Nataka kuingia kwenye biashara ya daladala, lakini nahitaji ushauri wa wazoefu.
Kwa walio kwenye biashara hii, ni mambo gani muhimu ninayopaswa kuzingatia kabla ya kuanza?
Tangu zamani watu waliojenga nyumba kabla ya biashara wamekuwa wakiulizwa maswali ya kwa nini wasijenge biashara kubwa kwanza alafu ndio baadae wajenge nyumba, wanaouliza hayo maswali wanadai kujenga ni kuzika pesa!
Dhana ya kwamba ukijenga unazika pesa siku hizi imeshika kasi baada ya...
For my experience and exposure ndani ya miaka 11 ya utumishi wa umma, nimejionea mambo mengi.
Kuna watumishi wa umma neno daladala hawalijui kabisa.
Habari ya kununua magari ya third na fourth hand hawajui kabisa. Wao ni new au second hand za Japan.
Pesa za mshahara na posho zinatosha...
Katika safari ya ujasiriamali, hatua ya kwanza kabisa ambayo wafanyabiashara wengi huipuuza ni kusajili jina la biashara yao. Wengi huanza biashara kwa speed kubwa, lakini bila utambulisho rasmi. Ukweli ni kwamba, bila usajili, biashara yako haina ulinzi wa kisheria wala hadhi ya kuaminika mbele...
Wafanyabiashara wa Kariakoo, Dar es Salaam wameiomba serikali kuangalia upya suala la raia wa kigeni kuendelea kufanya biashara ambazo zinapaswa kufanywa na wazawa licha ya hatua kuwahi kuchukuliwa na serikali kuahidi kuongeza usimamizi.
Mbali na malalamiko hayo, wafanyabiashara hao pia...
Ngazi za Biashara ya Mazao
Ngazi ya Kaya
Hapa ndipo wakulima wadogowadogo huzalisha kwa ajili ya familia na ziada kidogo kuuza sokoni.
Ngazi ya Wakulima Wakubwa na Makampuni
Wao hulima kwa wingi kwa ajili ya biashara, kuuza ndani na hata nje ya nchi.
Ngazi ya Usindikaji na Uuzaji
Baadhi...
Mteja aliyenipeleka kwa wakili kwa ajili ya Radio
Nilipomaliza chuo, nilikuwa natafuta mteja redio, nikapata mteja mmoja wa ajabu sana. Nilikuwa nauza redio kwa shilingi elfu 30 tu, lakini jamaa akaniambia, “Twende kwa wakili tusaini mkataba!”
Nilidhani anatania, kumbe yuko siriazi kweli ...
Sio maneno yangu. Kulingana na ripoti iliyotolewa na Doing business ambayo huzingatia vigezo kumi inaonyesha Rwanda ni ya 38 kati ya 190 mbele ya mataifa mengi ya ulaya na la kwanza kwa Africa. Tanzania imeshika nafasi ya 141 huku majirani Kenya wakiwa nafasi ya 56 na Uganda nafasi ya 116...
1. KAZI NA MIKATABA (Tenda) Ukisajili biashara yako kama kampuni, nafasi ya kupata kazi kubwa za mkataba (contract au tenda) huongezeka mara nyingi zaidi. Makampuni na taasisi nyingi hupendelea kushirikiana na kampuni badala ya mtu binafsi, kwa sababu kampuni huonekana kuwa na uwajibikaji na...
NYARAKA MUHIMU ZINAHITAJIKA ILI MBAO ZISAFIRISHWE BILA USUMBUFU KWENYE VITUO VYA UKAGUZI NJIANI
1️⃣ Certificates (Vyeti)
✓• Taxpayer Identification Number certificate (TIN) – Cheti cha mlipa kodi kutoka TRA.
✓• Business License / Registration Certificate – Leseni ya biashara.
...
Watanzania tulio wengi tumeshindwa kabisa kufanya biashara ya pamoja kama wanafamilia au watu wa ukoo mmoja kwanini?
Tofauti na jamii za kiarabu, kihindi na hata familia nyingi za kizungu hudumisha tamaduni hii ya biashara za kifamilia. Yani kutoka kwa muasisi (hasa alieleta mageuzi ya...
Kwanini ni Muhimu kufanya Biashara kama kampuni?
Pia inaonyesha jinsi kampuni inaweza kufanya biashara nyingi chini ya jina moja na kufaidika na masharti ya kodi yanayoruhusu kutoa gharama halisi kabla ya kulipa kodi.
Nafasi Kubwa ya Kupata Kazi na Tenda
Kufanya biashara kama kampuni...
Habari zenu wa JF.
Naombeni mnisaidie ushauri nataka nianze kuzungusha bidhaa minadani hasa Maeneo ya Dsm na Kibaha.
Naombeni ushauri wenu tafadhali, je utaratibu upoje? Kuna ushuru wa kulipia pengine? Na vipi utaratibu wa kupata meza au eneo la kuweka bidhaa, na vipi mzunguko wa watu ni...
Siku chache baada ya Serikali ya Tanzania kutangaza kanuni mpya za leseni za biashara na kodi, Kenya imepinga hatua hizo ikizitaja kuwa za kibaguzi na tishio kwa mshikamano wa kiuchumi wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC).
Kenya kupitia Wizara ya Uwekezaji, Biashara na Viwanda imesema ina...
Katika taarifa inayoenea mtandaoni wizara ya viwanda na biashara imepga marufuku baadhi ya biashara kufanywa na wageni, Je sisi km vijana wa kitanzania tumejiandaa vp kuziba nafasi hzo au sisi kazi yetu kulalamika tu
Binafsi nashindwa kuelewa huu mcharuko wa wakenya baada ya tamko la serikali ya Tanzania.
Kwa maneno haya ya wakenya naona kama waliokuwa na jambo lao moyoni kabla ya tamko la serikali yetu juu ya wageni kufanya biashara ndogo ndogo.
Kama ukisajili biashara yako Brela na ukatalka kufunga au kuacha kufanya kwa muda hizi ni hatua za kufuata;
1. Funga jina la biashara
Hapa Kuna processes kadhaa
-Log in kwenye account yako ya Brela
-Chagua new services
-Chagua business name cessation
Brela watakutaka uandike sababu ya wewe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.