morogoro

  1. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Morogoro: Polisi wawatawanya wananchi waliotaka kuchota mafuta baada ya ajali ya lori

    Jeshi la Polisi mkoani Morogoro, limefanikiwa kuwatawanya wananchi waliojitokeza kuchota mafuta, baada ya lori lenye namba za usajili T 810 AJL lililobeba mafuta aina ya dizeli kuacha njia na kuingia mtaroni kisha mafuta hayo kuanza kumwagika, katika eneo la Msimba lililopo wilayani Kilosa...
  2. olimpio

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Rukwa na Morogoro kinara kwa utapeli kwa njia ya simu

    Katika mambo yanayofikirisha sana , kwa mara zaidi ya tatu mfululizo mikoa ya Rukwa na Morogoro imeongoza kwa utapeli kwa njia ya simu. Swali la kuijiuliza ni: 1. Mikoa hii inakaliwa na wajanja wengi sana yaani matapeli? 2. wakazi wengi wa mikoa hii ni washamba sana kiasi cha kutapeliwa...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Rais Samia: Sitangazi hadharani kiasi cha Ongezeko la Mshahara ili wafanyabiashara wasipandishe bei

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Sherehe za Siku ya Wafanyakazi (Mei Mosi) leo tarehe 01 Mei, 2023 mkoani Morogoro. Rais amewasili uwanjani akiambatana na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Spika wa Bunge Dr. Tulia Ackson pamoja na Viongozi wengine wa...
  4. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Morogoro Awakaribisha Watanzania Wote kwenye Mei Mosi Morogoro

    MBUNGE MHE. ABOOD ANAWAKARIBISHA WATANZANIA WOTE KATIKA SHEREHE ZA MEI MOSI MOROGORO Mbunge wa Jimbo la Morogoro Mjini MHE. DKT. ABDULAZIZ M. ABOOD anawakaribisha Watanzania wote kutoka kila Eneo la Nchi yetu kwa ajili ya Sherehe za Mei Mosi zitakazofanyika tarehe 01.05.2023 Morogoro Mjini...
  5. T

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Matangazo na barua za vitisho zashamiri kwa wataokaidi kuhudhuria Sherehe za Mei Mosi kitaifa Morogoro. Sheria ikoje?

    Wapo watumishi wasioona mafanikio ya kutatuliwa kero zao za kiutumishi siku ya Mei Mosi, wapo watumishi wasio wanachama licha ya kukatwa mishahara yao ili kulipia michango ya vyama vya wafanyakazi, wapo watumishi wanao amini michango yao inaliwa tu na viongozi wa vyama hivi kwa kujilipa...
  6. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Morogoro Achangia Milioni Tatu Wakulima wa Mpunga Kilombero

    MBUNGE MHE. NORAH MZERU ACHANGIA MILIONI 3 VIKUNDI VYA WAKULIMA WA MPUNGA KILOMBERO Mbunge Viti Maalum Mkoa wa Morogoro Mhe. Norah Waziri Mzeru amechangia Miradi ya Kimaendeleo ya wanawake wa Mkoa wa Morogoro, Wilaya ya Kilombero Kata za Mang'ula A; Mang'ula B na Kata ya Kibelege Shilingi...
  7. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Baadhi ya wagonjwa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro wanachangishwa fedha za mafuta ili wabebwe kwenye Ambulance

    Jambo lingine ni kuwa baadhi ya wagonjwa wanaopatiwa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro wamelalamikia kuchangishwa fedha za mafuta katika magari ya kubeba wagonjwa kutoka hospitali hiyo kwenda kupata matibabu Hospitali ya Taifa Muhimbili, Dar es Salaam. Wananchi wamesema...
  8. K

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wataalam wachache kwenye Huduma za CT-Scan katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro ni changamoto

    Baadhi ya Wagonjwa wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Morogoro wamelalamikia kuwepo kwa wataalam wachache wa kipimo cha CT-Scan kunahatarisha usalama wa wagonjwa wao. Wananchi hao wamesema mara kadhaa wanapofika hospitalini hapo wagonjwa wamekuwa wakichukua muda mrefu kupata matibabu huku...
  9. Tanzania Railways Corp

    JamiiForums Tanzania Maendeleo ya Mradi wa SGR Morogoro - Makutupora

  10. BigTall

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Wateja wapya wa huduma ya maji Manispaa ya Morogoro hawajapata huduma kwa kuwa MORUWASA hawana mita za ziada

    Baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Morogoro wanaohitaji kuunganishwa na huduma ya maji safi na salama wamelalamikia kukosa huduma hiyo kwa takribani miezi sita kwa madai kuwa mamlaka ya maji safi na usafi wa Mazingira MORUWASA inakabiliwa na tatizo la ukosefu wa mita. Mamlaka ziangalie kuhusu hili...
  11. kagoshima

    JamiiForums Tanzania Tuna namna moja tu ya kudhibiti utendaji mbovu wa watumishi wa mahospitalini na kwenye taasis zingine

