msimu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Kikosi changu cha kwanza msimu unaomalizika kesho bongo

    1. Diarra kipa wa Yanga 2. Kevin Kijir wa Singida 3.Tshabalala Simba 4.Ibrahim Bacca Yanga 5. Che Fondoh Malone 6.Kevin Nashon Ihefu 7.Kibu Dennis Simba 8. Najim Magulu Tabora United 9.Feitoto azam 10.Aziz Ki 11.Kipre Junior
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Kanuni ipo hivi kwa mfungaji bora wa ligi kuu NBCPL msimu huu 2023/24

    Tupo mwishoni mwa ligi kuu ya NBCPL msimu huu 2023/2024 ambapo mei 28 2024 ndiyo tamati yake hadi sasa vita vikubwa ni Aziz Ki na Feisal katika kuibuka mfugaji bora, vita nyingine ni ya AZam fc na Simba sc kumaliza nafasi ya pili. Sasa tukitazama katika upande wa mfungaji bora ambao wanalingana...
  3. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Nani mchezaji wako bora wa Yanga (MVP) kwa msimu huu wa 2023/24

    Naaaje wazee! Kwa Sisi wadau wa soka la nyumbani uhondo wetu unafikia mwishoni. Mpaka sasa Wananchiiiii wamesepa na kikombe Chao huku watani zao wakiendelea kujitafuta kupambania nafasi ya pili na dhidi ya wana lambalamba. Tukirudi kwenye mada, msimu huu ni miongoni mwa misimu Bora kwa Young...
  4. N

    JamiiForums Tanzania Msimu huo unaisha, je wewe shabiki umeweka shingapi kwenye akaunti zako?

    Nawasalimu nyote. Hamjambo hapooooooo!! Hahahaaaaa. Ok twende moja kwa moja kwenye hoja,ni hivi MISIMU mbalimbali ya ligi hapa duniani hiyooo inaisha ila mingine bado inaishia. Nina swali dogo tu halihitaji kwenda shule ili ujibu linahitaji akili za kawaida tu.nauliza hivi MISIMU MBALIMBALI...
  5. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Hivi ndivyo ningependa Man Utd first 11 iwe msimu ujao ili tushinde ubingwa EPL

    1: Onana 2: Dalot 4: Lisandro Martinez 5: Jarrad Brathwaite 3: Ian Maatsen 6: Mainoo 8: Joao Neves 10: Bruno Fernandes 7: Kvaratskhelia 11: Garnacho 9: Hojlund
  6. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Ni nani mchezaji wako bora wa Simba SC kwa msimu huu wa 2023/24?

    Naaaje wazee, Ligi ya NBC inaelekea ukingoni huku Bingwa akiwa ameshafahamika tayari. Kwa sasa vita ipo sehemu nne tu: 1. Nafasi ya Pili 2. Nafasi ya nne 3. Kujinasua kucheza Playoff 4. Kujinasua kushuka daraja Tutakuwa tunakutana kwenye nyuzi kujadili mambo mbalimbali ya msimu huu unaoisha...
  7. OMOYOGWANE

    JamiiForums Tanzania Hesabu za mmiliki wa SFG ni kali sana, wengi hamzioni ila mtaziona msimu ujao 2024/2025 kupitia IHEFU (Singida Black Stars)

    Hakuna jambo gumu kama kuendesha timu ya mpira na kuifanya ikupe mafanikio ya haraka, Unaweza kuwa na pesa yakutosha ila ukajikuta unaambulia patupu. Pesa peke yake hazitoshi bali akili nyingi pia inahitajika bila kuvunja sheria. Nimeanzisha huu uzi baada ya comment ya mdau mmoja kwenye uzi...
  8. JamiiCheck

    JamiiForums Tanzania Upotoshaji wa Taarifa katika soka msimu wa usajili

    Upotoshaji wa taarifa kwenye soka hufanyika zaidi wakati wa msimu wa usajili. Kipindi hiki ambacho mashabiki wa soka hufuatilia kujua Wachezaji wanakuja na kuondoka kwenye timu zao, wapotoshaji hutengeneza #taarifapotofu kwa makusudi ili kupata wafuasi kwenye kurasa zao au kuibua taharuki. Kwa...
  9. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Mtazamo wako ni upi atakaye cheza Fainali ya CRDB Bank Federation msimu huu 2023/2024

    Mtazamo wako ni upi atakaye cheza Fainali ya CRDB Bank Federation msimu huu 2023/2024 Leo Azam fc vs Coastal Union Kesho Yanga Vs Ihefu
  10. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Je wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu(CEO) wa Simba mambo gani matatu ungeyafanya kuelekea msimu mpya 2024-2025

    Kama wewe ungekuwa Afisa Mtendaji Mkuu wa Klabu ya Simba kuelekea msimu mpya wa mashindano mbalimbali kama Ligi kuu ya NBCPL na Klabu Bingwa Afrika, tuambie mambo 3 ungeyafanya ili Simba wafike malengo yao katika msimu husika
  11. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Azam TV yarudisha tena La Liga kuanzia msimu ujao

    Kupitia ukurasa wao wa Instagram, AzamTv imetangaza kurusha tena ligi kuu ya Hispania ( La liga) kuanzia msimu ujao 2024/2025 Awali AzamTv walikuwa wanarusha ligi hiyo kabla ya kuachana nayo na kisha kurudia tena! Ikumbukwe AzamTv anarusha ligi ya Ufaransa, Saudi, Ujerumani, Tanzania na Kenya...
  12. S

    JamiiForums Tanzania Kakolanya Kutimukia Yanga Msimu ujao?

