kupandisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Suley2019

    KERO Barabara za Mwanagati hazipitiki msimu huu wa mvua. Magari yanaharibika. Daladala zinalazimika kupandisha nauli

    Habari, Licha ya kuwepo Malalamiko ya mara kwa mara kuhusu adha ya ubovu wa barabara Maeneo ya kuanzia Juu kidogo kwa Mpalange mpaka Kituo Cha Mwisho Mwanagati lakini hakuna hatua zinachukuliwa. Soma malalamiko Hapa Barabara ya Maeneo haya imekuwa shida kubwa na haipitiki kwa urahisi kiasi...
  2. The Burning Spear

    Nini Tafasiri ya kupandisha Bendera Asubuhi na kushusha saa 12 jioni?

    GreatThinkers Naombeni nimpe muongozo. Mtu mzito akifa bendera zinapepea nusu mlingoti. Lakini katika hali ya kawaida sa12 lazima bendera zishushwe why? Ni utamaduni ama kitu gani?
  3. Kaka yake shetani

    Mnakumbuka jeuri ya pesa ya Qatar kupandisha ndege ng'ombe wa maziwa 4000 sababu Saudia ilizuia kupitisha maziwa

    Watu na pesa zao, yaani wana kitu kimoja kinacho wapa pesa lakini kimewapa zaidi ya vitu vingi duniani. Miaka ya nyuma Saudi Arabia alimuwekea vikwazo Qatar ila mwisho wa siku kapandisha ndege ng'ombe! Mwenye kisa hiki tuelezeni.
  4. sky soldier

    Makundi mapya Mapinduzi Cup baada ya Bandari FC na Ura kujitoa, Kundi la Simba umafia waziwazi, Yanga wanabebwa

    Kundi B la Simba, -JKU hadi sasa inaongoza ligi kuu ya Zanzibar na imewahi kushinda makombe ya ligi kuu -APR tangu 2020 imechukua makombe manne mfululizo ligi kuu ya Rwanda -Singida FG ni timu ya nne kwa ubora kwenye ligi kuu ya Tanzania Bara Kundi A Vital’o Azam FC Chipukizi United Mlandege...
  5. sky soldier

    Tangu zamani najua wazaramo wanapenda ngoma lakini leo ndio nimejionea ngoma zao, kupandisha majini ni ngoma ? kwa ngoma hizi nmeanza kuwaogopa !!

    Ni karibu kila mtanzania anajua sifa ya wazaramo ni kupenda ngoma ila sikuwahi kufikiria kabisa kwamba ngoma zenyewe ndio hizi. Ngoma inayopigwa hapa inaitwa dogori,
  6. Erythrocyte

    LATRA yadai kushirikisha Wananchi kabla ya kupandisha nauli

    Mkurugenzi wa LATRA amesema kwamba kabla ya kupandisha nauli za mabasi walipokea maoni ya wananchi kwanza na kuyafanyia kazi. Amesema kwamba siku ya kikao hicho Walikuwa Mubashara dunia nzima, na kwamba kila mtu aliona na wengine walishiriki na kutoa maoni yao. === “Nauli haitolewi kwa...
  7. Roving Journalist

    Katavi: Viongozi wa Elimu watakiwa kupandisha kiwango cha uandikishaji wa Wanafunzi

    Viongozi na Wadau wa Elimu Mkoa wa Katavi wametakiwa kuhakikisha kila mtoto mwenye sifa za kuanza darasa la kwanza anaandikishwa haraka ili aweze kuanza masomo Januari 2024. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Wilaya ya Mpanda, Jamila Yusuf wakati akimwakilishi Mkuu wa Mkoa wa Katavi wakati wa kikao...
  8. BARD AI

    Kenya: Serikali yashusha gharama za kuhuisha Vitambulisho vya Taifa baada ya Mahakama Kuu kuweka zuio la Kupandisha

    Wizara ya Mambo ya Ndani imetangaza kufanya mabadiliko ya gharama za kupata Hati ya Kusafiria, Kitambulisho cha Taifa, Kibali cha Kazi, Cheti cha Kuzaliwa na Kifo ikiwa ni siku chache tangu Mahakama Kuu isitishe tangazo la kupandisha gharama za huduma hizo. Kwa mujibu wa taarifa ya Wizara...
  9. Collins_Sommy

    Ni taratibu zipi zinatumika kupandisha ada katika taasisi na vyuo vikuu nchini?

    Habari za muda huu, Naomba kuuliza na kuhitaji kujua ni taratibu zipi zinatumika kupandisha ada katika taasisi na vyuo vikuu nchini. Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (TEWW) IAE main campus kilichopo bibi titi road posta jijini Dar es salaam, wamekua na utaratibu wa kushtukiza na kupandisha ada...
  10. Nyamwage

    Jinsi ya kupandisha version kwenye game la ETS 2

    Wakulu habari Kuna boya kaniwekea game kwenye PC lakini version yake ni ya zamani 1.18.1.3s nawezaje ipandisha ikawa 1.47 ya sasa au 1.48 inayotoka kesho
  11. polokwane

    Serikali badala ya kuendelea kuumiza wananchi kwa kodi na kupandisha gharama za vitu muhimu hebu punguzeni Matumizi ya hovyo Serikalini