    Nitolee mfano Morogoro referral hospital, utendaji wa madaktari na wauguzi ni mbovu sana. Rushwa, neglegence, wizi wa dawa, impolite languages za wauguzi na baadhi ya madaktari, yaani vurugu tupu kwenye hospital iliyo katikati ya jiji morogoro. Kwavile mfumo wa opras wa kutathimini utendaji wa...
  12. DodomaTZ

    JamiiForums Tanzania Wafungwa waliomaliza vifungo vyao Gereza la Mkono (Morogoro) wadaiwa kukwama kurudi kwao licha ya kumaliza vifungo

    Raia wakigeni kutoka nchini Ethiopia waliomaliza vifungo vyao katika gereza la mkono wa Mara mkoani Morogoro wamekwama kurejea makwao baada ya kukosa msaada wa kusafirishwa. Mkuu wa gereza la Mkono wa Mara mkoani Morogoro, TADEO MGALLA amesema raia hao ambao walimaliza vifungo vyao tangu mwaka...
  13. wajingawatu

    JamiiForums Tanzania Barabara za mitaani ndani ya Manispaa ya Morogoro ni miaka mitatu sasa bila matengenezo: Je, TARURA Morogoro Mpo?

    Barabara za mitaani ndani ya Manispaa ya Morogoro zimeharibika hadi kero. Ndugu zetu wahusika, yaani TARURA, wanavuta mpunga tu na kuotesha vitambi bila kujali wakazi wa Manispaa hi pendwa wanateseka kwa barabara zetu kukosa matengenezo. Ubovu wa barabara hizi ni wa muda mrefu, yapata miaka...
  14. Boss la DP World

    JamiiForums Tanzania Msaada: Maeneo ya kupata appartment ya vyumba viwili kwa Tsh. 100,000 - 130,000 pembezoni mwa mji wa Morogoro

    Naombeni kufahamu maeneo yalio pembezoni mwa mji wa Morogoro (isiwe barabara ya kwenda Dodoma) ambayo naweza kupata appartment yenye vyumba 2 na sebule kwa bajeti ya 100,000/= mpaka 130,000/= kwa mwezi. Kuwe na usafiri wa uhakika kwenda mjini. Ahsanteni.
  15. Mohammed wa 5

    JamiiForums Tanzania Mpira (ndondo) ulifanya nikapotea Morogoro

    Habari za zenu Wana Jf Throw back Tuesday Ilikuwa mwezi wa 12 miaka mingi kidogo nyuma baada ya kwenda likizo Morogoro tulifikia kwa baba mdogo ambaye alikuwa anaishi maeneo ya tazara Siku moja majira Kama ya saa 8 au 9 baada ya kula msosi nikawa nimekaa kwenye kibaraza Cha mbele ya nyumba...
  16. U

    JamiiForums Tanzania Eneo lililo wazi pembezoni mwa Barabara ya Morogoro linaweza kufanyiwa biashara na likazalisha pesa nyingi kwa serikali

    Je, Waziri wa fedha anahangaika kutafuta kodi wakati eneo hilo la pembezoni mwa barabara ya Morogoro lililo wazi linaweza kufanyiwa biashara na likazalisha pesa nyingi sana kwa serikali? Kwani huyu Daktari wa uchumi hawezi kushauriana na Waziri wa Ujenzi wakawatumia wataalamu wa Mipango miji na...
  17. D

    JamiiForums Tanzania Wakuu nipeni ramani ya kusafirisha vitu vya nyumbani kutoka Magu-Mwanza hadi morogoro

    Naomba kupata connection ya kuweza kusafirisha vyombo vya nyumbani kutoka magu kwenda morogoro. Hasa nikitegemea magari yanayotokaka mara au musoma yanayorudi bila mzigo, pia Kama kuna gari ya uhakika kuanzia mwanza nistueni nisogeze mzigo
  18. Msanii

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Ajali ya Mwendokasi makutano ya Jamhuri na Morogoro Road

    Basi la Mwendokasi likiwa linatoka Kivukoni limeacha njia na kuparamia maduka na miundombinu mingine pembezoni mwa barabara ya Morogoro kwenye makutano ya Jamhuri St. Eneo hilo ni viambaza vya maduka, njia ya waenda kwa miguu na limekuwa linatumika na watu wasio na makazi kulala Ukiangalia...
  19. N

    JamiiForums Tanzania Kama mkoa wa Morogoro ukigawanywa napendekeza mkoa mpya uitwe Kilombero wenye Wilaya hizi...

    Jamaa yangu kati ya mwaka 2011 au 2012 aliwahi kuniambia kuwa kigogo mmoja (kwa sasa ni mstaafu) alisema laiti hoja ya kugawa nchi kimajimbo ingeletwa na mwanaccm yumkini serikali ingelichukua wazo hilo na kufikiri namna ya utekelezaji wake, lakini kwa sababu wazo lilitoka upinzani wala hawana...
  20. Unique Flower

    JamiiForums Tanzania Wakuu naombeni bei za viwanja na heka Morogoro

    Wakuu kama mada inavyosema naombeni Muongozo tafadhali bei za viwanja na heka .
Back
Top Bottom