Kila nikiona Yanga inacheza Match ya kimataifa hua inanikumbusha Fainali ya UEFA Msimu wa 2007/2008

THE FIRST BORN

JF-Expert Member
Apr 24, 2019
1,729
3,290
Ile Fainali ilikua Kati ya Manchester United vs Chelsea.
Nakumbuka Fergie aliwaambia Wachezaji wake kua Nenden mkijua kua katika Fainali hii nyie ndio Mnachukiwa zaidi.
Katika Fainali hiii nyie ndio mnaombewa kufungwa na watu wengi Dunian kote,Maana mmetawala sana kuanzia kwenye Ligi hadi Ulaya.

So watu wanaombea Mpoteze nikwambie tu Wachezaji walipigana sana at the End Team ambayo ilikua haipendwi ikashinda Mchezo na kunyakua kombe

Turudi Kwa upande wa Yanga sasa,kivipi nailinganisha na ile Fainali Facts zinaendana sana kwa wakat huu Yanga inaongozwa kutokupendwa hapa Tanzania na hawa watoto wa 2000 ambao ndio wanaongoza kutumia simu nakuandika Vitu wasivyoelewa Mtandaoni hasa hapa Jamiiforum

Hata hapa Jukwaani yamesemwa Mengi sana
kuhusu Yanga..Ila Leo Saa 3 Jukwaa Litakuaa Letu sisi Mashabiki Kindakindaki wa YANGA.

Yani watu wamefikia hatua wanaipangia Yanga hadi mda wa kucheza na kuiambia kwa kua kama imechagua kucheza Saa 1 basi itafungwa daaah😂😂

Ila Anyway Mi hua naamin kua Ukiona Hisia zinakwmabia hii Team ina fungwa basi Amini hio Team itashinda hata kama huipendi.
#GoHard WanaNchi
#NyiendioTanzania🇹🇿🇹🇿
Screenshot_20240224-081721_Bing.jpg
Screenshot_20240224-080713_Bing.jpg
 #FLY
 
Mnajiita Wananchi halafu msipendwe tena? Sasa hao wananchi ni kina nani? Hahaha. Haya, naona homa ya mchezo ishapanda.
 
Ile Fainali ilikua Kati ya Manchester United vs Chelsea.
Nakumbuka Fergie aliwaambia Wachezaji wake kua Nenden mkijua kua katika Fainali hii nyie ndio Mnachukiwa zaidi.
Katika Fainali hiii nyie ndio mnaombewa kufungwa na watu wengi Dunian kote,Maana mmetawala sana kuanzia kwenye Ligi hadi Ulaya.

So watu wanaombea Mpoteze nikwambie tu Wachezaji walipigana sana at the End Team ambayo ilikua haipendwi ikashinda Mchezo na kunyakua kombe

Turudi Kwa upande wa Yanga sasa,kivipi nailinganisha na ile Fainali Facts zinaendana sana kwa wakat huu Yanga inaongozwa kutokupendwa hapa Tanzania na hawa watoto wa 2000 ambao ndio wanaongoza kutumia simu nakuandika Vitu wasivyoelewa Mtandaoni hasa hapa Jamiiforum

Hata hapa Jukwaani yamesemwa Mengi sana
kuhusu Yanga..Ila Leo Saa 3 Jukwaa Litakuaa Letu sisi Mashabiki Kindakindaki wa YANGA.

Yani watu wamefikia hatua wanaipangia Yanga hadi mda wa kucheza na kuiambia kwa kua kama imechagua kucheza Saa 1 basi itafungwa daaah

Ila Anyway Mi hua naamin kua Ukiona Hisia zinakwmabia hii Team ina fungwa basi Amini hio Team itashinda hata kama huipendi.
#GoHard WanaNchi
#NyiendioTanzania
View attachment 2914374View attachment 2914375 #FLY
Timu yenye washabiki 40 million kati ya watanzania 60 million inaongozaje kuchukiwa? Au hadi mashabiki wa yanga pia wanaichukia timu yao?
 
Back
Top Bottom