dagaa

The silver cyprinid (Rastrineobola argentea) also known as the Lake Victoria sardine or mukene, is a species of pelagic, freshwater ray-finned fish in the carp family, Cyprinidae from East Africa. it is the only member of the genus Rastrineobola.

View More On Wikipedia.org
  1. M

    JamiiForums Tanzania Bafu la kuchangia wapangaji wote, ila mtu unaoga zaidi ya nusu saa, unatuchelewesha wenzako kwenda mihangaikoni

    Wa kishua mtuache kwanza, Wa Uswazi tuna jambo letu. Ndugu wangai, Nina jambo linanikaba koo mwenzenu, Hivi umewahi kukutana na kero kwenye hizi nyumba zetu za kupanga ambapo unakuta mpo wapangaji zaidi ya familia moja na mnachangia choo na bafu? Basi mwenzenu kuna linalonikaba koo, yaani...
  2. emmarki

    JamiiForums Tanzania Dagaa wanaochakatwa kwa kuchemshwa, virutubishi vingi vinapotelea kwenye maji

    Wanajamvi. Ninaishi kisiwa cha Mafia, mojawapo ya sehemu dagaa uono almaarufu dagaa wa nyama wanakopatikana kwa wingi. Katika usindikaji wa dagaa ili kuongeza muda wa kuhifadhi (shelf life), wachakataji huchemsha dagaa kwa chumvi nyingi ili wadumu muda mrefu bila kuharibika hadi kumfikia mlaji...
  3. A

    JamiiForums Tanzania KERO Mwanza: Maafisa wa Uvuvi wanatunyanyasa sana Wauza dagaa wa Kirumba Kivukoni

    Maafisa ya Maliasili na Uvuvi walioko Mwanza wanatunyanyasa sana sisi Wafanyabiashara wa dagaa, unakuta wanakuja pale Kirumba Kivukoni wanakamata mizigo hovyohovyo, hata kama una kibali wao wanakukamata tu. Baada yah apo wanakutafutia kosa na kuanza kuomba rushwa wakidanganya eti ni fine na...
  4. mcTobby

    JamiiForums Tanzania Kisa cha Maiti ya mtu isiyotambulika iliyookotwa kwenye ufukwe wa bahari na Mvuvi wa Dagaa

    Wakati fulani nikiwa Dodoma mwaka 2022, siku moja msafara wa Rais Samia (presidential motorcade) ulikuwa ukitokea Airport Dodoma kuelekea ikulu chamwino. Nadhani na yeye alikuwa anarejea kutokea nje ya nchi). Sasa nakumbuka siku hii Mimi nilikuwa nimetumwanatokea benki ya Nmb tawi la Bunge...
  5. ormystatus

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mdhamini(muwekezaji) kwenye biashara ya samaki, pweza, kamba, ngisi, dagaa wakavu na simbi

    Simu: 079 531 536 9 Nimerudi tena, baada ya andiko la kwanza naona wawekezaji mnakuja na kuondoka. Habari; Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 25. Ninahitaji mdhamini kwenye biashara ya mazao ya bahari. Kwasasa nimeanza kufanya hii biashara nikishirikiana na Mama angu mzazi, lakini mimi...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Katikati ya dagaa wazuri na dagaa wabovu sokoni

    Nikiwa natembea sokoni (maeneo mengine huitwa gulioni au mnadani), katikati ya soko kulikuwa na kinjia (vile vinatengenezeka kwa watu kupita eneo hilo mara kwa mara). Kinjia hicho kilikuwa kinatenganisha sehemu mbili za soko. Upande mmoja kulikuwa na biashara zikiendelea. Waliokuwa wanauza...
  7. Mwanamke wa mithali 31

    JamiiForums Tanzania Dagaa na Bamia ni pishi letu la leo

  8. M

    JamiiForums Tanzania Hakuna Mwanamama mkatoliki ataandamana akiwa amevaa dela

    Hawa waandamanaji watakuwa wameokotwa wapi na haya madela na hijabu zao?
  9. ormystatus

    JamiiForums Tanzania Fursa ya kuingiza Pweza, Kamba, Ngisi na Dagaa wakavu (uono) Tanzania

    Habari Jamii Forums PART 1 Ninataarifa A to Z kuhusu biashara ya kuimport Pweza, Kamba, Ngisi na Dagaa wakavu (UONO) Tanzania lakini ninamtaji mdogo sana nahitaji Mtu wa kushirikiana nae. ZINAKOPATIKANA BIDHAA KWA BEI RAHISI. Hizo bidhaa zinapatikana kwa bei ya Chini Mozambique 🇲🇿 katika...
  10. Masalu Jacob

    JamiiForums Tanzania Kanda ya ziwa: Lini kutakuwa na kiwanda cha Dagaa, Sangara na Sato

