Mtazamo wangu: Arsenal atamaliza bila taji msimu wa 2023/24

Teko Modise

JF-Expert Member
May 20, 2017
1,914
6,033
Leo ratiba ya UCL imetoka na Arsenal amepangwa na Bayern Munich. Baada ya kuona ratiba hii, nikawaonea huruma mashabiki wa Arsenal kwani wanaenda kumaliza msimu tena bila taji lolote.

Arsenal ataanzia nyumbani Emirates kisha kwenda Allianz Arena ambapo huko atakufa nyingi si mnajua Harry Kane yupo huko na anaifahamu Arsenal vizuri tangu akiwa EPL amewafunga magoli ya kutosha tu!

Hapo Arsenal atakuwa nje ya Uefa kufikia April 16 na hata akifuzu anaenda kukutana na Man City au Real Madrid bado maisha ni magumu.

Atabaki kwenye ligi, huko nako safari sio rahisi ana safari ngumu.

Kwanza kabisa ana kibarua cha kwenda Etihad kisha baada ya wiki chache atarejea jijini Manchester safari hii akienda Matofali ya Kuchoma. Huko kote atadondosha alama.

Pulia atakuwa na kiporo dhidi ya Chelsea ya Poch.

Wakati hayo yakitokea, Big Ange na Spurs yake watakuwa wanawakaribisha katika North London Derby, Hapa wanaweza wakaambulia sare.

Siwaoni Arsenal wakitwaa ubingwa wa EPL, mechi za karibuni wanacheza na kupata matokeo ya ngekewa sana, ufinyu pia wa kikosi hasa katika idara ya ushambulizi itawagharimu kiaina.

Msisahau FA Cup walishatoka mapema tu!

Kwahyo, nahitimisha kuwa, Arsenal atashika nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi na kumaliza msimu bila taji lingine licha ya soka bora wanalopiga.
 
Leo ratiba ya UCL imetoka na Arsenal amepangwa na Bayern Munich. Baada ya kuona ratiba hii, nikawaonea huruma mashabiki wa Arsenal kwani wanaenda kumaliza msimu tena bila taji lolote...
Arsenal watatukana matusi yote lakini haitabdilisha ukweli Kua watatoka bila taji...

Kwenye UEFA kama alivosema wanakutana na Bayern Munich, kumbuka hatua ya 16 bora walikutana na Porto wakabanwa mbavu mpaka pale walipopita Kwa mikwaju ya penati .. sasa jiulize Kwa Bayern ya Kane na Kocha Thomas Tuchel nini kitatokea...

EPL Napo ukweli mchungu arsenal atamaliza akiwa nafasi ya tatu nyuma ya Liverpool na City.... Itakua NI fedheha na aibu arsenal kumaliza juu ya Man City na Liverpool...

FA hayupo kwahiyo hamna kombe lolote arsenal atashinda msimu huu ...
 
Leo ratiba ya UCL imetoka na Arsenal amepangwa na Bayern Munich. Baada ya kuona ratiba hii, nikawaonea huruma mashabiki wa Arsenal kwani wanaenda kumaliza msimu tena bila taji lolote.

Arsenal ataanzia nyumbani Emirates kisha kwenda Allianz Arena ambapo huko atakufa nyingi si mnajua Harry Kane yupo huko na anaifahamu Arsenal vizuri tangu akiwa EPL amewafunga magoli ya kutosha tu!

Hapo Arsenal atakuwa nje ya Uefa kufikia April 16 na hata akifuzu anaenda kukutana na Man City au Real Madrid bado maisha ni magumu.

Atabaki kwenye ligi, huko nako safari sio rahisi ana safari ngumu.

Kwanza kabisa ana kibarua cha kwenda Etihad kisha baada ya wiki chache atarejea jijini Manchester safari hii akienda Matofali ya Kuchoma. Huko kote atadondosha alama.

Pulia atakuwa na kiporo dhidi ya Chelsea ya Poch.

Wakati hayo yakitokea, Big Ange na Spurs yake watakuwa wanawakaribisha katika North London Derby, Hapa wanaweza wakaambulia sare.

Siwaoni Arsenal wakitwaa ubingwa wa EPL, mechi za karibuni wanacheza na kupata matokeo ya ngekewa sana, ufinyu pia wa kikosi hasa katika idara ya ushambulizi itawagharimu kiaina.

Msisahau FA Cup walishatoka mapema tu!

Kwahyo, nahitimisha kuwa, Arsenal atashika nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi na kumaliza msimu bila taji lingine licha ya soka bora wanalopiga.
Niseme tu pambafu.
 
Umeandika UCHOKO tu
 
umeandika UCHOKO tu,huyo Tuchel amepitwa point 10 na anayeongoza Ligi,alifungwa 5 na Entrach Frankfurt,aligongwa 3 na Bochum timu iliyo nafasi ya 4 kutoka mwisho,aligongwa 3 na Bayer Leverkusen,watakaoingia uwanjani ni wachezaji 11 wa Arsenal na 11 wa Bayern wote wakiwa na miguu miwilimiwili,wachezaji wa Bayern hawatakuwa na miguu mitatumitatu,hivyo acheni viuchambuzi vyenu vya kichoko kenge nyie
 
Leo ratiba ya UCL imetoka na Arsenal amepangwa na Bayern Munich. Baada ya kuona ratiba hii, nikawaonea huruma mashabiki wa Arsenal kwani wanaenda kumaliza msimu tena bila taji lolote.

Arsenal ataanzia nyumbani Emirates kisha kwenda Allianz Arena ambapo huko atakufa nyingi si mnajua Harry Kane yupo huko na anaifahamu Arsenal vizuri tangu akiwa EPL amewafunga magoli ya kutosha tu!

Hapo Arsenal atakuwa nje ya Uefa kufikia April 16 na hata akifuzu anaenda kukutana na Man City au Real Madrid bado maisha ni magumu.

Atabaki kwenye ligi, huko nako safari sio rahisi ana safari ngumu.

Kwanza kabisa ana kibarua cha kwenda Etihad kisha baada ya wiki chache atarejea jijini Manchester safari hii akienda Matofali ya Kuchoma. Huko kote atadondosha alama.

Pulia atakuwa na kiporo dhidi ya Chelsea ya Poch.

Wakati hayo yakitokea, Big Ange na Spurs yake watakuwa wanawakaribisha katika North London Derby, Hapa wanaweza wakaambulia sare.

Siwaoni Arsenal wakitwaa ubingwa wa EPL, mechi za karibuni wanacheza na kupata matokeo ya ngekewa sana, ufinyu pia wa kikosi hasa katika idara ya ushambulizi itawagharimu kiaina.

Msisahau FA Cup walishatoka mapema tu!

Kwahyo, nahitimisha kuwa, Arsenal atashika nafasi ya tatu katika msimamo wa ligi na kumaliza msimu bila taji lingine licha ya soka bora wanalopiga.
😆😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom