Tunduma is a town in Songwe Region, Tanzania, on the border between Tanzania and Zambia. It has border posts for both the Tanzam Highway and the TAZARA railway (for which it has a station) linking the two countries. It is located 103 km southwest of Mbeya. It is also the junction for the tarmac road which runs via Sumbawanga through the remote far western districts of Tanzania to Kasulu and Kibondo in the north-west. According to the 2012 census, it has a population of 97,562.
Eneo la Machinjio ya Halmashauri ya Mji wa Tunduma Mkoani Songwe kuna Daktari wa Mifugo ambaye jukumu lake ni kukagua nyama baada ya ng’ombe kuchinjwa, katika ukaguzi wake amekuwa akiondoa sehemu anazodai kuwa hazifai kuliwa na binadamu.
Anaondoa kwa malengo ya kuteketeza lakini badala yake...
Tunduma sasa kila mtu anatemvea na pini kama kinga. Inadaiwa pini ni Dawa ya kujikinga na hali inayoendelea hapo Tunduma kuhusu kuibiwa maumbile nyeti ya wanaume. Polisi washakanusha habari na kusema ni uzushi. Ila mtaani mambo ni tofauti. Nyeti zinapotea fasta sana. Yaani kufumba na kufumbua...
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Songwe, Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Polisi (SACP) Augustino Senga, alisema kuwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limefanya mikutano na wananchi kwa lengo la kutoa elimu na kutuliza taharuki iliyojitokeza, baada ya kuenea kwa uvumi wa kuwepo kwa watu wanaodaiwa kugusa...
Mtu mweusi anajifanya mjuaji na mwenye akili nyingi huku kwa uhalisia ni kinyume chake.
Mtu mwenye akili ndogo au tahira Ishara yake kubwa ni kuendeshwa kwa mihemko na misisimko kuliko fact.
Mtu mwehu huamini kila jambo.
Hakuna watu angalau wawili serikali imeconfirm kuwa wamechukuliwa nyeti...
Kutokea Tunduma, hofu imetawala miongoni mwa Wananchi kufuatia taarifa za mtu anayedaiwa kuwa akimgusa mtu, husababisha kupotea kwa sehemu za siri.
Mganga mfawidhi wa Kituo cha Afya Tunduma amethibitisha kupokea watu wawili waliokwenda hospitali wakidai kupoteza sehemu zao za siri.
Mkuu wa Mkoa wa Songwe ndugu Jabiri Makame, amefanya ziara ya kushtukiza katika Mpaka wa Tunduma kukagua utekelezaji wa Maagizo ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt Mwigulu Nchemba kuhusu upanuzi wa barabara ya kuelekea Mpaka wa Tanzania na Zambia kwa njia nne ili...
Mahakama ya Wilaya ya Momba, iliyopo katika Halmashauri ya Mji Tunduma, Jana imewaachia huru Watuhumiwa 34 wa uhaini, kutokana vurugu za Oktoba 29, 2025.
Kwa mujibu wa Mwendesha mashitaka wa Mahakama ya Wilaya ya Momba Ndg. Simon Pelesi alisema kuwa, zoezi hili la watuhumiwa hawa kupata...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Songwe limekanusha taarifa zinazosambazwa mtandaoni kuwa magari yanahamishwa kutoka Tunduma ili kukwepa hasara, na kwamba taarifa hizo zinalenga kuleta hofu kwa umma. Aidha, limetoa onyo kali kwa wote wanaotengeneza na kusambaza taarifa za upotoshaji.
Huko Tunduma kuna miili zaidi ya mia 3 ililundikwa kwenye godown tarehe 30 October na baadaye kwenda kuzikwa kwenye makaburi ya halaiki.
Waliotumiwa kusaidia kuzika nao waliuwawa kabla ya kufukiwa kuficha ushahidi.
Watu walichukua video na picha. Nimetonywa na vijana wangu wataziachia ila...
Walisomba maiti kwa malori, wamezipeleka kule Wazo...Twiga Cement kwenda kuziteketeza kwenye yale matanuri ya kuchomea na kuyayushia mawe.
Mkifuatilia pale Twiga lazima mtaambiwa kuwa siku mbili tatu hizi watu hawakutakiwa kwenda kufanya kazi lakin mitambo iliwashwa
Naongea ninachojua
Britanicca
Wakati maandamano yanaendelea sehemu mbalimbali nchini, Tunduma nako kumependeza.
Vituo vya kupiga kura vimechomwa moto. Hii inaitwa kama hushiriki maandamo, tulia watu tupite tusafishe njia.
Zile nywinywi zote kimya! Na kwa vile wameamua kuzima mtandao hakuna kitu wanaweza kufanya, yaani ni...
Ndugu zangu Watanzania,
Kwa hakika Rais Samia anapendwa na watanzania ni haijawahi kutokea katika historia ya Taifa letu. Mama anapendwa kuliko kitu kingine chochote kile hapa Duniani. Mama anakubalika kuliko mtu yeyote yule hapa Nchini. mama anaaminika na kuungwa mkono mpaka watu wanatamani...
Kamanda wa Polisi Mkoa, Augustino Senga amesema Watu 5 wamefariki Dunia na wengine wanne kujeruhiwa baada ya basi dogo la abiria aina ya Hiace yenye Namba za usajili T476 DHL lililokuwa likitokea eneo la Chipaka lililopo Halmashauri ya Mji wa Tunduma Wilayani Momba Mkoani Songwe, kuelekea Mpemba...
Tunduma ni border kubwa kwa Tanzania hili halina ubishi ila changamoto kubwa ya Tunduma iko-disorganized sana ni chaos hii hali haitakiwi kuendelea hata kidogo
Yafuatayo ni maboresho ya Tunduma ntayafanya nikiwa Rais wa Tanzania
Barabara kuanzia vwawa mpaka tunduma zitajengwa Lane 8 (mbili za...
Serikali mkoani Songwe imesema kuwa suluhisho la kudumu la changamoto ya foleni katika mpaka wa Tunduma ni ujenzi wa bandari kavu katika eneo la Mpemba, pamoja na ujenzi wa barabara yenye njia nne, ambao tayari umeanza katika upande wa Mkoa wa Mbeya kuelekea Tunduma.
Pia soma ~ Foleni ya...
Kada wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Mtaalamu wa ardhi na Mjasiriamali Kijana Bw. Thom Mnkondya, Leo Jumanne Julai Mosi, 2025, amechukua rasmi fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Tunduma kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), katika Ofisi za CCM Wilaya ya Momba.
Thom, ambaye amejizolea...
Msanii wa Kizazi kipya Mkoani Songwe, Almas Tz amechukua fomu kugombea Udiwani Kata ya Mwaka Kati, Tunduma mjini.
Almas Tz anaye tamba na kibao chake cha "Mwakata" amechukua fomu mapema June 28 2025 katika Ofisi za Chama cha Mapinduzi Kata ya Mwaka Mjini.
Wazee huku Tunduma ni changamoto kuvuka aisee siku saba foleni haitembei, huu msongamano wa malori katika mpaka wa Tanzania na Zambia upande wa Tunduma ni kero kubwa sana na hali hii inakwamisha Uchumi wa watu wengi na unawafaidisha wachache.
Kuna kiongozi wa masuala ya Usalama (jina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.