Mtumishitu

Member
May 2, 2022
18
7
Habari ndugu zangu.
Nadhani kila mmoja wetu yupo hai kwa anae soma hapa.
Kama kawaida mr .waziri nazidi kuwarahisishia wateja wangu kupata mzigo wa dagaa kutoka ziwa victoria kwa wale waliopo mikoani.

KWA WALE WALIOPO TUNDUMA SONGWE.
Leo mzigo wa dagaa aina ya full mzigo umefika nenda kachukue karibu na petrol station (shell) ya MANYANYA.
MAWASILIANO.0755213580.

KWA WENGINE MIKOA MINGINE PIGA SIMU MZIGO ULETEWE HUKO ULIPO MAWASILIANO.0755213580.
 
Manyanya ana sheli4,sheli3 zipo tunduma na 1 upande wa Zambia,Sasa ww unazungumzia Sheli ipi?
 
BIASHARA YA CHAKULA HAIJAWAHI KUTUPA MTU AKIVUMILIA.
Habari wanajamii, narudi tena. Bei ya dagaa imepungua maana giza limeanza na uvuvi kuendelea kama ilivyo kawaida.

Bei zilizopo muda huu. Japo huwa mabadiliko yapo kutokana na uvuvi ukiwa mzuri au mbaya.

Dagaa wa nyasi (wasio na mchanga)
Gunia yenye debe 10 kilo 40 (Tsh180000/=-tsh260000/=.)
Hiyo bei ni dagaa wenye ubora (good quality).

Dagaa wachanga.
Gunia yenye debe 10--kilo 43--(Tsh 130000/= Tsh200000/=).

Bei zinabadilika kutokana na hali ya uvuvi inaweza kupungua zaidi ya hiyo bei au ikaongezeka vizuri kuwasiliana kwa simu 0755213580.

Jinsi ya mzigo utakufikia. Bus (gari ya abiria), Lorry(gari ya mzigo)

Gari ya abiria (bus) mzigo unakufikia haraka ila bei zao ni za juu kidogo. Gunia moja (Tsh20000/=) mpaka mkoani.

Gari ya mzigo (lorry) mzigo inachukua muda kidogo lakini ndani ya siku 2 mzigo unakuwa umekufikia bei yake ni ndogo ukilinganisha na bus.(tsh10000/=-tsh15000/=).

Location: Napatikana Mwanza-Kirumba-Mwaloni-Soko Kuu la dagaa na samaki.

Mawasiliano: 0755213580

Karibu.

Endapo unataka kujuwa zaidi uliza kwenye comments au piga simu.
 
Sawa
 
Ukitokea Ndalambo Huko Kuna Kituo Cha Manyanya Na Anavyo Vingi
 
Mpaka Dar es Salaam ni bei gani pamoja na usafiri??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom