SImba SC ajipange upya kwa Msimu ujao, habari imekwisha kwa Mkapa

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
8,250
15,116
Mkakati wa Al ahly kwenye hatua ya mtoano laiti kama angekutana na Yanga SC hapa Taifa kwenye hatua ya mtoano kama hii basi hii mechi ingeisha leo.

Sioni Simba wanaweza kwenda Cairo kutoboa ktk fixture ya marudiano. SIONI kwakweli.

Hii ni robo fainali ya 5 Simba anashindwa kwenda nusu.

Game ilikuwa nyepesi kabisa hii....

Al Ahly alicheza kiunga unga sana leo.
 
Mmecheza na Al Ahly yenye majeruhi ya wachezaji 5 na bado wamewafunga nyumbani kwenu.
 
Papatu papatu nyingi mno, wachezaji hawatulii na mipira, mawenge mengi kichwani,

chama na kapombe walitakiwa watoke muda mrefu sana,

Namba 6, 8 na 10 simba hawana wachezaji nafasi hizi... Hasa namba 6....

Chama amempa kazi ya ziada Kibu Denis... Hongera kwake Kibu
 
Ile timu unaujua mpira walitaka sare au kufunga 1 tu.

Kwao watataka bao zao 3

Simba ijipange kimbinu na kifedha walete wachezaji wenye speed na wanaoweza kumiliki mpira.
 
Papatu papatu nyingi mno, wachezaji hawatulii na mipira, mawenge mengi kichwani,

chama na kapombe walitakiwa watoke muda mrefu sana,

Namba 6, 8 na 10 simba hawana wachezaji nafasi hizi... Hasa namba 6....

Chama amempa kazi ya ziada Kibu Denis... Hongera kwake Kibu
Simba wamecheza vizuri mno
Mnakuwa mnataza mpira kwa macho gani

Tukubali Ahly ni team kubwa na wametumia mbinu ngumu kuvizia
Huwezi jua mpira utadondosha wapi ?na muda gani? na utashambuliwa kwa kasi gani?

Counter attack ni mbinu ngumu mno
Sisi tulocheza mpira tunaijua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom