uefa

The Union of European Football Associations (UEFA; yoo-AY-fə; French: Union des associations européennes de football; German: Union der europäischen Fußballverbände) is the administrative body for football, futsal and beach soccer in Europe. It is one of six continental confederations of world football's governing body FIFA. UEFA consists of 55 national association members.
UEFA represents the national football associations of Europe, runs nation and club competitions including the UEFA European Championship, UEFA Nations League, UEFA Champions League, UEFA Europa League, planned UEFA Europa Conference League, and UEFA Super Cup, and controls the prize money, regulations, and media rights to those competitions.
Henri Delaunay was the first general secretary and Ebbe Schwartz the first president. The current president is Aleksander Čeferin, a former Football Association of Slovenia president, who was elected as UEFA's seventh president at the 12th Extraordinary UEFA Congress in Athens in September 2016, and automatically became a vice-president of the world body FIFA.

View More On Wikipedia.org
  1. MakinikiA

    JamiiForums Tanzania Ratiba yetu ya Uefa tuijue kabisa watu wa Asernal

    The 2026 UEFA Champions League final between Paris Saint-Germain and Arsenal will take place on Saturday, May 30, 2026, at the Puskás Aréna in Budapest, Hungary. UEFA.com Kick-off is scheduled for 18:00 CEST (Central European Summer Time). UEFA.com In local time for you in Dar es Salaam...
  2. M

    JamiiForums Tanzania FT: Bayern München 0 - 1 PSG | UEFA Semi Final 2nd Leg | Allianz Arena | 6 Mei 2026

    Bayern Munich Vs PSG; Leo! leo! leo! kazi ipo Ubavu chuma upande mwanaume mashine Bayern Munich, wakiwa nyumbani katika dimba la Allianz Arena mbele ya mashabiki wao, wanawakaribisha Paris Saint-Germain kwenye mkondo wa pili wa nusu fainali ya UEFA Champions League. Mchezo huu utapigwa saa nne...
  3. Malaika wa Misukosuko

    JamiiForums Tanzania Leo Atletico Madrid atamfunga Arsenal na kuingia Fainali ya UEFA. Huu sio utabiri, ndivyo itakavyokuwa

    Habari zenu, Leo nusu fainali ya Uefa itakuwa ndo mwisho wa safari ya Arsenal kwani Atletico ndie atakayeshinda mechi hii, huu sio utabiri ndivyo inavyokwenda kutokea.
  4. M

    JamiiForums Tanzania FT: Arsenal 1 - 0 Atletico Madrid | UEFA Semi Final 2nd Leg | Emirates Stadium | 5 Mei 2026

    Atlético Madrid wanatarajiwa kuwa wageni wa Arsenal katika uwanja wa Emirates, kwenye mkondo wa pili wa nusu fainali ya UEFA Champions League, mchezo utakaopigwa saa nne usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Nusu fainali ya kwanza iliyofanyika katika uwanja wa Metropolitano jijini Madrid...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Atletico Madrid 1-1 Arsenal | UEFA Semi Final First Leg | Riyadh Air Metropolitano | 29 Aprili 2026

    Atletico Madrid wanatarajia kuikabili Arsenal kwenye dimba la Riyadh Air Metropolitano, katika nusu fainali ya mkondo wa kwanza ya UEFA Champions League, kuanzia saa nne usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Mechi ya marudiano (2nd leg) inatarajiwa kupigwa Jumanne Mei 5, 2026 kwenye Uwanja wa...
  6. M

    JamiiForums Tanzania FT: PSG 5 - 4 Bayern München | UEFA Semi Final First Leg | Parc des Princes | 28 Aprili 2026

    Patashika kali inatarajiwa usiku wa leo, wakati Paris Saint-Germain watakapoikaribisha Bayern Munich kwenye dimba la Parc des Princes, katika nusu fainali ya mkondo wa kwanza ya UEFA Champions League, kuanzia saa nne usiku kwa saa za Afrika Mashariki. Kwa mujibu ya tovuti ya uefa.com, rekodi za...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Robo Fainali UEFA: Liverpool na Barcelona kufanya 'Comeback' dhidi ya PSG na Atletico leo?

    Liverpool na Barcelona usiku wa leo zinakabiliwa na kibarua kigumu cha kujaribu kufanya mapinduzi (comeback) katika michezo yao ya marudiano ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya (UEFA). Timu zote mbili zinaingia uwanjani zikiwa na deni la mabao mawili, hali inayozilazimu kushinda kwa...
  8. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Real Madrid kukutana na Manchester City, huku PSG wapangwa na Chelsea FC hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya

    Timu vigogo barani Ulaya Arsenal, Real Madrid na Liverpool ni miongoni mwa klabu zilizojua hatima yao baada ya droo ya hatua ya 16 bora ya Ligi ya Mabingwa Ulaya kupangwa Ijumaa. Real Madrid watakutana tena na Manchester City katika hatua ya mtoano kwa msimu wa tano mfululizo, baada ya kupangwa...
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nahitaji kufahamishwa vifurushi vya DSTV vilivyo na mechi za UEFA

    Kuishi vijijini tabu yake ndio hii sasa Unanunua king'amzi cha Dstv na hujuwi vifurushi vyake huwa vina bei gani Naomba kufahamishwa ndugu wapenda michezo Kwa sasa ni bei gani ili niangalime timu yangu ya PSG wiki ijayo?
  10. Influenza

    JamiiForums Tanzania UEFA 2025/26: Chelsea kuvaana na Barca, Bayern, Napoli! Arsenal kukutana na Bayern, Inter. Spurs yapewa PSG, Dortmund

    Ligi ya Mabingwa Ulaya ya msimu wa 2025–26 imekuwa ikiendelea kimyakimya tangu mwanzo wa Julai, wakati raundi ya kwanza ya mechi za mchujo ilipoanza. Jumla ya timu 53 zimehusika katika mchakato huu, 42 kati yao kupitia Njia ya Mabingwa na timu 11 kupitia Njia ya Ligi zikiwa zinawania nafasi...
  11. immortanity

    JamiiForums Tanzania Special Thread | UEFA Champions league, 2025/2026

    Huu utakuwa uzi maalumu kwa ajili ya mashindano ya mabingwa ulaya (UEFA) updates zote
  12. Red black

    JamiiForums Tanzania UEFA Nations League Fainali : Portugal Vs Spain l Allianz arena stadium l 8/6/2025 l 22:00pm

    Hii game⚽ ni ya moto sana usipange kuikosa. huku Yamal kule Ronald. Lineups _ Portugal substitutes N.semendo,A.silva,D.dalot,J.palhinha,G.ramos,D.jota,R.neves,J.felix....nk Manager : R.martinez Spain lineups, Substitutes; David raya,P.porro,D.vivian,Gavi,Isco,A.morata,P.cubarsi...nk...
  13. Premierleague

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenda mpira kipindi mnangoja bonanza la trh 15 uefa wanakupa bidhaa Bora kabisa kesho

    Mpira ulizaliwa ulaya na umeendelea kutunzwa na kuhifadhiwa na wazungu wenyewe huku wakiangalia vituko na maigizo kutoka pande zingine za dunia Hapo kesho Portugal ya Ronaldo itataka kumpa heshima huyu mwamba wa soka pale watakapopambana na Spain iliyo mabegani kwa kijana mdogo Lamin Yamal...
  14. Manepesa

    JamiiForums Tanzania Mchezo wa fainali UEFA, tiketi Moja ni Milioni 14 za kitanzania, bei ya chini kabisa, ila bongo elfu 5 tu mnalialia.

    Nawaza ingekua ndio derby ya bongo imeahirishwa na tiketi Moja ni 14,000,000, si kungezuka vita nchini? 😂 Habari zingesambaa duniani kote , watu wauana baada ya derby kuahirishwa, bodi ya ligi yakimbis kusikojulikana😂, Mzee Mguto na President Karia wafichwa ikulu kuepusha shari 😂😂😂😂 Anyway kila...
  15. Hujaza Kibaba

