaji wangapi ili ya Msimu ujao iwe Tishio nitasema wakubakia wawe 3 tu ila wengine wafukuzwe

    Camara, Mukwala na Mpanzu kwa Wageni wabaki na kwa Wenyeji abakie tu Kagoma, Tshabalala ila wengine Watemwe.
Back
Top Bottom