    Nchi hii pesa zinatumika hovyo sana, swala la usimamizi wa matumizi ya fedha za serikali ni tatizo kubwa sana nchi hii. Kuna matumizi ya hovyo sana kwenye fedha za umma ndio maana inaonekana kama fedha hazitoshi na kila siku wananchi wanapandishiwa gharama za maisha. Gharama za kugharamia...
  12. Teko Modise

    DStv kupandisha vifurushi vyao kuanzia Julai Mosi mwaka huu

    Kuanzia Julai mosi mzigo wa vifurushi vya DStv kwa upande wa Tanzania ndio huu, maoni yako ni yapi?
  13. BARD AI

    Waziri Mwigulu Nchemba: Tumepokea ushauri wa kuongeza Kodi kwenye Pombe

    Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Mwigulu Nchemba amesema kuwa wizara imepokea wazo la Mbunge wa Momba, Condester Sichalwe la kuongeza kodi kwenye pombe zinazoingizwa nchini. Akitoa majibu bungeni jijini Dodoma Waziri Mwigulu amesema kuwa wizara imepokea pendekezo hilo, italiafanyia kazi na kutoa...
  14. Stephano Mgendanyi

    TAMISEMI na Wizara ya Ujenzi Kufanya Tathimini ya Kupandisha Hadhi Barabara za Mkoa wa Kilimanjaro

    TAMISEMI NA WIZARA YA UJENZI KUFANYA TATHIMINI YA KUPANDISHA HADHI BARABARA ZA MKOA WA KILIMANJARO Kama lilivyotakwa la kisheria vikao vyote vinavyokaa katika ngazi ya Wilaya na Mkoa zinafikishwa kwa Waziri Mwenye dhamana TAMISEMI na Wizara ya ujenzi zitakaa kuona ni hatua zipi ambazo...
  15. S

    SoC03 Mambo ya kuzingatia ili kupandisha uchumi wa nchi na wananchi pamoja na kupandisha thamani ya pesa ya Tanzania

    Nawasalimu Kwa jina la Muungano wa Tanzania.Ni matumaini yangu kuwa mmejibu Kazi iendelee. Katika makala hii leo napenda kuzungumzia vitu ambavyo vinafanya uchumi wa nchi kuimarika bila kusahau jinsi ambavyo thamani ya pesa yetu itakavyoweza kupanda na kuwa moja kati ya pesa zenye thamani...
  16. Artifact Collector

    Baada ya US Federal reserves kupandisha interest rate madhara yake yameanza kuonekana

    Baada ya watu kutoka lockdown iliyoshababishwa na corona kulipelekea watu kuwa na hela nyingi huku uzalishaji production ikiwa chini kilichotokea ni inflation kuwa juu karibia nchi zote dunia Marekani kama taifa lenye uchumi mkubwa waliamua kupambana na inflation kwa kupandisha interest rate...
  17. Mzalendo Uchwara

    Saudi Arabia na Washirika wa OPEC+ wakubaliana kupunguza uzalishaji Mafuta ili kulinda Soko

    Serikali ya Saudi Arabia na wazalishaji wengine wakubwa wa mafuta duniani wamepanga kupunguza uzalishaji kuanzia mwezi wa tano mwaka huu ili bei za mafuta zipande. Kama taifa hatuna budi kujipanga na kuanza kununua mafuta ya bei nafuu kutoka Urusi, exclusively. Wizara ya nishati pamoja na...
  18. Pascal Mayalla

    Kumuenzi Magufuli: Tujikumbushe 'spana' za JF zilivyomsaidia Hayati Magufuli na Taifa. Je, Samia pia tumsaidie kwa 'spana' au tumkune tu tusimpare?

    Wanabodi, Leo siku ya Machi 17 ndio siku Taifa tulipotangaziwa kifo cha Shujaa wetu JPM, hivyo katika kumkumbuka, na kumuenzi, mnaonaje tukijikumbusha baadhi ya mabandiko ambayo tulimshauri JPM na ushauri huo ukafanyiwa kazi, kwa kutaja bandiko husika, ulishauri nini, na nini kilikuja kufanyika...
  19. Wadiz

    Mamlaka ya uteuzi wa Wakuu wa Wilaya izingatie kupandisha vyeo Makatibu Tawala na Makatibu Tarafa, isiokoteze watu kiholela

    Hello hello JF, Utii na heshima kwa Jamhuri ni pamoja na katika jambo lolote kuambatanisha ujumbe wenye maudhui yaliojaa lugha ya utii, heshima na unyenyekevu mkubwa iwe ni katika kukubali au kukataa jambo lolote. Uteuzi wa wakuu wa wilaya ufuate utamaduni wa consultations, ama kupandisha vyeo...
  20. Mbepo yamba

    Nimeenda kwa mganga ameshindwa kupandisha pepo

    Wakuu nawasalimu. Baada ya kutaka kujiua kwa mzigo wa madeni nilienda kwa mganga mmoja Mbeya akaangalie shida kwangu ni nini na anipe msaada nifunguke. Ajabu ni kuwa mganga ambaye kila wakati huwa anapandisha pepo linalomsaidia kutambua matatizo ya watu ameshindwa kuliita pepo na akaniambia...
Back
Top Bottom