    JamiiForums Tanzania Usiyoyajua kuhusu UEFA Champions League

    𝑯𝒊𝒔𝒕𝒐𝒓𝒊𝒂 𝑭𝒖𝒑𝒊 𝑲𝒖𝒉𝒖𝒔𝒖 𝑼𝒆𝒇𝒂 𝑪𝒉𝒂𝒎𝒑𝒊𝒐𝒏𝒔 𝑳𝒆𝒂𝒈𝒖𝒆 📝𝐊𝐰𝐚 𝐦𝐚𝐣𝐚𝐚𝐥𝐢𝐰𝐚 𝐲𝐚𝐤𝐞 𝐌𝐨𝐥𝐚 𝐮𝐦𝐞𝐛𝐚𝐤𝐢 𝐦𝐮𝐝𝐚 𝐦𝐜𝐡𝐚𝐜𝐡𝐞 𝐬𝐚𝐧𝐚 𝐚𝐦𝐛𝐚𝐩𝐨 𝐭𝐮𝐭𝐚𝐬𝐡𝐮𝐡𝐮𝐝𝐢𝐚 𝐟𝐚𝐢𝐧𝐚𝐥𝐢 𝐲𝐚 𝐔𝐞𝐟𝐚 𝐂𝐡𝐚𝐦𝐩𝐢𝐨𝐧𝐬 𝐋𝐞𝐚𝐠𝐮𝐞 𝐤𝐚𝐭𝐢 𝐲𝐚 𝐏𝐚𝐫𝐢𝐬 𝐒𝐚𝐢𝐧𝐭 𝐆𝐞𝐫𝐦𝐚𝐢𝐧 𝐝𝐡𝐢𝐝𝐢 𝐲𝐚 𝐈𝐧𝐭𝐞𝐫𝐧𝐚𝐭𝐢𝐨𝐧𝐚𝐥 𝐌i𝐥𝐚𝐧𝐨. 𝐁𝐚𝐬𝐢 𝐭𝐮𝐤𝐚𝐨𝐧𝐚 𝐧𝐢 𝐣𝐚𝐦𝐛𝐨 𝐚𝐮𝐥𝐚 𝐤𝐚𝐦𝐚 𝐭𝐮𝐭𝐚𝐳𝐮𝐧𝐠𝐮𝐦𝐳𝐢𝐚 𝐰𝐚𝐥𝐚𝐮 𝐤𝐰𝐚 𝐮𝐜𝐡𝐚𝐜𝐡𝐞 𝐡𝐢𝐬𝐭𝐨𝐫𝐢𝐚 𝐲𝐚 𝐔𝐞𝐟𝐚 𝐜𝐡𝐚𝐦𝐩𝐢𝐨𝐧𝐬...
  16. eli -DEFIANT- cohen

    JamiiForums Tanzania Azam akipata leseni ya kuonesha EPL na UEFA, hawa DSTV kwisha habari yao

    Itawavutia wengi kwa maana atapata package ya michezo ya nyumbani na ligi maarufu za epl na uefa. Dstv impoteza ubora alafu bado ni very expensive, haijalishi hata ukiweka kifurushi cha juu, utaambulia vitu vya ajabu, muvi za kujirudia rudia, angalau hata hii mbc ya azam unapata muvi za awali...
  17. monta

    JamiiForums Tanzania UEFA Nations League Quarter Final 20/3/2025

    Muda mchache kutoka sasa Saa 4 dakika 45 za usiku kutakua na mechi 4 za Robo Fainal michuano ya Uefa Nations LEAGUE, updates zote utazipata hapa.. Binafsi naangalia mechi ya Netherlands vs Spain. Utatu wa Reijnders kutoka Milan,De Jong kutoka Barca na Kluivert kutoka Bournemouth dhidi ya Ruis...
  18. Chick_tz

    JamiiForums Tanzania Nimegundua EPL ni ushindani wa ndan huku UEFA Kuna watu wake

    Hii ni baada ya Liverpool kufungwa na PSG kutoka league 1 je liver wangekutana na BARCA ingekuaje
  19. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Arsenal ni bingwa wa UEFA msimu huu

    Najua Kuna vitimu vidogo vinahangaika kutaka kubeba UEFA ila napenda kuwatangazia kwamba Ile timu ya makombe inaenda kulinyakua hili kombe mwaka huu na timu hiyo ni arsenal the gunner watoto wa mjini
  20. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nisije kufa bila kuiona Uefa rasmi nimeongeza timu ya kushabikia ambayo ni Liverpool Sasa nitashabikia Arsenal na Liverpool

    Mwaka huu Liverpool inaenda kubeba UEFA nimeona kwanini na Mimi nisifurahie hii UEFA maana Kuna dalili za kufa kabla ya arsenal haijabeba uefa sababu timu yangu ya arsenal ni maumivu Kila mwaka rasmi nimeongeza timu ya kushangilia na sababu iliyonifanya niongeze ni rangi na uchezaji wake povu...
Back
Top Bottom