    Habari Tanzania ! Eti lini wapendwa mtaleta Viwanda vya kuchakata Dagaa na Samaki ? Au ndio kusema mmeamua kuwaacha na mambo yao yote Kanda ziwa ? Onyesheni basi maupendo jamani. NB Masoko yapo ila viwanda hakuna.
  11. nakwede97

    JamiiForums Tanzania Pishi la ugali na dagaa

    Wazima wa afya? Natumain mmekula na kushiba Leo nawaletea pish ya dagaa na ugal chakula pendwa Cha waafrica Hivi ni viungo vyangu dagaa ambao ni wale wasio na mchanga wa kavu nimewakaanga mwenyewe,nyanya ,kitunguu,chumvi,giligilan na beef cube nikakaanga vitunguu nikaweka giligilan zangu Kwa...
  12. IsDinah

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika dagaa watamu

    Sasa tuandae pishi letu ili tuingie jikoni kupika chap kwa muda wa dakika 10 baada ya hapo, tunakula sotojo letu. Anza kwa kukata kata vichwa vya dagaa, wengine huwa mnaunga dagaa bila kukata vichwa ni sawa pia ila mimi napendelea kukata vichwa kwa sababu inasaidia kupunguza mchanga. Baada ya...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Hivi hii tabia kwamba ukila dagaa au bamia wewe ni maskini inatoka wapi?

    Wakuu habari, Kuna hili jambo linanitatiza na kunikasirisha sana, hivi hii dhana ya kwamba ukila bamia au dagaa wewe ni Masikini ilianzia wapi na inatokea wapi? Yaani mimi niangaike kutafuta hela ninunue mboga ninyoipenda alafu mtu mwingine na fikra zake duni ahoji uwezo wangu wa maisha...
  14. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Ugali dagaa: Moja ya vyakula vyangu pendwa kabisa

    Kwangu ugali dagaa ni full burudani
  15. Alloyce PR

    JamiiForums Tanzania Makapi ya mafuta si misingi ya Taifa

    "Vijana wa kizazi cha leo wanaamini afya iko kwenye mafuta; mihogo ya kuchemsha ni ya washamba, lakini ya kukaanga ni fasheni. Dagaa ni za maskini, lakini kuku wa kisasa anayewanenepeesha hadi wanaume kuwa na matiti kama wake zao ni starehe kwao. Halafu unategemea kupata taifa lenye vijana wenye...
  16. Mtumishitu

    JamiiForums Tanzania Kama huamini uchawi kwenye biashara basi wewe bado sana kwenye biashara,sitasahau hili tukio

    Habari zenu wana jamiforum ,hakika hili jukwa linazidi kuwika kila siku maana kila unachohitaji kujifunza kipo hapa . TWENDEE KWENYE MAADA. Katika harakati za kufanya biashara yangu ya dagaa nilipata mteja mmoja ambae sijawahi na sikufikiria kuwa inaweza kuwa hivyo maana mambo ya ushirikiana...
  17. Mtumishitu

    JamiiForums Tanzania Dagaa zimeanza ziwa victoria wa Congo, Rwanda wakiwa vinara soko la nje

    Wanajamii habari zenu ;;?? Heri ya pasaka kwa wale wageni na page hii ni NDARO muuza dagaa kandq ya ziwa kwa hapa jamiforum nafahamika kama mtumishi yaani nawatumikia jamii sio vingine. Yoyote kwa yote dagaa ni biashara inayo zidi kushika kasi ndani ya Tanzania na inje pia ya Tanzania kama...
  18. Mtumishitu

    JamiiForums Tanzania Jamani huku dagaa tayari zimeanza tusilale kizembe ziwa la watanzania

    Habari zenu wana jamii hili jukwa limekuwa pendwa kwangu kwa maana imekuwa sehemu rahisi ya kukutana na watu wapya na wateja wapya hivyo sina budi ya kushukuru waanzilishi wa hili jukwa. TWENDE KWENYE DHUMUNI. Kesho tarehe 18 April 2025 uvuvi unaanza rasmi kwa kifupi GIZA hii ni baada ya...
  19. hungary

    JamiiForums Tanzania Connection ya kupata wateja wa dagaa wa kavu na kukaanga kutoka mwanza

    Habari wakuu Wenye connection ya kupata wateja au soko la dagaa wa kavu na wakukaanga dar
  20. Mwachiluwi

    JamiiForums Tanzania PISHI: Dagaa Nyasa na mnafu unaweza kula na ugali

    Hellow Leo nikapata dagaa nyasa wangoni nipo tayari kunikosoa kama nimepika sivyo Kwanza mimi nikawatoa vichwa dagaa Kisha nika waweka jikoni kuwachemsha kwanza lazima uwachemshe vinginevyo huwezi kula Baada ya kuchemsha kwa mda nikawaipua na kuwa weka kwenye chombo Baada ya hapo...
Back
Top Bottom