    Upo uwezekano mkubwa wa Beno kakolanya kurejea yanga msimu ujao. Inaelezwa yanga ipo kwenye mpango wa kuachana na Metacha mnata japo bado anamkataba wa mwaka mmoja umesalia. Beno kakolanya amebakisha mkataba wa mwaka mmoja ndani ya Singida fountain Get, Yanga na singida black stars (Ihefu)...
  13. K

    JamiiForums Tanzania Tuwe na mpango madhubuti wa kupanda miti millioni 50 msimu huu wa mvua

    Ninaiomba Wizara ya Muungano na Mazingira ije na mpango madhubuti kabisa wa kupanda miti millioni 50 katika kipindi hiki cha mvua. Uhamasishaji ufanywe kuanzia uongozi wa Kaya, Mashule, Mitaa/Vijiji, Kata, Tarafa, Wilaya , Mikoa mpaka Taifa. Mpango huu usimamiwe kikamilifu na Waziri mwenye...
  14. L

    JamiiForums Tanzania Simba iwaongeze wazawa hawa msimu ujao, wana uwezo mkubwa

    Kuna wachezaji wazawa wazuri sana nimewaona ambao Simba ikiwasajili watawasaidia mno, wa kwanza ni beki wa kulia wa zamani wa KMC na ss Singida, Kevin Kijiri, huyu hana tofauti na yule beki wa kulia wa Mamelodi, Kijiri ana nguvu, spidi halafu mrefu, Israel Mwenda anafanya sana makosa na jana...
  15. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania EPL: Wanaowania tuzo za Kocha Bora & Mchezaji Bora wa Msimu watajwa, Kura yako unampa nani?

    Tuzo ya Kocha bora wa msimu kwa EPL kuna majina matano, ambayo ni; 1. Mikel Arteta - Arsenal 2. Unai Emery - Aston Villa 3. Pep Guardiola - Man City 4. Andoni Iraola - Bournemouth 5. Jurgen Klopp - Liverpool Pia kuna orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu pale EPL ambapo...
  16. Greatest Of All Time

    JamiiForums Tanzania Jezi mpya kwa timu mbalimbali kwa msimu ujao 2024/2025

    Tukiwa tunamalizia msimu huu, baadhi ya timu zimeshaanza kutoa jezi mpya kwa msimu ujao. Timu kubwa ya kwanza kuachia jezi zao ni Liverpool. Uzi huu utakuwa unakuletea jezi mpya kadri tunavyozipata kutoka katika vyanzo mbalimbali. Karibu...
  17. K

    JamiiForums Tanzania Ushauri kwa Serikali kuhusu uzalishaji mkubwa wa zao la mpunga msimu huu

    Kwanza tunamshukuru Mungu kwa uzalishaji mkubwa wa zao la mpunga kwa msimu huu. Kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha wananchi wamepata mavuno makubwa ya mpunga. Kwa sasa bei ya mchele inazidi kuteremka na ninaambiwa kuwa maeneo ya Katavi kilo moja ya mchele umefika Tshs. 600. Pia...
  18. mdukuzi

    JamiiForums Tanzania Jonas Mkude ameshakula zaidi ya Tsh mil 300 za Yanga mpaka sasa na amecheza mechi 3 tu msimu mzima

    Wachezaji ni kama kausha damu tu, msimu mzima ucheze mechi tatu na uikamue klabu milioni 300 za mshahara, usajiri na bonus, wastani wa milioni 100 kwa kila mechi. Je, huu ni uungwana? Kwanini timu zisisajili wachezaji 24 kila mtu acheze kuliko kurundika watumishi hewa vilabuni
  19. DELETED ACCOUNT

    JamiiForums Tanzania First Eleven ya Simba msimu wa 2024-2025 ni hii hapa

    First 11 ya Simba msimu wa 2024-2025 (Hizo xx ni wachezaji wapya wa maana wa kigeni): Ayoub/Abeli Israel Zimbwe/xx Kazi/xx Che Malone Sarr/Hamisi Chasambi/Balua Ngoma/Mzamiru xx/Kanoute/Freddy Kramo Miquissone/Karabaka Chezaji za kupewa mkono wa kwaheri kwa kuuzwa, kuisha mkataba au kwa...
  20. mwehu ndama

    JamiiForums Tanzania Kwa msimu huu haya ndio Mafanikio ya Simba sc (MAKOLO) mpaka sasa

    Wakati msimu wa 2023/2024 ukiwa unaelekea ukingoni huku mbumbumbu Fc, wakijanasibu kuwa wamepania kwelikweli kufanya makubwa katika dakika za jioooooooooooooooni kabisa za ligi ya NBC, yafuatayo ni mafanikio kutoka umbumbuni mpaka wakati huu msimu ukiwa ukingoni 1. Ngao ya jamii ✅ 2. Muungano...
Back
Top Bottom